Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,542
Kwa Mujibu wa Quran, yafuatayo ndiyo yalikuwa maajabu/mamlaka ya Nabii Issa.
1. Aliweza kuwaumba ndege kwa kufinyanga udongo na kuwapulizia pumzi ya uhai (Quran: 3-49).
2. Aliwafufua watu kutoka wafu (Quran:3-49).
3. Ndiye mtu aliyetajwa zaidi katika Quran, moja kwa moja mara 25 (ili hali Mohammed ametajwa mara 5 tu), na pia amekuwa refered kwa majina mengineyo kama Al Masih n.k kupelekea idadi kutajwa kwa majina mengineyo iwe zaidi ya mara 50.
4. Alianza kuangea akiwa mchanga kabisa, (Surat Maryam 19:30-33).
5. Kuwalisha watu chakula kutoka Mbinguni (Surat Al Maidah 5:112-115).
6. Hakufa na amepaa kwenda mbinguni (Surat Nisa 4:157-158).
7. Issa Hajafa.
Wamekufa mitume wakubwa sana, manabii wakubwa sana ila Issa hajafa , mpaka leo hii napost hapa Issa yuko zake Mbinguni ( Sura An Nisa 4-157,158).
8. Issa atarudi tena Duniani, na ndiye alama (sign) ya hukumu ya ulimwengu .
( Sura Az- Zukhruf 43-61)
Nimeweka vyanzo kutoka kwenye Quran pekee ili kutoleta changamoto ya usahihi au ubatili wa Hadith.
Vilevile kwa kuwa Quran ndicho kitabu kinachoaminika kuwa hakina shaka na jamii ya Kiislamu , ni vyema huu mjadala
Ubakie kwenye chanzo kimoja kinachoaminika cha Quran pekee.
Naalika mwenye hoja Kinzani kutoka kwenye Quran aje na aya tujadili mada hii.