Issa Michuzi na vekesheni

Status
Not open for further replies.
Pundit haishi kuwa quote Freud, Shakespeare na Jay-Z.Anaingiaingia humu mara chache chache, nafikiri kazi zimemtinga.

He surely would have lamented the remarkable macabre folly of indefatigably defending the indefensible.

Jamani Pundit yuko wapi??? Nilipojiunga na JF alikuwa very active member na michango yake mahiri. Ghafla sijui alihamia sayari gani tena. Pundit where are you man!!!!??? Come back!! Au tuseme ...... Oh God!
 
Hi@all,

This criticism is totally and utterly wrong! my understanding is, whether is government official or is from private employment, so long as he can have spare time that is not (in anyway) enterfering his duties and, as long as his or her employer is satisfied with his performance, i think he could be forgiven and left alone, his duties doesn't change his social life aspect. He has right to visit his friends and people he loves and of his choice....he is a social being who derves social life like everyone.

The question of calling it vacation, that's his own chosen words and his blog jargon so to speak!...whether the writer knows this or not...it doesn't change the meaning of his mission in this safari. He is there as photographer or journalist or whatever, so calling it vacation doesn't change any meaning of what he is doing thare and very few who can not understand this.

The question of tax payers money, if at all he is entittled to that, he deserves his share, that is why we people pay tax and that is one of the use of those money!! This word tax payers money, now is becoming like an epidemic, it is loosing its meaning because every body now claims to think if you use this word "tax payers money" then individual will have a certain unique feeling or moody on the word it self. The tax payers money have been there even before even our governments and its purpose will never change, if you are entittled to it you deserve your own share and, if you are not, then you fight your own life.

This tax payers money thing is now demonising individuals and some are even feeling that, if you get government salary is like you are using their money...but they are just forgetting that you are working for that money. If he is paid that money, then he deserve them because he is working and that is what he is doing for living. If you are trying to be just, why don't you think about how he is missing his family by being out of his household for such long time?

By the way, he is also paying tax.

Is just my opinion.
 
huna jipya na kiingereza chako cha grammar....sehemu yoyote yenye ufisadi "tax payers money"lazima ziongelewe sio kwetu tu kama unavyodai.Hivi sasa UK kuna kelele za expenses wanazo claim wabunge na hapo kila siku wanazungumzia pesa za walipa kodi iweje wewe hio kitu uone kwamba inapoteza maana.huna jipya tulia.......leo tunataka kumkoma nyani giladi kweupeeee.:rolleyes:
 
Jamani Pundit yuko wapi??? Nilipojiunga na JF alikuwa very active member na michango yake mahiri. Ghafla sijui alihamia sayari gani tena. Pundit where are you man!!!!??? Come back!! Au tuseme ...... Oh God!

Yupo ila busy sana anachungulia nakuondoka.
 
ikiwa michuzi anafanya ubadhirifu wa pesa za umma.....lazima akoselewe. haihusiano kabisa na "wivu"
wengi wetu tumewahi kwenda safari za kikazi nje ya nchi ( tukifanya kazi nje ya Tanzania) na hardly unaweza kupata nusu siku na saa za usiku labda kuwa ni free time yako.
hii ya michuzi inaonekana kama ana muda mwingi zaidi wa free kuliko anaofanyia kazi na ndio maana mwenyewe akasema vacation.
huu ni uharibifu wa pesa za umma, unaofanywa kwa makusudi na michuzi au unaofanywa na muajiri wake.
unapotakiwa kufanya kazi masaa nane kwa siku, sio ukichukuliwa safari nje ya nchi ufanye kazi saa moja kwa siku na ulipwe mshahara zaidi wa ule wa masaa nane. ni kuhujumu nguvu za wananchi.
 
Asenti..tuanze hapa:

[/SIZE]
[/LIST]
Huyu anayesema amemuona Michu anafanya sagulasagula kutembelea website za ngono..ok fine enough...eeer lets say ni kweli...I have newz for this stalker..LIVE YOUR LIFE! ukiwa nchi za watu utafungwa kwa u-stalker!
we kaka wewe
 
Ninyi ma-desktop researchers mnapiga kelele huku eti serikali na Michu wanatumia ela vibaya, wenzenu kule Busanda et al, wanasema JK and CO woyeee..hamuoni kuwa mnajitesa tu na kupunguza siku zenu za kuishi for nothing? ..jioneeni huruma kidogo wajameni..lol
Siku ambapo hakutakuwa na watoto wachanga na akina mama wanaokufa kwa maradhi yanayotibika ndiyo siku nitakayojionea huruma.

Tuwaache watumbue kodi zetu??? shekhe taratibu lakini hapo.

Kama Busanda wanasema Oyee hapo ujue shida nyingine ya sumu iliyovujia ktk akili za watu na tunakazi kubwa kuitoa hivyo wacha tujitese kwa kuhubiri habari njema za ukombozi wa kweli ujao.

Umenipata MtindiowaUbongo?
 
Ok nimekupata..

Sasa mna mkakati gani na watu wa dizaini ya Busanda..maana wale nadhani kiuhalisia ni kama ma-cashier ya hizi hela mnazozilalamikia hapa. Mnawaadabishaje?
 
Cha kwanza ni kuwaadabisha waliotoa hizo hela.
cha pili adabu pekee inayowafaa wanaBusanda ni kupewa elimu ya kujitambua ambapo wakishajua ukweli wataamua kutoa adhabu kwa aliyewaosha akili zao.

Cha tatu ni kujitoa kiukwelii kuwasaidia Watanzania wasiojua ukweli tunaoufahamu.
 
Ok, fine..sasa hebu tujuze ..how do you put these spectacular fanatic (i meant fantastic) theoretical solutions into practice..usinambie nika-google..lol
 
hahaaha kijana acha uchakaramu wewe.

In month(s) to come nitakuwa able na plan mkononi. hivi sasa najipanga kikamilifu kutoka na toleo kali la elimu-jamii.

na hizi si theoretical ila ni progress underway.
 
Ah huyu ndo wale wale...unauliza jawabu. ukitaka kujuwa hilo tuma comment yoyote inayoponda utawala wa serkali ya CCM kama itaona mwanga! Huyu jamaa ana kazi tatu. 1. Ni mpiga picha wa gazeti la serkali 2. Ni mdau wa blog 3. Ni shushushu (Usalama wa taifa) kitengo maalum cha mawasiliano ya internet . Huyu ndo alofanikisha kumuangamiza zeutamu...! Hii kazi ya ushushushu hasa ndo inayomfanya awe kwenye ziara za rais, na ile blog yake ipo kwa sababu maalum ;

1. kuwezesha kuangalia upepo wa siasa unaenda vipi kwa faida ya serkali ya CCM, kupitia comment za watanzania walio ndani na nje ya nchi...!

2. Kuwapumbaza watanzania walio ndani na nje ili wasiwe na muda wakutembelea blog za wanaharakati, amefanikiwa hili kwa kuweka vitu visivyoleta thread kwa serkali ya ccm, kwa kuweka matangazo ya urembo, mpira sijui (liverpool), na upuuzi mwengine tele, na hii inawafanya watanzania (hasa walio nje) wakose muda wa kujadili matatizo na umaskini unaoiandama tanzania kwa kukosa sera na uongozi mbovu...!

Napenda kumpongeza, amefanikiwa kwa hilo!
 
Michuzi maarufu wenye wivu wameze wembe......rekodi za JF zimevunjwa leo

Most users ever online was 3,398, Today at 03:17 PM.
alafu wapenzi wake wanaangalia jamaa wenye wivu wanavyoumiza keyboard zenu
560 (43 members and 517 guests)
 
kama kazi yake kweli ni ya ushushushu basi itakuwa analipwa kuwa kwenye vacation ...
na kwa vile ushushushu ni kazi ya siri, watanzania tutashindwa kupata jibu la kwa nini akienda safari za kikazi anapata muda mwingi wa kuwa free
 
Ah huyu ndo wale wale...unauliza jawabu. ukitaka kujuwa hilo tuma comment yoyote inayoponda utawala wa serkali ya CCM kama itaona mwanga! Huyu jamaa ana kazi tatu. 1. Ni mpiga picha wa gazeti la serkali 2. Ni mdau wa blog 3. Ni shushushu (Usalama wa taifa) kitengo maalum cha mawasiliano ya internet . Huyu ndo alofanikisha kumuangamiza zeutamu...! Hii kazi ya ushushushu hasa ndo inayomfanya awe kwenye ziara za rais, na ile blog yake ipo kwa sababu maalum ;

1. kuwezesha kuangalia upepo wa siasa unaenda vipi kwa faida ya serkali ya CCM, kupitia comment za watanzania walio ndani na nje ya nchi...!

2. Kuwapumbaza watanzania walio ndani na nje ili wasiwe na muda wakutembelea blog za wanaharakati, amefanikiwa hili kwa kuweka vitu visivyoleta thread kwa serkali ya ccm, kwa kuweka matangazo ya urembo, mpira sijui (liverpool), na upuuzi mwengine tele, na hii inawafanya watanzania (hasa walio nje) wakose muda wa kujadili matatizo na umaskini unaoiandama tanzania kwa kukosa sera na uongozi mbovu...!

Napenda kumpongeza, amefanikiwa kwa hilo!
Na yupo proud kuwa kiatu cha waheshimiwa ah!!!
Enewei yenye mwanzo yana mwisho.
 
Kwa nini asije mtaani tujumuike ktk sekta binafsi kujiingizia faida??? Na kwa nini asiige mfano bora wa akina Invisible wa kuwa wajasiriamali wasioiegemea serikali ktk kuendesha forum???? wizi mtupu na ufinyu wa upeo kwa sana tu (na hasa wale wanaomtetea maana jamaa anajua afanyalo ila wao...).
unamfahamu invisible? una uhakika hajaajiliwa? alafu nani kakuambia michuzi anategema serikali kuendesha blog yake?

nyie acheni vijiba vya roho....mtakufa mmesimama shauri yenu.....dizaini UW na dilunga nauli zimegoma huko majuu miaka 20 hamjatia timu bongo sasa mkiona jama anakwea mapipa kila kukicha baaasi mnaumiaaaa.....
 
Nadhani mkuu wangu utakuwa humtendei haki Michuzi. Hivi ungekuwa wewe umeenda safari, tena nchi za nje, usingependa kuwaona watanzania wenzako huko? Usingependa kupiga picha? Hivi unajua kwamba JK baada ya mikutano yake masaa ya jioni anafanya nini? Ukimkuta anacheza draft au golf utasema kaenda Marekani kutumia hela za wananchi kucheza gofu! Mi nadhani tujadili mambo ya msingi hapa. Sio kujadili masuala ya oo michuzi kanunu soda, sijui kapiga picha na nani. Hili halitusaidii. Kusafiri kwenda nje kwa hela za walipa kodi haimaanishi kwamba ukifika huko hata usizungumze na simu. Maana utaibuka na kusema eti anatumia hela za walipakodi kupiga simu. Kwa taarifa yako tu, ukisafiri kwenda nje hela yako unapewa kulingana na cheo chako ukiwa mfanyakzi waserikali. Kwahiyo kama umepangiwa kukaa kwa siku 10 na alawansi yako ni USD 250 kwa siku, utapata USD. 2500. Sasa utasema nisisalimei marafiki na watanzania wengine ili nirudishe hela za walipa kodi nyumbani! Hapa hutuambii ukweli. lete hari za Busanda, sina maana zaidi.
 
.....dizaini UW na dilunga nauli zimegoma huko majuu miaka 20 hamjatia timu bongo sasa mkiona jama anakwea mapipa kila kukicha baaasi mnaumiaaaa.....

kwi kwi kwi mkuu umeniacha hoi hapo.
Hivi ni nn kinacho mpa umaarufu Misupu?Mbona blog zipo kibao kama Mjengwa,Mpoki,michuzijr,haki ngowi n.k
 
unamfahamu invisible? una uhakika hajaajiliwa? alafu nani kakuambia michuzi anategema serikali kuendesha blog yake?

nyie acheni vijiba vya roho....mtakufa mmesimama shauri yenu.....dizaini UW na dilunga nauli zimegoma huko majuu miaka 20 hamjatia timu bongo sasa mkiona jama anakwea mapipa kila kukicha baaasi mnaumiaaaa.....
unanitega???

enewei namfahamu sana MISUPU na naamini ninachopost. sipost kizembe mkuu nimejifunza kufanya homework kabla ya kupost shekhe.

Tatizo si kukwea pia, ila ni matumizi mabovu ya kodi zetu. Kama anazo self innitiatives hakuna shida kujinafasi ila kama anatanulia kodi zetu (maana wawekezaji hawalipi kodi kama sisi) basi lazma tumzomeee.

Mkuu naomba declare maslahi kwanza kabla ya kutetea tusije tukakuwekea kumbukumbu isiyo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom