Israeli strikes in Syria

Israeli strikes in Syria

TAARIFA HII NAOMBA MUIPUUZE HAINA UKWELI WOWOTE .
NDEGE ZA KIVITA ZA IDF HAZIJARUKA TOKA NJE YA ISRAELI TANGU S_300 ILETWE PALE SYRIA HAMNA WATU WANAOPENDA KUISHI KAMA HAWA YAHUDI UCHWARA WA PALE TELAVIVI WAMEFYATA MKIA WAPO TULI KIBURI CHOTE KIMEWAISHA .
USIJIDANGANYE ILI UCHEKE, ISRAELI NI NCHI NYINGINE, HAPO SIO USHABIKI WALA NINI. HAKUNA NCHI INAYOONGOZA KWA UBUNIFU KAMA ISRAELI. UKIWA MTU WA KUFANYA UCHUNGUZI UTAGUNDUA KARIBIA KAMPUNI ZOTE ZA TEKNOLOJIA ZIMEWEKA MAKAO YAKE MAKUU YA RESEARCH AND DEVELOPMENT ISRAELI. YOTE JUU YA YOTE S-300 NA S-400 SIO MCHEZO NA NI TISHIO KWA NDEGE YOYOTE ILE...JAPOKUWA ITALETA MADHARA KWA ISRAELI, ISRAELI ITALETA MADHARA MAKUBWA ZAIDI KWA S-300/400, NA MWISHO WA SIKU S-300/400 HAZIWEZI KUIZUIA ISRAELI KABISA.
 
Kwa hisani ya watu wa marekani...........
 
Marekani ina pesa nyingi Israeli akili nyingi. Hujui israeli ndo nchi peke yake yanye kibali cha kubadilisha mifumbo ya vifaa vya kivita vya marekani?
Hii ni kwasababu, marekani ana pesa ya kutosha kutengeneza chochote, ila hana sehemu ya kujaribisha. Kwa hiyo hajui vitafanyaje kazi kwenye vita ya kweli dhidi ya urusi na china. ila israeli anaweza kutumia vifaa vya marekani ankamjaribu mrusi na akishindwa anajua kipi cha kubadilisha na kuongeza. lazima awe rafiki wa marekani. na kwa historia Israeli haijawahi kushindwa moja kwa moja na teknolojia ya nchi nyingine, lazima wapate njia.
kabla ya s-300 walikua wanaongelea Mig-21, na kila nchi ilikua inaziogopa Hadi israeli waloingia na kuonyesha dunia penye nia pana njia
 
Ndio maana Kiranga???

Wewe unasemaje?

Mbona haujiamini katika kauli zako ?
Kama ni Mungu huyo wa kuruhusu kuua watu kwa halaiki harafu ndio anaichagua hiyo nchi kama taifa lake teule hata mi simhitaji Mungu kama huyo wala hana maana yoyote
 
Utakuwa unamuhitaji mungu goigoi.

Mungu wetu ni Mungu wa Majeshi. Hulitunza agano lake milele.
 
Eti taifa TEULE
SIJUI ALILITEUA SHETANI .........
Kila siku kuua watu wasio na hatia .
Eti linajisifu kuwashinda vita watu wanaotumia mawe na manati. .ni upuuzi huu.
 
Naona uko ndotoni mheshimiwa.
USIJIDANGANYE ILI UCHEKE, ISRAELI NI NCHI NYINGINE, HAPO SIO USHABIKI WALA NINI. HAKUNA NCHI INAYOONGOZA KWA UBUNIFU KAMA ISRAELI. UKIWA MTU WA KUFANYA UCHUNGUZI UTAGUNDUA KARIBIA KAMPUNI ZOTE ZA TEKNOLOJIA ZIMEWEKA MAKAO YAKE MAKUU YA RESEARCH AND DEVELOPMENT ISRAELI. YOTE JUU YA YOTE S-300 NA S-400 SIO MCHEZO NA NI TISHIO KWA NDEGE YOYOTE ILE...JAPOKUWA ITALETA MADHARA KWA ISRAELI, ISRAELI ITALETA MADHARA MAKUBWA ZAIDI KWA S-300/400, NA MWISHO WA SIKU S-300/400 HAZIWEZI KUIZUIA ISRAELI KABISA.
 
Marekani ina pesa nyingi Israeli akili nyingi. Hujui israeli ndo nchi peke yake yanye kibali cha kubadilisha mifumbo ya vifaa vya kivita vya marekani?
Hii ni kwasababu, marekani ana pesa ya kutosha kutengeneza chochote, ila hana sehemu ya kujaribisha. Kwa hiyo hajui vitafanyaje kazi kwenye vita ya kweli dhidi ya urusi na china. ila israeli anaweza kutumia vifaa vya marekani ankamjaribu mrusi na akishindwa anajua kipi cha kubadilisha na kuongeza. lazima awe rafiki wa marekani. na kwa historia Israeli haijawahi kushindwa moja kwa moja na teknolojia ya nchi nyingine, lazima wapate njia.
kabla ya s-300 walikua wanaongelea Mig-21, na kila nchi ilikua inaziogopa Hadi israeli waloingia na kuonyesha dunia penye nia pana njia
Pumba tupu matango matapishi ()
Nalog off
 
Kama ni Mungu huyo wa kuruhusu kuua watu kwa halaiki harafu ndio anaichagua hiyo nchi kama taifa lake teule hata mi simhitaji Mungu kama huyo wala hana maana yoyote
Freemason wanakukaribisha kwa mikono myeupe, Freemason wanafundishana maneno kama hayo ndo mana wanamkataa Mungu na kusema Lucifer ndio mungu wao. Ila tunaoamini tunajua Mungu anampenda mtu anayempenda, anamkataa anayemkataa na binadamu hatuna sehemu ya kumpangia kipi ni sahihi kwa sababu sisi wote katuumba yeye
 
Back
Top Bottom