Hassan daudy
Member
- Aug 2, 2018
- 37
- 24
Hamas ina jeshi, Fatah ina jeshi. Hadi la wanamaji. Ila hamas(Sio fatah) wanatumia raia kuleta fujo kwa lengo la kuharibu fensi au ili hamas wapate nafasi ya kuteka wanajeshi wa israeli n.k raia wanaouliwa na Israeli kwenye matukio kama hayo sio vita mzee, ni matukio yanayotokea kila mahali kunapokua na maandamano yasio ya amani.Vita ya mjini dhidi ya watu wasio na silaha? Dhidi ya watu wanaotumia mawe??? Come on man.
Mbona Kenya imetokea wakati wa uchaguzi, hiyo sio vita! kuna vita ya kutumia mabomu ya machozi? kwa sababu baadhi ya wanakufa wanazidiwa na moshi wa mabomu ya machozi. Lazima wapigwe risasi au mabomu ya machozi wakiandamana na kujaribu kufanya fujo. Huwezi kusema hiyo ni vita utakua unanitania