Israeli strikes in Syria

Israeli strikes in Syria

Mliambiwa wekeni akiba ya maneno Israel hatabiriki mkabisha.... Ona sasa babu kaingia kama kawa kachapa na kasepa na hiyo mipipa yenu s300 sijui S400 ikiwepo...labda muongeze s1000 shubamiti
Unauhakika kama ameshambulia
 
S-700 haipo bado, ila waziri wa ulinzi wa Israeli aliongea hiyo statement kuwa, kama Syria watatungua ndege za kivita za israeli.. Israeli itazifuta air defence zote zilizohusika haijalishi ni s-300 au hata s-700 kama itakuwepo, ila watazifuta sasa kwa historia ambayo huijui Israeli imepigana vita mara nyingi kuliko nchi yoyote..sasa jaribu kujua hivyo vita vilikuaje! kama ni wakulima ndo utajua. Na kama ungejua sehemu kubwa ya uchumi wao ni kwa kuuza vifaa vya kijeshi kwa marekani, Urisi, China, India na nchi nyingine kibao ungejua namaanisha nini hapo

Kumbuka kuwa huwezi kuwa mbabe milele...Ndivyo historia ilivyo...soma the fall of the great empires/powers...huwezi kuwa wewe unashinda vita siku zote ...there will come a time...wengine nao itakuwa zamu yao ya kushinda vita...it is the law of the nature...the law of our humankind..the law of the earth...kulikuwa na Alexander the Great, lakini ulifika muda akafikia mwisho...kulikuwepo na Roman empire, na hakuna aliyedhani kuwa itapotea lakini ikawa hivyo, kulikuwepo na akina Geghis Khan na wengineo wengi tu...Walikuwepo the Saxons huko ulaya. lakini wakapotea ...katika miaka ya hivi karibuni Soviet Union ilisambaratika kimzahamzaha, Marekani nayo imo mbioni kusambaratika...Israel???!!! ni wazi haiwezi kushinda milele..Kati ya 1947 na 1949 Israel ilishinda vita dhidi ya waarabu, miaka ya 1950 pia Israel ilishinda nadhani ilikuwa mwaka 1956 kama kumbukumbu zangu ni sahihi...Israel ikashinda tena katika vita maarufu vya siku sita vya mwaka 1967 ambapo jeshi la la anga la Misri lilitokomezwa kabisa...vikaja vita vya Oktoba mwaka 1973 maarufu kama vita vya Yom Kippur War, napo Israel ikapata namna ya ushindi ingawa Misri na waarabu wenzake walijitutumua kidogo...sasa kuna vita vinakuja sijui lini lakini vinakuja na mimi binafsi nadhani kiongozi wa waarabu atakuwa Iran...tusubiri tuone kama Israel atashinda tena...Let us wait and see, if tutakuwa wazima...
 
Mkuu tunaeleweshana kwa facts

Hebu toa silaha mojawapo (made in Israel) ambayo ni tishio kwa dunia hii.

Pia hebu tupe list (sio list yako) toa na source the most advanced and dangerous armed forces in the world.

Tatu millitary power sio airpower tu bali combination of equipments, human resources and strategy kwa kutumia walau hivi vigezo vichache Israel inashika nafasi ya ngapi,

NOTE: Israel wa kwenye biblia sio taifa la Israel la sasa. (Biblia ilimaanisha watu wa taifa la Mubgu yaano mimi na wewe)
Unaifahamu Yericko Intercontinental Balistic Missile?
 
At least 62 civilians have been killed in a US air force attack on two villages near Deir ez-Zor city, Syrian state news agency Sana reported.
The strikes came nearly a month after US national security adviser John Bolton vowed that American forces would remain in Syria so long as any Iranian-related forces operate there. Damascus invited Iran to help fight jihadist rebels and ISIS, while denouncing the US presence as illegal.
DETAILS TO FOLLOW
RT.com
===
ze kokuyo uwanja ni wako. Ngoja tufuatilie kilichotokea.
Hiyo Televisheni ya Syria tushaichoka,mbona hata siku Moja hawajawahi kutangaza vifo vilivyosababishwa na mashambulizi ya Urusi,au Urusi wao wana mabomu ya mapovu,hayaui?!
 
Mkuu tunaeleweshana kwa facts

Hebu toa silaha mojawapo (made in Israel) ambayo ni tishio kwa dunia hii.

Pia hebu tupe list (sio list yako) toa na source the most advanced and dangerous armed forces in the world.

Tatu millitary power sio airpower tu bali combination of equipments, human resources and strategy kwa kutumia walau hivi vigezo vichache Israel inashika nafasi ya ngapi,

NOTE: Israel wa kwenye biblia sio taifa la Israel la sasa. (Biblia ilimaanisha watu wa taifa la Mubgu yaano mimi na wewe)
Trophy System
Delila Missile
Spice Missile
heron drone
Jericho Missiles
Iron Dome
David Sling
Katika hizo zote hakuna nchi imewahi kuprove its effectiveness in real combat kama Israel
Jaribu kusoma kidogo kuhusu specs zake. utakuwa amaized.

Na kama ulikua hujui kuhusu air dominance ni kwamba if you control air, you control everything
 
😂😂😂😂😂😂😂😂hizo silaha zimeprove effectiveness kwa wapalestina???
 
kupigana na hamas au wapalestina waliowekewa sunction na Marekani ili tu wasiwe na advance system haitoshi.

Israel for the last 20 years hajapigana real war zaidi kuvizia majirani zake na kupiga huku akipata support ya NATO kwa ujumla wake. Hivyo sijaona kama vita au testing ground ya hizo silaha ni effective. Mfano Miaka michache iliyopita Iron Dome islishindwa kuzuia rockets za hamas hivyo kuonesha weakness kubwa.

Kati ya hizo zipi zinatitishia Urusi, Zipi zinaitisha taifa dogo kama Iran ipi inaitisha taifa la uchina?

ukiona hakuna basi jua yes wanazo silaha za kujilinda na sio tishio dunian
 
hakuna anti missile system duniani inayoweza kuperfom kwa asilimia 90%. Iron Dome ilianza na performance ya asilimia 65% na ndo mana israeli wananufaika na hivo vi vita vidogo kwa maana wanapata nafasi ya kuboresha mifumo yao. ndo mana nchi nyingi za ulaya zinaomba kuuziwa iron dome. 90% sio mchezo.Unajua mfumo gani duniani wenye perfomance kama hiyo kwa short range missile. Wala usigoogle HAKUNA!
Israeli inaweza kuondoa silaha zote Gaza, Ila Hamas ni uwanja wa mazoezi na kama wewe ni mfuatiliaji hata Drone za Iran huwa hawazitungui hapohapo zinapototea Gaza au lebanon, kwa sababu hawana ushindani zaidi ya kutumia uwepo wao kama uwanja wa mazoezi.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂hizo silaha zimeprove effectiveness kwa wapalestina???
Jifunze kidogo kuhusu Urban Warfare na uangalie Moral Rank ya Israeli Urban warfare. Utajua kwann hawa jamaa Tech yao iko juu. kuwawezesha kuoperate kwenye mazingira kama hayo.Jiulize kwanini Warusi walipigwa KO na Taliban Afghanstan, vita vya mjini ni vita vigumu kuliko vyote. hapo ndo uwezo wako kiteknolojia unapoonekana. na israeli wanazidi kuonesha kila wakati
 
Vita ya mjini dhidi ya watu wasio na silaha? Dhidi ya watu wanaotumia mawe??? Come on man.
 
Hamas na fatah wanamiliki silaha za mawe ndio unataka kutuambia?
Tuonee huruma japo mara hii tu.
Ccm mkubwa wee!!
Shika adabu yako usinihusishe mimi na chama cha majambazi na watekaji we niaje ?? Kila siku tunaona Israel wanashambulia watu wanaojihami kwa mawe Hamas silaha walizonazo ni Bunduki za rasharasha tu kama credits zinatolewa hivyo basi ata polisi wa Tz wanasilaha bora duniani coz waliweza kumuua Aquiline kwenye Bus 😁
 
hakuna anti missile system duniani inayoweza kuperfom kwa asilimia 90%. Iron Dome ilianza na performance ya asilimia 65% na ndo mana israeli wananufaika na hivo vi vita vidogo kwa maana wanapata nafasi ya kuboresha mifumo yao. ndo mana nchi nyingi za ulaya zinaomba kuuziwa iron dome. 90% sio mchezo.Unajua mfumo gani duniani wenye perfomance kama hiyo kwa short range missile. Wala usigoogle HAKUNA!
Israeli inaweza kuondoa silaha zote Gaza, Ila Hamas ni uwanja wa mazoezi na kama wewe ni mfuatiliaji hata Drone za Iran huwa hawazitungui hapohapo zinapototea Gaza au lebanon, kwa sababu hawana ushindani zaidi ya kutumia uwepo wao kama uwanja wa mazoezi.
Pumba tupu
 
Back
Top Bottom