Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
undefinedisraelsaa hizi wana msala huko gaza,wapalestina wamechachamaa,sidhani hata kama saa hizi wanawaza kuhusu syriaVipi yake machuma-chuma ya S300 hayajafanya kazi
undefinedisraelsaa hizi wana msala huko gaza,wapalestina wamechachamaa,sidhani hata kama saa hizi wanawaza kuhusu syriaVipi yake machuma-chuma ya S300 hayajafanya kazi
Duuu. Kuna walevi wengi saana humu. Hiyo habari ya israel kuipiga Syria leo mmeipata wapi nyie?Kule urusi viwanda silaha vyote wataalam ni Wayahudiukiwaeleza wanaleta ashki majununi
![]()
Hata huko hii habari haipo.Hii news namashakanayo sana, kama siyo cnn basi bbc/tbc
Ze kokuyo ana madishi 12 ya satellite matatu kayaelekezea Syria moja Uturuki na jingine 1 Saudi rabia na Israel na2 Kramer na 2 Washington D.C. 2
Moja kona ya kawe kamera za siro ziliko ishia hana hizi tarifa!!

hahaha kumbe ni Habari ya kupikwa kama TWAWEZAmuwekeye na ze kokuyo,
Ila abari ipo Jamii forum Tu!
au kuna mtu ameione sehemu ingine!?
View attachment 903361
HahahahaHahahahaha... mkuu zile za Igp nahisi ni Sisi Tv sio CCTV.
Bwana Hassan waombe mods waifyekelee mbali hii thread, ni uzushi tu kamandaView attachment 903316
Nimeweka siti kabisa
wamepikia hapo tandale mkuu!hahaha kumbe ni Habari ya kupikwa kama TWAWEZA
labda ni mapambo tu.Na zile s-300 vipi kwani?
kwakweliwamepikia hapo tandale mkuu!
Acha ujinga wewe huyo Mungu gani anachagua taifa teule linalofanya mauaji ya halaiki?MUNGU MWENYEWE ANALIITA "TAIFA TEULE"
SA HAPO KUNA NINI TENA
Huyo jamaa anaendekeza ujinga usio maanaHaya maandiko yakutungwa sina imaninayo....
Mahaba ni kitu kibaya sanaHAHAHAHAAAAA BASI AMINI KANCHI KADOGO KAMA MKOA WA KILINAMJARO KAMEZIPIGA NCHI 4 ZA KIARABU (MISRI, JORDAN, SYRIA)TENA KWA SIKU SITA TU.
MAREKANI MWAKA 1991 ALIPIGANA NA IRAQ KWA MIAKA KADHAA NDO UJUE HAWA JAMA SIO WA KITOTO
Na zile s-300 vipi kwani?
Tandale kwa Mtogolewamepikia hapo tandale mkuu!
“One thing needs to be clear: If someone shoots at our planes, we will destroy them. It doesn’t matter if it’s an S-300 or an S-700,”HABARI ZA MUDA HUU NAOMBA KUTUMIA NAFASI HII KUWATAARIFA HII YA ISRAELI KUSHAMBULIA SYRIA SIO YA KWELI NA NAOMBA MUIPUUZE.
HAO YAHUDI MDA HUU BADO WAKO HUKO UKRAINE PAMOJA NA BWANA WAO MAREKAN KUJIFUNZA JINSI YA KUIDHIBITI MFUMO HUU WA KULINDA ANGA WA URUSI ULIOWEKWA HAPO SYRIA.