Israeli strikes in Syria

Israeli strikes in Syria

S-300bado sana yaani. Walipita na watapita tena. Unless wapewe S-400.
halaf israel ni watu wenye udhubutu sana yaani.. shida ya hawa jamaa uwoga wameuweka pembeni
Tuwekeye chanzo cha habari mkuu!
 
Israeli F_16 fighters jets strikes Iranians targets near DAMASCUS .the IDF official declined to comment on this report.
Chanzo chako cha hiyo taarifa ni kipi?.Maana najaribu kupita kwenye media maarufu lakini sioni chochote.
 
Back
Top Bottom