Israeli strikes in Syria

Israeli strikes in Syria

Basi utakua unaamini sawa na hivyo vitabu...Huna haja ya kusema unaamini Kitabu fulani. Dini ni jinsi unavyoishi...Na wewe ni mfuata dini mzuri kama unafanya unachosema unafanya.
Basi dini yangu haiendani na hizo dini za Mash ya kati
 
Basi dini yangu haiendani na hizo dini za Mash ya kati
Kama unafanya unachosema unafanya dini yako ni hiyo, Kuipa jina unaweza ukaipa unalotaka au kila siku ukabadilisha jina la dini yako, ila kama unaamini kwenye kufanya Mazuri..bado upo palepale sawa na kuandika Kiluga neno la English
 
Ok sawa mkuu nimekupata vyema!
 
Basi dini yangu haiendani na hizo dini za Mash ya kati
Yani hata uzaliwe kwenye pango lazima uwe na upande mmoja wa kuamini...Vitabu vya mashariki ya kati vinatufundisha kuamnini upande mmoja , ila sio lazima vitabu kuamini upande flani. Hata jamii inaweza kukuanya ukaamini upande flani
 
Unamaanisha kuamini katika wema au ubaya au kwa maana ya uislamu na ukristu?
 
Mkuu usiongee kishabiki. walau Google uone tu taarifa zihusuyo S300 - S700 (ingawa S500 -700 bado ni siri). Lakini pia wasikilize military analyst wakubwa wanasema nini. Israel anaweza kuwa ana zana nzuri sana za kilimo, pharmaceuticals but when it comes to military bado yupo nyuma ya watu wengine.
Green house zao nzuri sana ila mambo ya rocket na anga ni wanunuzi kama bongo ya siro na cctv
 
S-700 haipo bado, ila waziri wa ulinzi wa Israeli aliongea hiyo statement kuwa, kama Syria watatungua ndege za kivita za israeli.. Israeli itazifuta air defence zote zilizohusika haijalishi ni s-300 au hata s-700 kama itakuwepo, ila watazifuta sasa kwa historia ambayo huijui Israeli imepigana vita mara nyingi kuliko nchi yoyote..sasa jaribu kujua hivyo vita vilikuaje! kama ni wakulima ndo utajua. Na kama ungejua sehemu kubwa ya uchumi wao ni kwa kuuza vifaa vya kijeshi kwa marekani, Urisi, China, India na nchi nyingine kibao ungejua namaanisha nini hapo
Fact.
 
USIJIDANGANYE ILI UCHEKE, ISRAELI NI NCHI NYINGINE, HAPO SIO USHABIKI WALA NINI. HAKUNA NCHI INAYOONGOZA KWA UBUNIFU KAMA ISRAELI. UKIWA MTU WA KUFANYA UCHUNGUZI UTAGUNDUA KARIBIA KAMPUNI ZOTE ZA TEKNOLOJIA ZIMEWEKA MAKAO YAKE MAKUU YA RESEARCH AND DEVELOPMENT ISRAELI. YOTE JUU YA YOTE S-300 NA S-400 SIO MCHEZO NA NI TISHIO KWA NDEGE YOYOTE ILE...JAPOKUWA ITALETA MADHARA KWA ISRAELI, ISRAELI ITALETA MADHARA MAKUBWA ZAIDI KWA S-300/400, NA MWISHO WA SIKU S-300/400 HAZIWEZI KUIZUIA ISRAELI KABISA.
Sasa kwa nini Israel, haiko kwenye kundi la nchi tajiri, inaishi kwa kutegemea misaada kutoka Marekani?
 
HABARI ZA MUDA HUU NAOMBA KUTUMIA NAFASI HII KUWATAARIFA HII YA ISRAELI KUSHAMBULIA SYRIA SIO YA KWELI NA NAOMBA MUIPUUZE.

HAO YAHUDI MDA HUU BADO WAKO HUKO UKRAINE PAMOJA NA BWANA WAO MAREKAN KUJIFUNZA JINSI YA KUIDHIBITI MFUMO HUU WA KULINDA ANGA WA URUSI ULIOWEKWA HAPO SYRIA.
“One thing needs to be clear: If someone shoots at our planes, we will destroy them. It doesn’t matter if it’s an S-300 or an S-700,”
What coincidence?hahah
 
S-700 haipo bado, ila waziri wa ulinzi wa Israeli aliongea hiyo statement kuwa, kama Syria watatungua ndege za kivita za israeli.. Israeli itazifuta air defence zote zilizohusika haijalishi ni s-300 au hata s-700 kama itakuwepo, ila watazifuta sasa kwa historia ambayo huijui Israeli imepigana vita mara nyingi kuliko nchi yoyote..sasa jaribu kujua hivyo vita vilikuaje! kama ni wakulima ndo utajua. Na kama ungejua sehemu kubwa ya uchumi wao ni kwa kuuza vifaa vya kijeshi kwa marekani, Urisi, China, India na nchi nyingine kibao ungejua namaanisha nini hapo

Mkuu tunaeleweshana kwa facts

Hebu toa silaha mojawapo (made in Israel) ambayo ni tishio kwa dunia hii.

Pia hebu tupe list (sio list yako) toa na source the most advanced and dangerous armed forces in the world.

Tatu millitary power sio airpower tu bali combination of equipments, human resources and strategy kwa kutumia walau hivi vigezo vichache Israel inashika nafasi ya ngapi,

NOTE: Israel wa kwenye biblia sio taifa la Israel la sasa. (Biblia ilimaanisha watu wa taifa la Mubgu yaano mimi na wewe)
 
At least 62 civilians have been killed in a US air force attack on two villages near Deir ez-Zor city, Syrian state news agency Sana reported.
The strikes came nearly a month after US national security adviser John Bolton vowed that American forces would remain in Syria so long as any Iranian-related forces operate there. Damascus invited Iran to help fight jihadist rebels and ISIS, while denouncing the US presence as illegal.
DETAILS TO FOLLOW
RT.com
===
ze kokuyo uwanja ni wako. Ngoja tufuatilie kilichotokea.
 
JF limekua jukwaa la wapuuzi sana siku hizi! MTU anaamka na hang over zake anapost upupu umu bila kua na credible info or sources....
 
Mkuu tunaeleweshana kwa facts

Hebu toa silaha mojawapo (made in Israel) ambayo ni tishio kwa dunia hii.

Pia hebu tupe list (sio list yako) toa na source the most advanced and dangerous armed forces in the world.

Tatu millitary power sio airpower tu bali combination of equipments, human resources and strategy kwa kutumia walau hivi vigezo vichache Israel inashika nafasi ya ngapi,

NOTE: Israel wa kwenye biblia sio taifa la Israel la sasa. (Biblia ilimaanisha watu wa taifa la Mubgu yaano mimi na wewe)
HII NI FANTASTIC
ILIBIDI IANDIKWE KWA WINO WA DHAHABU
 
Mliambiwa wekeni akiba ya maneno Israel hatabiriki mkabisha.... Ona sasa babu kaingia kama kawa kachapa na kasepa na hiyo mipipa yenu s300 sijui S400 ikiwepo...labda muongeze s1000 shubamiti
 
Back
Top Bottom