mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,254
- 9,168
Kule urusi viwanda silaha vyote wataalam ni WayahudiHAWAJUI ISRAEL INAITAWALA MAREKANI NA ULAYA??? WANA MAPANDIKIZI KILA NCHI TENA VIONGOZI WAKUBWA KINOMA
ukiwaeleza wanaleta ashki majununi 
Kule urusi viwanda silaha vyote wataalam ni WayahudiHAWAJUI ISRAEL INAITAWALA MAREKANI NA ULAYA??? WANA MAPANDIKIZI KILA NCHI TENA VIONGOZI WAKUBWA KINOMA
ukiwaeleza wanaleta ashki majununi 
Tulia weweeNgoja warus waje moto uwake
CONGRESS YA MAREKANI NA D.O.D ZIMESHIKILIWA NA ISRAELKule urusi viwanda silaha vyote wataalam ni Wayahudiukiwaeleza wanaleta ashki majununi
![]()
Pamoja na hayo, Mungu akiamua jambo linawezekana....ni bado tu siku zake hazijafika. Ila mtakuja nambia kipigo watakacho kuja kukipata hao nyau kufirana...HAWAJUI ISRAEL INAITAWALA MAREKANI NA ULAYA??? WANA MAPANDIKIZI KILA NCHI TENA VIONGOZI WAKUBWA KINOMA
MUNGU MWENYEWE ANALIITA "TAIFA TEULE"Pamoja na hayo, Mungu akiamua jambo linawezekana....ni bado tu siku zake hazijafika. Ila mtakuja nambia kipigo watakacho kuja kukipata...
Mungu gani huyo ameliita hilo taifa ni teule! Maana hata yesu mwenyewe wanamkana na ukristo hawautambuiMUNGU MWENYEWE ANALIITA "TAIFA TEULE"
SA HAPO KUNA NINI TENA
Au redio kigali mkuu![]()
![]()
![]()
Sijui TBC nao watatangaza...?
Mbona mnakuwa kama siro leteni ushahidi halisi!!HAHAHAHAAAAAAAAA HATA MWAKA 67 WAARABU WALISEMAGA HIVYOHIVYO
Mbona mnakuwa kama siro leteni ushahidi halisi!!
Once, and mybe kama ungekuwa unaish karib na Mungu. Main question is hili taifa limezungukwa na maadui zake,lakin hakuna hata aduo mmoja alieweza kuvamia.. is it bahati mbaya au Mungu?Pamoja na hayo, Mungu akiamua jambo linawezekana....ni bado tu siku zake hazijafika. Ila mtakuja nambia kipigo watakacho kuja kukipata hao nyau kufirana...
😁😁Once, and mybe kama ungekuwa unaish karib na Mungu. Main question is hili taifa limezungukwa na maadui zake,lakin hakuna hata aduo mmoja alieweza kuvamia.. is it bahati mbaya au Mungu?
Mungu gani huyo ameliita hilo taifa ni teule! Maana hata yesu mwenyewe wanamkana na ukristo hawautambui
Haya maandiko yakutungwa sina imaninayo....Kutoka 6:1-8
1.Basi Yehova akamwambia Musa: “Sasa utaona mambo nitakayomtendea Farao.+ Mkono wenye nguvu utamlazimisha awaruhusu watu wangu waende zao, na mkono wenye nguvu utamlazimisha awafukuze kutoka katika nchi yake.”+
2 Kisha Mungu akamwambia Musa: “Mimi ni Yehova. 3 Nami nilikuwa nikimtokea Abrahamu, Isaka, na Yakobo kama Mungu Mweza-Yote,+ lakini kwa jina langu Yehova+ sikujitambulisha kwao.+ 4 Pia, nilifanya agano pamoja nao kwamba nitawapa nchi ya Kanaani, nchi ambamo waliishi kama wageni.+ 5 Sasa mimi mwenyewe nimesikia kilio cha uchungu cha Waisraeli, ambao Wamisri wanawatumikisha kama watumwa, nami ninakumbuka agano langu.+
6 “Kwa hiyo, waambie Waisraeli: ‘Mimi ni Yehova, nami nitawatoa kutoka chini ya mizigo ya Wamisri na kuwaokoa kutoka katika utumwa wao,+ nami nitawakomboa kwa mkono ulionyooshwa* na kwa hukumu kubwa.+ 7 Nami nitawachukua muwe watu wangu, nami nitakuwa Mungu wenu,+ nanyi hakika mtajua kwamba mimi ni Yehova Mungu wenu anayewatoa kutoka chini ya mizigo ya Misri. 8 Nami nitawapeleka katika nchi niliyoapa*kwamba nitampa Abrahamu, Isaka, na Yakobo; nitawapa ninyi iwe miliki yenu.+ Mimi ni Yehova.’”+
HAHAHAHAAAAA BASI AMINI KANCHI KADOGO KAMA MKOA WA KILINAMJARO KAMEZIPIGA NCHI 4 ZA KIARABU (MISRI, JORDAN, SYRIA)TENA KWA SIKU SITA TU.Haya maandiko yakutungwa sina imaninayo....
Hahahaaa kwa msaada wa nchi za ulayaHAHAHAHAAAAA BASI AMINI KANCHI KADOGO KAMA MKOA WA KILINAMJARO KAMEZIPIGA NCHI 4 ZA KIARABU (MISRI, JORDAN, SYRIA)TENA KWA SIKU SITA TU.
MAREKANI MWAKA 1991 ALIPIGANA NA IRAQ KWA MIAKA KADHAA NDO UJUE HAWA JAMA SIO WA KITOTO
Na hiyo redio Kigali isije ikawa ndio Surf au Nissan nyeupeAu redio kigali mkuu