Israeli strikes in Syria

Israeli strikes in Syria

Unakataa nini sasa hapo. Unataka stori za uongo nikupe moja? Waarabu watakuja kuifuta Israeli kwenye uso wa dunia...Hiyo utaipenda! Endelea kujidanganya! Kila siku mnapewa somo hamjifunzi tu
Epuka utumwa wa kifikra
Pima mambo kwa dhahiri yake
 
Israeli F_16 fighters jets strikes Iranians targets near DAMASCUS .the IDF official declined to comment on this report.
Wewe jamaa ni muongo sana. Naona huu uzi uliandika sehemu,ukapotezewa naona umerudi tena
 
Epuka utumwa wa kifikra
Pima mambo kwa dhahiri yake
Yani wewe kama unawachukia hawa jamaa Utaishi kwa shida sana, Au kama dini inakuambia uwachukie ujue utaishi kwa shida sana. labda usisikilize habari tu maana kila siku utawasikia wakifanya vitu vyao.
Kama hujajua utakuja kujua tu kama kweli Mungu yuko nao au wanabaatisha kila siku
 
Usijidanganye hayo maneno juu yangu wewe kwani Mungu na shetani si ni kama shilingi kuwa na pande mbili? Maanake hakuna Mungu hakuna Shetani full stop!!!
Freemason wanakukaribisha kwa mikono myeupe, Freemason wanafundishana maneno kama hayo ndo mana wanamkataa Mungu na kusema Lucifer ndio mungu wao. Ila tunaoamini tunajua Mungu anampenda mtu anayempenda, anamkataa anayemkataa na binadamu hatuna sehemu ya kumpangia kipi ni sahihi kwa sababu sisi wote katuumba yeye
 
Muongo ni professor isn't it?
undefinedIran delivers GPS components to Lebanon for Hizballah rocketsundefinedOct 19, 2018 @ 21:01undefinedIran has delivered GPS components to Lebanon for making Hizballah’s unguided rockets into precision-guided missiles, US and western intelligence sources told Fox News. Iran’s Fars Air Qeshm flight number QFZ-9950 departed Tehran International Airport on Tuesday. Later that day, the Boeing 747 jet touched down in Syria’s capital Damascus before continuing to Beirut. Western intelligence sources said the GPS devices were sent to manufacture precision-guided weapons in Iranian factories in Lebanon, similar to those Iran operates in Syria and Yemen. DEBKAfile: The Iranian plane was not intercepted at any point on its flight from Tehran via Damascus to Beirut. The Israel air force has abstained from flying missions over Syria since the deployment of advanced Russian S-300 air defense systems a month ago, Iran taking advantage of this to step up its arms deliveries to Hizballah, as DEBKAfile first reported on Oct. 14
 
Nalichukia taifa hili la kulialia na kubebwabebwa,taifa lisilo na ardhi yake wala lisilojua kwao baada ya kutoka utumwani,pumbaf zao.
 
USIJIDANGANYE ILI UCHEKE, ISRAELI NI NCHI NYINGINE, HAPO SIO USHABIKI WALA NINI. HAKUNA NCHI INAYOONGOZA KWA UBUNIFU KAMA ISRAELI. UKIWA MTU WA KUFANYA UCHUNGUZI UTAGUNDUA KARIBIA KAMPUNI ZOTE ZA TEKNOLOJIA ZIMEWEKA MAKAO YAKE MAKUU YA RESEARCH AND DEVELOPMENT ISRAELI. YOTE JUU YA YOTE S-300 NA S-400 SIO MCHEZO NA NI TISHIO KWA NDEGE YOYOTE ILE...JAPOKUWA ITALETA MADHARA KWA ISRAELI, ISRAELI ITALETA MADHARA MAKUBWA ZAIDI KWA S-300/400, NA MWISHO WA SIKU S-300/400 HAZIWEZI KUIZUIA ISRAELI KABISA.

Mkuu usiongee kishabiki. walau Google uone tu taarifa zihusuyo S300 - S700 (ingawa S500 -700 bado ni siri). Lakini pia wasikilize military analyst wakubwa wanasema nini. Israel anaweza kuwa ana zana nzuri sana za kilimo, pharmaceuticals but when it comes to military bado yupo nyuma ya watu wengine.
 
Usijidanganye hayo maneno juu yangu wewe kwani Mungu na shetani si ni kama shilingi kuwa na pande mbili? Maanake hakuna Mungu hakuna Shetani full stop!!!
Kwani nani kakuambia shetani maana yake mbaya? Au nani kakuambia shetani adui/kinyume cha Mungu? Kitabu kilichokufanya umjue shetani kimesema alikua malaika wa Mungu kabla hajatupwa. Kwani wakati alipokua kwa Mungu, Kulikua na Shetani Mwingine adui wa Mungu?
Mungu ndo kafanya Giza na Mwanga, Zuri na Baya. Shetani ni adui yetu sisi wanadamu, anatuchukia sisi wanadamu.

Sasa sikiliza kwa makini nikupe darasa kubwa. Freemason/Pagan/Illuminati/Skull&Bones/Luciferians wote wanaamini Mungu aliyeumba binadamu ni gaidi na Alimweka binadamu kwenye bustani awe mtumwa, hadi nyoka/lucifer/shetani alipomuonea huruma na kumfundisha jinsi ya kuwa huru... Hiyo ndio sababu Freemasons na wengineo wamanuamini mungu ila Sio Mungu unayemjua wewe=shetani/lucifer.
Na moja ya vitu wanavyosoma kwenye vitabu vya dini vinaonekana kwao kuwa Mungu ni katili, au ana upendeleo au gaidi. Kama jinsi wewe unavyoona Mungu hawezi akawabariki Israeli ambao wanauwa waarabu, ndio hizo hizo hoja zao.

Alafu kuongeza msumari- Kwenye biblia Mungu aliwaambia waisraeli wawaue wapalestina wote, sio mtoto wala mzee wala ng'ombe. The rest of story is long Ila ndo hao watu wa Gaza wanaosumbua raia wa Israeli.
Kama utasema Mungu ni mbaya kwa kutaka waisraeli kuua hadi watoto wachanga wewe Freemason itakukaribisha mapema sana, na utapata degree za fasta.
 
Hao waisrael wayahudi ni kizazi KILICHOLAANIWA
 
Mimi mkuu huwa siamini hivyo vitabu vinavyoongelea maisha ya mashariki ya kati mnaita biblia sijuo na nini na hata hao unaosema Freemason wala hata hua siwafikirii maana naonaga ni maneno tu ya watu waongo na wavivu ila hakuna kitu kama hicho

By the way mi naamini katika kutenda matendo mema na kuamini katika utamaduni wangu wa Mwafrika kutoa sadaka kwa wasiojiweza na kuishi vyema na jamii na kuepuka kumfanyia ubaya mwenzangu ambao mi sipendi kufanyiwa lkn hayo maisha ya watu wa mashariki ya kati kunilazimisha niishi kama wao hapana aisee
 
Mkuu usiongee kishabiki. walau Google uone tu taarifa zihusuyo S300 - S700 (ingawa S500 -700 bado ni siri). Lakini pia wasikilize military analyst wakubwa wanasema nini. Israel anaweza kuwa ana zana nzuri sana za kilimo, pharmaceuticals but when it comes to military bado yupo nyuma ya watu wengine.
S-700 haipo bado, ila waziri wa ulinzi wa Israeli aliongea hiyo statement kuwa, kama Syria watatungua ndege za kivita za israeli.. Israeli itazifuta air defence zote zilizohusika haijalishi ni s-300 au hata s-700 kama itakuwepo, ila watazifuta sasa kwa historia ambayo huijui Israeli imepigana vita mara nyingi kuliko nchi yoyote..sasa jaribu kujua hivyo vita vilikuaje! kama ni wakulima ndo utajua. Na kama ungejua sehemu kubwa ya uchumi wao ni kwa kuuza vifaa vya kijeshi kwa marekani, Urisi, China, India na nchi nyingine kibao ungejua namaanisha nini hapo
 
Mimi mkuu huwa siamini hivyo vitabu vinavyoongelea maisha ya mashariki ya kati mnaita biblia sijuo na nini na hata hao unaosema Freemason wala hata hua siwafikirii maana naonaga ni maneno tu ya watu waongo na wavivu ila hakuna kitu kama hicho

By the way mi naamini katika kutenda matendo mema na kuamini katika utamaduni wangu wa Mwafrika kutoa sadaka kwa wasiojiweza na kuishi vyema na jamii na kuepuka kumfanyia ubaya mwenzangu ambao mi sipendi kufanyiwa lkn hayo maisha ya watu wa mashariki ya kati kunilazimisha niishi kama wao hapana aisee
Basi utakua unaamini sawa na hivyo vitabu...Huna haja ya kusema unaamini Kitabu fulani. Dini ni jinsi unavyoishi...Na wewe ni mfuata dini mzuri kama unafanya unachosema unafanya.
 
Back
Top Bottom