ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 8,571
- 7,219
Mungu ndio nini ?Siyo visheti bana , vishetani!
Yaani pale ilikuwa lazima lengo la Mungu litimie, kwa mpango ule.
Ndivyo Mungu wetu alivyo, anawaacha watu wanajidai sana, but siku akisema ''no'' ni ''no kweli''
wana wa Israel aliwaburuza jangwani, kwa nini asinge wabeba tu na kuwaweka nchi ya ahadi?
ndo ilivo kuwa kwa masihi pia, alipanga iwe hivyo hakuna wa kuhoji. njoo kanisani utafaidi ndg Mungu wetu anakupenda, nakuombea sasa.
Mungu muweza wa yote hawezi piganiwa na watu, Allah ni kitu mlichokitengeneza wenyewe na mtauna sana kwa akili zenu finyu
Siyo visheti bana , vishetani!
Yaani pale ilikuwa lazima lengo la Mungu litimie, kwa mpango ule.
Ndivyo Mungu wetu alivyo, anawaacha watu wanajidai sana, but siku akisema ''no'' ni ''no kweli''
wana wa Israel aliwaburuza jangwani, kwa nini asinge wabeba tu na kuwaweka nchi ya ahadi?
ndo ilivo kuwa kwa masihi pia, alipanga iwe hivyo hakuna wa kuhoji. njoo kanisani utafaidi ndg Mungu wetu anakupenda, nakuombea sasa.
Punga tena !! narudia tena hakuna Mungu anaepiganiwa, ukiona anapiganiwa ujue hao watu ndio wamemuumba Mungu huyo wanaempiganiaWE KWELI PUNGA?
ILA YESU WA KWELI KASHINDWA KUJIPIGANIA MWENYEWE?!
ALLAH ANASEMA "ALLAHU JUNUUDU SAMAAWAATI WAL ARDHI".
MUNGU ANA MAJESHI ARDHINI NA MBINGUNI.
KWAHIYO YEYE HUTUJAZA NGUVU ZAKE ILI TUMPIGANIE.
YEYE ANATUTUMIA SISI KWA KUTUJAZA NGUVU.
ILA PASI NA YEYE KUTUJAZA NGUVU HATUWEZI.
NDIO MAANA UMEONA HIZBOLLAH AMBAO HATA WANAJESHI LAKI HAWAFIKI WALIWATWANGA WANAJESHI WA ISRAEL IDF.
NA SIO KAMA YESU WENU KASHINDWA KUJITETEA AKAPIGWA NA WATU WAKE.
HUYO MUNGU AU GASHO?!
Mungu muweza wa yote hawezi piganiwa na watu, Allah ni kitu mlichokitengeneza wenyewe na mtauna sana kwa akili zenu finyu
Punga tena !! narudia tena hakuna Mungu anaepiganiwa, ukiona anapiganiwa ujue hao watu ndio wamemuumba Mungu huyo wanaempigania
Punga tena !! narudia tena hakuna Mungu anaepiganiwa, ukiona anapiganiwa ujue hao watu ndio wamemuumba Mungu huyo wanaempigania
Yaani kufa mnakufa nyie halafu unasema malaika wameshusha kumisaidia kweli dini ni bangi , kila siku mnakufa huko kumtetea Allah aliejificha , narudia tena Allah wamemtengeneza wajanja hili nyie wapuuzi muamin jambo hilo , huku mkiendelea kufa kama kuku kwa kupigania dini ya mjanja wa kiarabu aliechanga karata zake vizuriUNAONA ULIVYO FALA?!
UMEONA NILIPOKUELEZEA KUWA YEYE HUSHUSHA MALAIKA NA KUTUJAZA NGUVU?!
LABDA NIKUULIZE WEW UNA AKILI ILA HELA UNA.
NANI AMEKUFANYA MPK SASA UMEPATA KAZI?!
SI BABA AKO MZAZI AU?!
AMEKULIPIA ADA AKAKUEKEA MAZINGIRA SAHIHI.
ASA WAPI WEWE HUELEWI?!
MBONA MABUDHA WANASHINDWA KUMPIGANIA MUNGU WAO WALIOMUUMBA KAMA NI SW NA ALLAH UNAYESINGIZIA TUMEMUUMBA.?!
ACHA USHOGA NAKUELEKEZA TENA.
ALLAH ANATUSHUSHIA MALAIKA NA KUTUJAZA NGUVU TUIPIGANIE DINI YAKE SIO YEYE.
HUWEZ KUMPIGANIA ALLAH WEWE.
BALI ANAKUAMURU UIPIGANIE DINI YAKE.
NA UKISHINDWA ATAINGIA YEYE KATI KUWEKA DIVINE SUPPORT NA DINI YAKE ITAKUA
An-Nasr 110:1
إِذَا جَآءَ نَصْرُ ٱللَّهِ وَٱلْفَتْحُ
When the victory of Allah has come and the conquest,
get Quran App:https://goo.gl/w6rESk An-Nasr 110:2
وَرَأَيْتَ ٱلنَّاسَ يَدْخُلُونَ فِى دِينِ ٱللَّهِ أَفْوَاجًا
And you see the people entering into the religion of Allah in multitudes,
get Quran App:https://goo.gl/w6rESk An-Nasr 110:3
فَسَبِّحْ بِحَمْدِ رَبِّكَ وَٱسْتَغْفِرْهُۚ إِنَّهُۥ كَانَ تَوَّابًۢا
Then exalt [Him] with praise of your Lord and ask forgiveness of Him. Indeed, He is ever Accepting of repentance.
get Quran App:https://goo.gl/w6rESk
NA HII NI DHWAHIRI NA WAZI ALLAH KAINGILIA KATI AKAIPIGANIA DINI YAKE NA SASA UISLAM NDIO DINI INAYOKUA KWA KASI HUSUSAN NCHI ZA ULAYA.
UNA LINGINE LA KUSEMA.?!
WE ENDELEA KUMUABUDU MUNGU ALOPIGWA MAKONZI
Ahahahhahah sasa ukipigania Dini ya Allah si ndio kumpigania Allah , Dini ya Allah unatoka damu wewe yeye kajificha ahahahhahaNA HAKUNA MUSLIM ANAYEMPIGANIA ALLAH.
BALI WAISLAM TWAIPIGANIA DINI YETU AMBAYO NI DINI YA ALLAH KWA HALI NA MALI.
USIWAFANANISHE ALSHABAB NA ISIS AMBAO WANAPIGANA KWA MASLAHI YAO BINAFSI WAKIJINASIBISHA NA DINI KUWA WANAPIGANIA DINIYaani kufa mnakufa nyie halafu unasema malaika wameshusha kumisaidia kweli dini ni bangi , kila siku mnakufa huko kumtetea Allah aliejificha , narudia tena Allah wamemtengeneza wajanja hili nyie wapuuzi muamin jambo hilo , huku mkiendelea kufa kama kuku kwa kupigania dini ya mjanja wa kiarabu aliechanga karata zake vizuri
STILL UNAJIFANYA HUTAKI KUELEWA.Ahahahhahah sasa ukipigania Dini ya Allah si ndio kumpigania Allah , Dini ya Allah unatoka damu wewe yeye kajificha ahahahhaha
Siyo visheti bana , vishetani!
Yaani pale ilikuwa lazima lengo la Mungu litimie, kwa mpango ule.
Ndivyo Mungu wetu alivyo, anawaacha watu wanajidai sana, but siku akisema ''no'' ni ''no kweli''
wana wa Israel aliwaburuza jangwani, kwa nini asinge wabeba tu na kuwaweka nchi ya ahadi?
ndo ilivo kuwa kwa masihi pia, alipanga iwe hivyo hakuna wa kuhoji. njoo kanisani utafaidi ndg Mungu wetu anakupenda, nakuombea sasa.
Hapo umekuja utamuu sana, hata wale walomsulubu walimwambia maneno hayohayo nanukuu '' kama wewe ni mwana wa Mungu jiokoe?'' uliponya wengine jiponye''Duh Kwahiyo Mungu wenu Yesu kajichezea drama ili apigwe daaaah?!
Asa si angetumia tu mighty power alonayo ili lengo zake zitimie?!
Mpaka atengeneze scenario aisee?!
Sijui lakini
hahahaha yeees kwisha habari yako, mapepo yanakutoka sasa kimyaaa! Yesu hadhihakiwi, tubuDuh Kwahiyo Mungu wenu Yesu kajichezea drama ili apigwe daaaah?!
Asa si angetumia tu mighty power alonayo ili lengo zake zitimie?!
Mpaka atengeneze scenario aisee?!
Sijui lakini
Hapo umekuja utamuu sana, hata wale walomsulubu walimwambia maneno hayohayo nanukuu '' kama wewe ni mwana wa Mungu jiokoe?'' uliponya wengine jiponye''
KILA GOTI LIPWA.
Wewe pamoja na Elimu yako Dunia, unarudia maneno yaleyale. alosema . mkuu wa ulimwengu pale Golgotha. Tambua kwamba Mungu wetu haamrishwi, wala kujaribiwa na vikaragosi , eti si ujiokoe basi? ili iweje?
Kuanzia leo weye ujitambue u mwana wa mkuu wa ulimwengu, sababu umenena vilevile kama alivo nena wala hujakosea. yani alimjaribu na wewe unasisitiza yale yale maneno ya majaribu, walah! nakwambia angekuwa mungu wenu angejiokoa palepale na kupaa, na anavopenda sifa za kijanja.
Yaani ndo wamekutuma weye kumshambulia mwana wa Mungu sababu eti una akili nyingi sana siyo?
OKOKA BASI, LEO? TAFUTA KANISA LILIPO UKATUBU MIE NAKUPENDENI SANA UNAJUA? USIFANYE MOYO KUWA MGUMU. HAITAKUGHARIMU CHOCHOTE sawa kijana
hahahaha yeees kwisha habari yako, mapepo yanakutoka sasa kimyaaa! Yesu hadhihakiwi, tubu
Ahahahahahahaha wewe kweli kituko ahahahahaha yaani dunia nzima IRAN pekee ndio mwenye dola ya kiislamu( tena ww na masuni wenzako mnawaita Iran makafiri ) , sasa dunia ina nchi ngapi adi ako kanchi kamoja ndio useme Mungu katuma malaika , hakuna malaika wala shetani mtaendelea kuuana hivyo hivyo uku superpower akiwa USA, China na Mrusi , nyie endeleeni kutoana roho watu wanafanya maendeleoUSIWAFANANISHE ALSHABAB NA ISIS AMBAO WANAPIGANA KWA MASLAHI YAO BINAFSI WAKIJINASIBISHA NA DINI KUWA WANAPIGANIA DINI
LAA.
CHUKUA MFANO HIZBOLLAH.
ISRAEL 2006 ILITAKA KUIPORA ILE LEBANON YA WAISLAM WAULIZE WALIFANYWA NINI.
HIZBOLLAH HATA LAKI HAWAFIKI LAKINI WAMEWABURUZA IDF JESHI NGULI.
TUSIENDE MBALI WAULIZE WAJEDA WA USA WANAVYOCHINJIKA NA TALIBAN HUKO PAKISTAN.
TUSIENDE TENA MBALI KUMBUKA MAPINDUZI YA KIISLAM YALIYOFANYIKA IRAN TENA AMERICA KASHIRIKIANA NA IRAQ KUIPIGA IRAN AKASHINDWA.
NDIO UONE HAPO ALLAH KASHUSHA MALAIKA WAKE WAKISAIDIA.
WATU WANAKUFA ILA MNAKUMBANA NA MALAIKA.
WE WAULIZE IDF KWANN WALISEMA WANAOGOPA KUPIGANA VITA NA WALIOKUWA TAYARI KUFA.
MAANA UKIUA BINADAM KUNA MALAIKA AKIMWAKILISHA KAZI BURE.
NA MBONA HUKUONGELEA SWALA LA UISLAM KUSHIKA KASI DUNIANI HUSUSAN NCHI ZA ULAYA?!
HAPO JEE MUNGU HAJAWEKA DIVINE SUPPORT ?!
Yesu ndio nini ? Ujasiri wa kumsumbua Israel wakati amemitoa kwenye nchi yenu mnaishi kama mbwa huko Gaza( adi kuvua anasimamia Israel) ,fanyeni maendeleo Allah amisaidii chochote maana hayupo ni stori tuSTILL UNAJIFANYA HUTAKI KUELEWA.
MBONA YESU ALISHUKA NA AKASHINDWA KUPATA WAFUASI NA KAPATA WANAFUNZI 12 TU?!
NA MBONA YEYE YESU KASHINDWA KUJITETEA AKAWA ANASULUBIWA NA WATU WAKE MWENYEWE ?!
SI BORA ALLAH AMEWAPA WAJA WAKE HIZBOLLAH USHINDI DHIDI YA MAKAFIRI WA ISRAEL.
SI BORA ALLAH AMEWAPA UJASIRI HAMAS WANAMSUMBUA ISRAEL.
SI BORA ALLAH AMEWAPA UJASIRI TALIBAN WANAWAPA VICHAPO WAJEDA WA US HUKO PAKISTAN NA AFGHANISTAN.