Israel yamkamata waziri mtukutu kutoka Palestine ananyea ndoo siku ya tatu leo

TURKEY MASHOGA NA WASAGAJI WANAADHIBIWA SANA TENA HUKO ARAB WANACHINJWA KABBISA NDIO MAANA WANAANDAMANA.
NA KM HAUJUI TURKEY NA WAHAJEMI NI CHANDA NA PETE.
Unasikitisha sana Turkey ni secular state sio islamic state, wanakubaliana na haki za binadamu moja kwa moja , wakiadhibu wanaadhibu kwa sheria za nchi yao sio UISLAMU kama wewe unavyojiaminisha hapa ahahah , ata Tanzania mashoga awatakiwi kikatiba kwani ni nchi ya kiislamu au kikristo ?
 
Nimekuuliza swali acha poyoyo kwanini King Fahad akuwaita waarabu wenzie wamzuie Sadam huseni adi akaomba majeshi kutoka USA waje wamlinde ?
KWANI NANI ANGEWEZA KUMSAIDIA MSALITI?!
HUYO SUUDIA AMERICAN PUPPET NAN ASIYEMJUA?!
WE UNAWEZA KUMSAIDIA MSALITI?!
SUUDIA NI KM KENYA VIBARAKA WA WATU WEUPE.
The 1991 Persian Gulf War was a conflict between Iraq and a coalition force of 34 nations mandated by the United Nations and led by the United States.The lead up to the war began with the Iraqi invasion of Kuwait in August 1990 which was met with immediate economic sanctions by the United Nations against Iraq.
TUKIJA HAPO CHINI IRAQ KUWEKEWA VIKWAZO VYA KIUCHUMI NA WAARABU KUMSAPOTI NDICHO KITU AMBACHO KINACHOFANYA WAARABU WAKOSE MSHIKAMANO.
KUSALITIANA BAINA YAO.
NDIO MAANA MWARABU HAWEZ MSAIDIA MWARABU
 
Sio wanafiki wanamsikiliza Baba yao USA ahahahah, HIzbollah kampiga Israel yupi hivi nyie mna akili kweli yaani mtu kamifukuza kwenye nchi yenu ya Palestina halafu unasema umempiga !!! Vichekesho hivi
UNAJUA KISA CHA VITA YA HIZBOLLAH NA ISRAEL ?!
MAANA WALIOKUA PALESTINES NI HAMAS NA HAWAJAONDOKA BADO
 
Unasikitisha sana Turkey ni secular state sio islamic state, wanakubaliana na haki za binadamu moja kwa moja , wakiadhibu wanaadhibu kwa sheria za nchi yao sio UISLAMU kama wewe unavyojiaminisha hapa ahahah , ata Tanzania mashoga awatakiwi kikatiba kwani ni nchi ya kiislamu au kikristo ?
Sikatai Turkey ni secular lakin wanaongoza kwa tawala ya kiislam kwa percent kubwa.
Nchi ilokuwa 100% secular hakuna mahakama ya kadhi.
Maana kule shoga hatiwi jela anahukumiwa kwa sheria ya kiislam hapo we unaonaje?
 
Samahani mkuu, baada ya kugundua hizo log na algebra Waarabu walizifanyia nini? nip elimu mkuu kitu walichogundua kutumia hizo hesabu ni nini? Maanake hata teknolojia ya kuchimba mafuta imetoka huko magharibi mwa dunia.

Kilicho mfanya mwarabu asishughulike zaidi na ugudunzi wake ni utajiri aliokuwa nao, na hiyo ndio babau kubwa sana ya kutoona kijana wa kiarabu asili akitangatanga ulaya kutafuta ajira kama mzungu anavyo tangatanga uarabuni kutafuta ajira,
 
Ha ha ha kwamba Ulaya hamna Waarabu? Ila Uarabuni ndio kuna wazungu wanatangatanga? Sawa.
 
Ulaya waarabu wapo mkuu lakin wapo kule kutokana na athari za vita walizopata.
Ila waarabu ni matajiri sana wakiwa kwao ndio mana hawapendi kujishughulisha wanatumikisha watu hao wanakaa kunywa tu kahawa.
We mkuu haujiulizi mataifa km kuwaiti ama Qatar wanalipa wananchi wao mwisho wa mwez hat km hawafanyi kaz.we unadhan watu watahangaika kutafta kaz ilhali wanalishwa na kuhudumiwa na falme yao?!Asa hyo iko kinyume na capitalist nation ambazo unajitaftia maisha yakikupiga shauri lako.Ila hukuti waarabu wametoka Qatar kwenda USA kutafta vibarua ilhali Qatar imejaa neema unless kwa waathirika vita km walibya.ila WAZUNGU wanatoka mataifa mbali mbali kuja Qatar kuomba vibarua
Ha ha ha kwamba Ulaya hamna Waarabu? Ila Uarabuni ndio kuna wazungu wanatangatanga? Sawa.
 
Halafu usijifanye huna akili ww.
Israel ali invade Lebanon ili aipore lebanon toka kipindi kile aliposhindwa vile vya Kippur.
We unabwabwaja nn.?!
Israel aliifata Lebanon kuipora 2006 na ndipo Hizbollah ikisaidiwa na Iran ikaidhibiti Israel isipore Lebanon.
Palestines anaingiaje?!
Palestines wazungumzie Hamas.
Lakin Hizbollah yeye ni lebanese na alikuwa akiitetea Lebanon kwa msaada wa Iran.
Ndio maana Israel ana chuki na iran.
Sio wanafiki wanamsikiliza Baba yao USA ahahahah, HIzbollah kampiga Israel yupi hivi nyie mna akili kweli yaani mtu kamifukuza kwenye nchi yenu ya Palestina halafu unasema umempiga !!! Vichekesho hivi
 
Halafu usijifanye huna akili ww.
Israel ali invade Lebanon ili aipore lebanon toka kipindi kile aliposhindwa vile vya Kippur.
We unabwabwaja nn.?!
Israel aliifata Lebanon kuipora 2006 na ndipo Hizbollah ikisaidiwa na Iran ikaidhibiti Israel isipore Lebanon.
Palestines anaingiaje?!
Palestines wazungumzie Hamas.
Lakin Hizbollah yeye ni lebanese na alikuwa akiitetea Lebanon kwa msaada wa Iran.
Ndio maana Israel ana chuki na iran.
Israel kashindwa vita gani ? unaijua six days wars wewe Golan height na sinai zote zilienda Israel, mwaka 1973 Misri ikaikomboa Sinai kwa maelewano maana vita vilishindikana mpaka Anwar Sadat akawageuka Waarabu wenzie kweupe kwa kukubalia makubaliano na Israel, sasa Israel kashindwa nini !! mpaka leo wapalestina hawawezi kuja Misri maandaki na njia zote zimefungwa kwasababu ya makubaliano hayo ya Israel na misri , Misri ni msaliti mbele ya waarabu wenzie lakini ni mpendwa kwa Israel na USA , soma historia acha uvivu
 
Sikatai Turkey ni secular lakin wanaongoza kwa tawala ya kiislam kwa percent kubwa.
Nchi ilokuwa 100% secular hakuna mahakama ya kadhi.
Maana kule shoga hatiwi jela anahukumiwa kwa sheria ya kiislam hapo we unaonaje?
Unajua maana ya secular state ? ukijua hilo utaelewa ninacho zungumza, Turkey katiba yao sio Quran wala mafundisho ya mtume ,bali ni mambo waliojiamulia wenyewe kuwa ndio yawasimamie , hii ndio demokrasia watu wanaamua wao sio mtume wala Allah
 
UNAJUA KISA CHA VITA YA HIZBOLLAH NA ISRAEL ?!
MAANA WALIOKUA PALESTINES NI HAMAS NA HAWAJAONDOKA BADO
Israel anawachafua hili yeye aishi kwa amani wewe unasema umempiga !! Israel ndio mshindi waarabu wote mmeshindwa kuwasaidia wapalestina wanafungiwa kwenye ukuta kama wakimbizi
 
KWANI NANI ANGEWEZA KUMSAIDIA MSALITI?!
HUYO SUUDIA AMERICAN PUPPET NAN ASIYEMJUA?!
WE UNAWEZA KUMSAIDIA MSALITI?!
SUUDIA NI KM KENYA VIBARAKA WA WATU WEUPE.
The 1991 Persian Gulf War was a conflict between Iraq and a coalition force of 34 nations mandated by the United Nations and led by the United States.The lead up to the war began with the Iraqi invasion of Kuwait in August 1990 which was met with immediate economic sanctions by the United Nations against Iraq.
TUKIJA HAPO CHINI IRAQ KUWEKEWA VIKWAZO VYA KIUCHUMI NA WAARABU KUMSAPOTI NDICHO KITU AMBACHO KINACHOFANYA WAARABU WAKOSE MSHIKAMANO.
KUSALITIANA BAINA YAO.
NDIO MAANA MWARABU HAWEZ MSAIDIA MWARABU
Wamemuwekea vikwazo sababu Iraq ni dhaifu hawezi kuwasaidia ndio maana waarabu wakachagua kuwa upande wa mwenye nguvu (USA), mpaka Iraq akaondoka mwenyewe akaiacha kuwaiti, sasa unataka ushirikiane na mtu dhaifu wakati mwenye nguvu yupo !! Waarabu wanafanya kitu sahihi kwa nchi yao
 
Walio Mtundika mungu wa wakristo unawategemea wana kipi kizuri :D
Nyinyi mnasemaga ISRAEL NI adui Yenu Mkuu kuliko HATA YULE shetani! LICHA HICHO KISA CHA KUMTUNDIKA ISSA allah ANASEMA fake katundikwa MTU MWINGINE BADALA YAKE
IMG_20190714_084655_341.jpeg
IMG_20190714_165126_135.jpeg
 
Embu acha uzwazwa bwege ww.
Kasome Israel -lebanese war of 2006.
Halafu urudi hapa
Israel kashindwa vita gani ? unaijua six days wars wewe Golan height na sinai zote zilienda Israel, mwaka 1973 Misri ikaikomboa Sinai kwa maelewano maana vita vilishindikana mpaka Anwar Sadat akawageuka Waarabu wenzie kweupe kwa kukubalia makubaliano na Israel, sasa Israel kashindwa nini !! mpaka leo wapalestina hawawezi kuja Misri maandaki na njia zote zimefungwa kwasababu ya makubaliano hayo ya Israel na misri , Misri ni msaliti mbele ya waarabu wenzie lakini ni mpendwa kwa Israel na USA , soma historia acha uvivu
 
Huna ulijualo wacha ninyamaze naona nabishana na punguani.
Vita vya Israel na Lebanon anaitaja Palestines sijui inaingiaje.
Hizbollah kwan wapo Palestines au unajitoa akili?!
Unaijuua persian gulf war chanzo chake mpk iraq akaivamia Kuwait ?!
Hujui Kasome ndio urudi hapa.
Yote ya yote waarabu wasaliti ndio maana japokuwa Lebanon ilivamiwa na Israel 2006 ikaomba msaada na kupata msaada kwa wahajemi Iran.na kweli iran ikawaongezea nguvu Hizbollah na mpk waisrael wakatwangwa na kukimbia mpk wazir wao alijihudhuru mwaka ule.
Na asa hv pale middle East watu humkimbilia sana muhajemi na kumuacha mwarabu kwasababu mnafiki.
Pakistan,iraq,Afghanistan,Lebanon zote zinamkimbilia Iran muhajemi.
Wamemuwekea vikwazo sababu Iraq ni dhaifu hawezi kuwasaidia ndio maana waarabu wakachagua kuwa upande wa mwenye nguvu (USA), mpaka Iraq akaondoka mwenyewe akaiacha kuwaiti, sasa unataka ushirikiane na mtu dhaifu wakati mwenye nguvu yupo !! Waarabu wanafanya kitu sahihi kwa nchi yao
 
Mbona unaruka km unatolewa bikra?
NIJIBU SWALI ISRAEL ALIFANYWA NN ALIPOENDA LRBANON?!
NA KWANN YULE WAZIR WAO ALIJIHUDHURU MADARAKANI KISA KUSHINDWA KUWAPIGA HIZBOLLAH ?!
MBONA UNAJITOA AKILI?!
VITA VYA PALESTINES NA ISRAIL NI VYA KIHISTORIA VIGUMU KUAMULIKA.
TWENDE SEHEM ZINGINE KM LEBANON.
2006 ISRAEL ILIIVAMIA LEBANON KUTAKA KUIPORA ILE TAIFA.
IRAN ALIWAUNGA MKONO HIZBOLLAH NA ISRAIL AKAPIGWA NA KUONDOKA.
MPK LEO AMESHIKA ADABU KWA MUIRAN.
Israel anawachafua hili yeye aishi kwa amani wewe unasema umempiga !! Israel ndio mshindi waarabu wote mmeshindwa kuwasaidia wapalestina wanafungiwa kwenye ukuta kama wakimbizi
 
Mbona unaruka km unatolewa bikra?
NIJIBU SWALI ISRAEL ALIFANYWA NN ALIPOENDA LRBANON?!
NA KWANN YULE WAZIR WAO ALIJIHUDHURU MADARAKANI KISA KUSHINDWA KUWAPIGA HIZBOLLAH ?!
MBONA UNAJITOA AKILI?!
VITA VYA PALESTINES NA ISRAIL NI VYA KIHISTORIA VIGUMU KUAMULIKA.
TWENDE SEHEM ZINGINE KM LEBANON.
2006 ISRAEL ILIIVAMIA LEBANON KUTAKA KUIPORA ILE TAIFA.
IRAN ALIWAUNGA MKONO HIZBOLLAH NA ISRAIL AKAPIGWA NA KUONDOKA.
MPK LEO AMESHIKA ADABU KWA MUIRAN.
hakuna alichofanywa chochote kwasababu lengo la Israel ni kuwa na nchi kamili , wanayo nchi wenyeji wamefanywa watumwa , muisrael 1 akifa wapalestina 100 watalipa damu ya muisrael yule , sasa unaposema Israel kashindwa unachekesha watu , waarabu wameshindwa kumsaidia palestina halafu unajitangazia ushindi kwa Muisrael wewe kweli hamnazo,umekalia Lebanon sasa toka 2006 ISRAEL anaendelea au amerudi nyuma ?, mtu anapigana vita kwenu na kuharibu miundo mbinu yenu , wakati huu yeye nchi yake iko salama halafu unasema umempiga !! amesitisha operation tu baada ya kuona haina faida
 
Embu acha uzwazwa bwege ww.
Kasome Israel -lebanese war of 2006.
Halafu urudi hapa
Yaani wewe kweli zero yaani mtu anakuja kupigana kwenye ardhi yako uharibifu unatokea kwako halafu unajitangazia ushindi !!! wewe lini ulipeleka pua yako Tel Aviv kama autotoka maiti kavu, yaani Taifa dogo la Israel linapelekesha puta waarabu wote halafu unasema umeshinda , ebu kanywe kahawa mjipongeze ujinga wenu
 
Back
Top Bottom