Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,156
- 2,573
Na ukiangalia kwa zama za sasa tunaneba najis nyingi tutembeapo barabarani.
Kwahiyo tukaamua kufata kauli ya pili au kitendo cha mtume kuvua viatu pindi vina najis ili aswali.
Ila pia tungeamua kuvisugua ktk mchanga ili najis itoke sawa tungeswali navyo pia.
Kwahiyo kaka yote yajuzu.

nipe hilo andiko linalosema mtume alivua viatu ,au sehemu aliposema watu wakiswali wavue viatu .au nipe andiko lolote linaloelekeza mtu akiswali avue viatu.
NB .usinipe maelezo yako wewe kutoka kichwani mwako cjui viatu vinabeba matope hapana naomba nipe andiko lolote