ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 8,571
- 7,219
Mungu ndio nini ?Siyo visheti bana , vishetani!
Yaani pale ilikuwa lazima lengo la Mungu litimie, kwa mpango ule.
Ndivyo Mungu wetu alivyo, anawaacha watu wanajidai sana, but siku akisema ''no'' ni ''no kweli''
wana wa Israel aliwaburuza jangwani, kwa nini asinge wabeba tu na kuwaweka nchi ya ahadi?
ndo ilivo kuwa kwa masihi pia, alipanga iwe hivyo hakuna wa kuhoji. njoo kanisani utafaidi ndg Mungu wetu anakupenda, nakuombea sasa.