Israel yajiandaa kuishambulia Iran

Israel yajiandaa kuishambulia Iran

Taasisi kadhaa za kimataifa zasema Iran inakaribia kufanikisha umiliki wa bomu la nyuklia.

Israel yaapa kuishambulia, kwani haitaruhusu Iran kuwa na Nyuklia maana inatishia uhai wa Israel.

Iran imeanza mazoezi ya kujiweka tayari, hivi karibuni ilivujisha picha za mahandaki ambayo ndani yake kuna ndege vita, mifumo ya ulinzi.

Iran yaomba Urusi iipe mfumo wa ulinzi anga wa S400.

Israel inajaribu kila mbinu ili kuifanyia Iran Preemptive strike.

Dunia ijipange haswa

1. N. Korea/China/Russia vs Skorea/Japan/USA + Allies

2. China vs Taiwan/USA/Japan

3. Russia + Allies/China vs Ukraine/NATO/Allies
Swala amani bado sana kwa dunia ya leo, labda ubepari uishe
 
Hawa katu hawawezi kuingia kwenye vita kamili kama russia alichofanya kwa ukraine.
Itakuwa ni disaster kabisa pale mashariki ya kati. Maana hii haitakuwa vita ya mmoja kumpiga mwenzake kwenye ardhi yake huku kwake kukiwa salama bali itakuwa ni kushambuliana kwenye ardhi ya kila mmoja.
Pre emptive strike ndio itamuokoa attacker
 
Uko sahihi ila udogo wa Israel pia unaifanya iwe na air defence system nzuri. Ikifanya activation ya Iron Dome, Arrow 3, David's Sling na nyingine ilizonazo tiyari inapunguza mashambulizi mengi ya makombora. Na hapo ujue Israel hufanya kumiliki airspace.
Hii vita itakuwa ngumu sana
Israil airdeffence itazuia tu vikombora vya palestine ballistic za iran zitapita km hakuna kitu
 
Israil airdeffence itazuia tu vikombora vya palestine ballistic za iran zitapita km hakuna kitu
Israel sio mara yao ya kwanza kuingia vitani wala haitokuwa mara ya mwisho, hiyo mikwara haiisumbui. Hivyo unavyoita vikombora vya Palestine si ni mazao ya Iran hiyohiyo. Israel ina air defence systems ambazo hazijawahi hata kutumika ila ushajua zitapigwa. We umezoea Iron Dome pekee ndio hutumika dhidi ya maroketi ya Hamas na Hezbollah wakati ina systems nyingine tano na zaidi zimesubiri vita.

Israel wanatrack launch sites za maroketi ya chini ya 100kg sembuse hizo ballistic missiles. Hapo air campaign watakayopigana sio ya kawaida ila sina wasiwasi na Israel. Uzuri hawapakani kusema Iran itatumia advantage yake ya wanajeshi wengi, ni mwendo wa ndege, makombora, cyber warfare, assassinations na proxies
 
Back
Top Bottom