Acha story za ghahawa.Ngoja tuone Israel nae akijitutumua maana Trump na USA yake walichemka
US walivyomuua yule mtaalam wa nyukilia wa Iran Irani wakajibu Kwa kulipua military base ya US na wakamwambia Trump ukijibu hili shambulio tunakuahidi tutailipua Pentagon Trump ikabidi atulize kitenesi