Israel yajiandaa kuishambulia Iran

Israel yajiandaa kuishambulia Iran

Hata walipovamia Lebanon ili kuliangamiza kundi la hizbollah walijipanga lkn kilichotokea kila mmoja wetu anajua

Hayo mashambuliz ya kuvizia dhid ya wanasayans na maeneo nyeti ndan ya Iran hakuna ushahid wa moja kwa moja kuwa izrael anahusika

Na haitowezekana ashambulie km anavyofanya Syria na Palestine kwa sabab jamaa watalipiza km walivyolipiza kwa kushambulia kambi za USA
Vita ya kupigana na vikundi ni ngumu sana na ndo maana hakuna aliyewahi shinda. Ni tofauti ma vita ya Wanajeshi kwa Wanajeshi
 
Kwa kumbukumbu zangu analo Bomu ..

T14 Armata
Nilikwepa kuanzisha uzi maana mimi sio mpenzi wa kuanza mwenyewe. Iran inasemwa na shirika la uangalizi wa atomiki kwamba imefikia 80% ya urutubishaji wa uranium. Wakati Israel kwa siri inasemekana imeiambia Marekani kwamba red line yake ni 90% kwahiyo muda wowote Israel ikiamua itashambulia kinu hicho cha nyuklia.

Kwa upande wangu sioni kama hilo linatokea zaidi ya mwezi April mwaka huu, ikizidi hapo basi haipo tena. Chance za kushambulia ni kubwa na haitokuwa mara ya kwanza, Syria na Iraq zishaharibiwa vinu vyao na Israel. Libya pale Ghaddafi alitoa hela nyingi ila management na wanasayansi wake walikuwa vilaza hamna kitu cha maana walifanya akakata tamaa
 
Vita ya kupigana na vikundi ni ngumu sana na ndo maana hakuna aliyewahi shinda. Ni tofauti ma vita ya Wanajeshi kwa Wanajeshi
Izrael hawez anzisha vita bila ya kumjuza sponsa wake kwa sabab vita ni gharama na kwa vyovyote hana ubavu wa kwenda front peke

Na sponsa nae mida hii yupo bize kumsaidia Ukraine dhid ya Dubu itakua ngumu kujishughulisha na matukio mawili makubwa kwa wakat mmoja
 
Ngoja tuone Israel nae akijitutumua maana Trump na USA yake walichemka

US walivyomuua yule mtaalam wa nyukilia wa Iran Irani wakajibu Kwa kulipua military base ya US na wakamwambia Trump ukijibu hili shambulio tunakuahidi tutailipua Pentagon Trump ikabidi atulize kitenesi
 
Nimeona sehemu juzi Iran imeanza drills za cyber defence, air drills, air defence drills.

Iran inadai kuwa Israel hana interceptor zakutosha kuhimili vita kati ya Iran, Palestine kwa wakati 1

Israel anahitaji nchi atayotumia kama base ili ndege zake ziweze fika ndani ya Iran, vinginevyo apate air tanker


Kwa ujumla kuna ukimya sana kutoka Israel.
 
Israel huwa haiongei mara mbili mbili. Na wala haijali mtasema nini haijalishi nyie ni Marekani au nani, sera ya kwanza kabisa ya Israel ni kufanya kitu ambacho kinawafaa wao hao washirika shauri yao.
Kwa ni miaka mingapi huu wimbo wa Israel kujiandaa kushambulia kijeshi Iran umekuwa ukiimbwa?
Mm tangu naanza kuwa na uwelewa na siasa za kimataifa mwaka 2010 nimekuwa nikisikia huu wimbo wa Israel inakaribia kuvishambulia vinu vya nyuklia vya Iran kwa hiyo hakuna jipya hapa.
 
Ngoja tuone Israel nae akijitutumua maana Trump na USA yake walichemka

US walivyomuua yule mtaalam wa nyukilia wa Iran Irani wakajibu Kwa kulipua military base ya US na wakamwambia Trump ukijibu hili shambulio tunakuahidi tutailioua Pentagon Trump ikabidi atulize kitenesi
US ilimuua General Qasem Soleimani wa IRGC. Israel ndio imeua wanasayansi watano wa nyuklia kwa nyakati tofauti pale Iran.

Na hilo la Iran kushambulia kambi za Marekani pale Syria ni retaliation ya kutuliza ghasia za mashabiki. Iran inajua haikuwa na uwezo wa kupigana na Marekani ilibidi ifyatue makombora yatue kwenye tarmac ya airbase ambayo haikuwa na active air defence. Usiku ule waliposhambulia hiyo base Iran walidondosha ndege ya shirika la Ukraine ikiruka mjini Tehran na kuua watu wote zaidi ya 200 kwa kiwewe. Walikuwa chonjo na wasiwasi wakidhani Marekani itawashambulia kumbe iliwaelewa tu.
Soleimani alikuwa kama mkuu wa jeshi wa Iran maana Ayatollah anaipenda IRGC na kuipa priority kuliko jeshi la nchi.
 
Afrika ina nafasi gani hapo, au yenyewe itakuwa na vita vya ndani kwa ndani na nchi na nchi kuvamiana? Sasa kama itafikia hivyo maana yake duniani kutakuwa na vita kila kona. Vipi kuhusu amerika kusini na kati wenyewe hawana mizozo? Sasa mbona dunia itaharibiwa vibaya kuliko vita zilizowahi kutokea? Wakubwa wakae mezani wayamalize hatutaki vita
 
Kwa ni miaka mingapi huu wimbo wa Israel kujiandaa kushambulia kijeshi Iran umekuwa ukiimbwa?
Mm tangu naanza kuwa na uwelewa na siasa za kimataifa mwaka 2010 nimekuwa nikisikia huu wimbo wa Israel inakaribia kuvishambulia vinu vya nyuklia vya Iran kwa hiyo hakuna jipya hapa.
That time hakukuwa na urutubishaji wa kiwango cha kutengeneza silaha za nyuklia. Na mazungumzo yalikuwa yakifanyika. Na kitisho hakina expiry date, mbona Korea zimepigana mara ya mwisho miaka ya 1950s ila hadi sasa zina uhasama
 
Back
Top Bottom