Mashariki ya kati ina matatizo mengi sana ?Taasisi kadhaa za kimataifa zasema Iran inakaribia kufanikisha umiliki wa bomu la nyuklia.
Israel yaapa kuishambulia, kwani haitaruhusu Iran kuwa na Nyuklia maana inatishia uhai wa Israel.
Iran imeanza mazoezi ya kujiweka tayari, hivi karibuni ilivujisha picha za mahandaki ambayo ndani yake kuna ndege vita, mifumo ya ulinzi.
Iran yaomba Urusi iipe mfumo wa ulinzi anga wa S400.
Israel inajaribu kila mbinu ili kuifanyia Iran Preemptive strike.
Dunia ijipange haswa
1. N. Korea/China/Russia vs Skorea/Japan/USA + Allies
2. China vs Taiwan/USA/Japan
3. Russia + Allies/China vs Ukraine/NATO/Allies
Hawaipendi Israel kabisa. Ila upinzani haikosekani na serikali yao ina mambo mengine meusiKwahiyo wana wapenda waisrael ?
Pale njia mazungumzo itakapo fail kabisa na mikataba/makubaliano ya 1971,1972 itakapo vunjwa na marekani na washirika wake.Unadhani hawatakuja ivamia?
Ipo siku Taiwan itavamiwa kimatani matani maana kila siku China inapeleka ndege mipakani na kurudi ipo siku Ndege zitaenda moja kwa moja
Makubaliano yao ya amani asiya vunje ili kuepesha hilo, asipo fanya hivyo 2049 itakuwa mbali sana.Tusubiri 2049 Wakifikisha miaka 100 .. Ila America hatokubali .
Mkuu umeandika kama wale wanaotuma maoni BBC baada ya matangazo 😂😂 wao pia humalizia "wakae mezani wayamalize "Afrika ina nafasi gani hapo, au yenyewe itakuwa na vita vya ndani kwa ndani na nchi na nchi kuvamiana? Sasa kama itafikia hivyo maana yake duniani kutakuwa na vita kila kona. Vipi kuhusu amerika kusini na kati wenyewe hawana mizozo? Sasa mbona dunia itaharibiwa vibaya kuliko vita zilizowahi kutokea? Wakubwa wakae mezani wayamalize hatutaki vita
Iran ilipunguza urutubishaji ya madini ya uran kuanzia mwaka 2015 baada ya ule mkataba wa nyukilia kusainiwa.That time hakukuwa na urutubishaji wa kiwango cha kutengeneza silaha za nyuklia. Na mazungumzo yalikuwa yakifanyika. Na kitisho hakina expiry date, mbona Korea zimepigana mara ya mwisho miaka ya 1950s ila hadi sasa zina uhasama
Umeamke leo mkuu., Urusi alijipanga Ukraine lakini anakodi majeshi na silaha toka iran chini ya mwaka 1, imekaaje hiyo?Ukiona mtu anataka kukupiga jua kajipanga.
Ukiona mtu anauwezo wa kuja kwako akaua paka wako, maana yake hata wewe anakuweza
Hata russia kwa Ukraine alivamia Kyiv zile siku mbili za mwanzo sasa anatuma long range akiwa black seaVita ya Israel na Iran ni vita pekee ya mbali ambayo hakuna atayeweza enda nyumbani kwa mwenzake.....
Iran anaweza kuitumia Hizibullah kuivamia Israel.Vita ya Israel na Iran ni vita pekee ya mbali ambayo hakuna atayeweza enda nyumbani kwa mwenzake.....
Hizi taarifa za uongo unazitoa wapi?Ngoja tuone Israel nae akijitutumua maana Trump na USA yake walichemka
US walivyomuua yule mtaalam wa nyukilia wa Iran Irani wakajibu Kwa kulipua military base ya US na wakamwambia Trump ukijibu hili shambulio tunakuahidi tutailioua Pentagon Trump ikabidi atulize kitenesi
Palestina akikubali kuwa landing ground ya askari wa Iran ndio utakuwa mwisho wake.Nimeona sehemu juzi Iran imeanza drills za cyber defence, air drills, air defence drills.
Iran inadai kuwa Israel hana interceptor zakutosha kuhimili vita kati ya Iran, Palestine kwa wakati 1
Israel anahitaji nchi atayotumia kama base ili ndege zake ziweze fika ndani ya Iran, vinginevyo apate air tanker
Kwa ujumla kuna ukimya sana kutoka Israel.
Jenin ni hatari tupu, ni kambi ya wakimbizi yenye Hamas ndani yakePalestina akikubali kuwa landing ground ya askari wa Iran ndio utakuwa mwisho wake.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Ulikuwepo wakati Ahmed Nejad akiwa anakula kiapo kila siku cha kuifuta Israeli kwenye ramani ya dunia?Kwa ni miaka mingapi huu wimbo wa Israel kujiandaa kushambulia kijeshi Iran umekuwa ukiimbwa?
Mm tangu naanza kuwa na uwelewa na siasa za kimataifa mwaka 2010 nimekuwa nikisikia huu wimbo wa Israel inakaribia kuvishambulia vinu vya nyuklia vya Iran kwa hiyo hakuna jipya hapa.
NgonjeraTaasisi kadhaa za kimataifa zasema Iran inakaribia kufanikisha umiliki wa bomu la nyuklia.
Israel yaapa kuishambulia, kwani haitaruhusu Iran kuwa na Nyuklia maana inatishia uhai wa Israel.
Iran imeanza mazoezi ya kujiweka tayari, hivi karibuni ilivujisha picha za mahandaki ambayo ndani yake kuna ndege vita, mifumo ya ulinzi.
Iran yaomba Urusi iipe mfumo wa ulinzi anga wa S400.
Israel inajaribu kila mbinu ili kuifanyia Iran Preemptive strike.
Dunia ijipange haswa
1. N. Korea/China/Russia vs Skorea/Japan/USA + Allies
2. China vs Taiwan/USA/Japan
3. Russia + Allies/China vs Ukraine/NATO/Allies