Israel ina precision kubwa kwenye silaha zake. Hata target iwe ni ukubwa wa mita tano za mraba inaweza toka kwake uko ikaja shambulia vizuri. Ukubwa wa Iraq haukuizuia kuharibu kinu cha Osirak na Iran ikashangilia kwelikweli maana Saddam Hussein alikuwa awashambulie Iran na nyuklia yule
View attachment 2535730
Wala ukubwa wa Syria haukuizuia isishambuliwe kinu chake
View attachment 2535731
Advantage ya kijiografia walikuwa nayo maadui wa Israel miaka yote ya mapigano na hadi leo kwahiyo sio jambo la kushtukiza. Egypt na Syria zilipoungana ziliziidi Israel kwa namba ya wanajeshi, vifaru, ndege, reserve, bajeti, rasilimali na ukubwa wa eneo.
Iran iko powerful ila usiichukulie Israel kizembe. Israel wakikaa vikao vyao vya usalama wakaamua wafanye shambulizi watafanya. Matokeo ya hilo shambulizi yatakuja baadae