let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 4,179
- 9,750
Washirika.Nikisema faana is my ally ninamaanisha faana ni mshirika wangu. So, wingi ndiyo alliesAllies ni watu gani ...kuuliza si ujinga
Kwa tafsiri ya gumbalu.😁😁
Washirika.Nikisema faana is my ally ninamaanisha faana ni mshirika wangu. So, wingi ndiyo alliesAllies ni watu gani ...kuuliza si ujinga
Nakushukuru ubarikiwe kupita maelezo MkuuWashirika.Nikisema faana is my ally ninamaanisha faana ni mshirika wangu. So, wingi ndiyo allies
Kwa tafsiri ya gumbalu.😁😁
Aksante kubwa kwako MkuuWashirika
Labda watumie anga ya Iraq au Syria.....ila wakifanya hayo lazima Iran walipize hapo middle east itawaka moto.Bado Israel inahitaji nchi uchochoro wa kupita kufanya airstrikes. Iran haina ndege za kushambulia ila ina cruise missiles nyingi.
Kuhusu tankers hizo si zipo tu, hata wakitaka kuongeza Boeing wanazo tankers nyingi na Israel iko compatible na ndege zao na USAF. Au wachukue hivi vidrone viko kwenye testing mwishoniView attachment 2535896
Brother kirat za kutwa😃😃😃, upo na huku, nimepita tu nikujulie hali mpwawe zelenskyFrance 24 waliripoti Jana kwamba Iran amebakiza siku 20 tu amiliki Bomu la nyuklia,
Iran wanapiga ile tukose wote na wana mpango wa kushambulia straight of Hormuz kuzuia meli za mafuta kutoka Uarabuni kwenda Ulaya na kuzuia meli kupita Suez canal. So vita ikianza Egypt, Saudi Arabia, Qatar ni uhakika kwamba watataka Iran apigwe mapema kabisa. Marekani na UK ni uhakika wataingia endapo meli zao za mafuta zitashambuliwa.Labda watumie anga ya Iraq au Syria.....ila wakifanya hayo lazima Iran walipize hapo middle east itawaka moto.
Marekani na ulaya wapo bize na Urusi huko Ukraine, sidhani kama wataruhusu gesi nyingine hatari ilipuliwe hapo middle east wakati hii iliyopo haijulikani hatma yake.
Rais Rouhani ndio alimsoma Trump anavyopenda amani hivyo akawa anatumia mwanya huo kupunguza vikwazo vya kiuchumi kwa Iran kwa kutoa offer ya kufuata masharti ya kurutubisha nyuklia na kukaguliwa na shirika la atomiki duniani. Na ilisaidia sana pia nadhani ndio mafuta ya Iran yakaanza kuuzwa zaidi.Hata sasa mazungumzo yana fanyika japo kuwa kwa sasa yamekwama na Inavyo onekana Iran hana nia ya kutengeneza silaha za nyukilia bali imekuwa ikitumia mradi wa nyukilia kama mtaji wa kisiasa kwa mataifa ya Magharibi.
Suala la Israel kuishambulia Iran lipo kinadharia lakini kiuhalisia ni mgumu.
Ila bila Marekani ni vigumu sana kwa Israel kuishambulia Iran hasa wakati huu ambapo Marekani na NATO wapo bize na Urusi huko Ukraine.Iran wanapiga ile tukose wote na wana mpango wa kushambulia straight of Hormuz kuzuia meli za mafuta kutoka Uarabuni kwenda Ulaya na kuzuia meli kupita Suez canal. So vita ikianza Egypt, Saudi Arabia, Qatar ni uhakika kwamba watataka Iran apigwe mapema kabisa. Marekani na UK ni uhakika wataingia endapo meli zao za mafuta zitashambuliwa.
Ndio maana Iran ina commitment na speed boats, missile boats na vimeli uchwara ambavyo vinafanya shambulizi mara moja na havina uhakika wa kurudi. Na zile underground bases karibu na bahari ambazo hata hivyo zimeshagunduliwa ziko position gani. Na suicide drones.
Hilo anga la Syria na Iraq ni uchochoro wa muda mrefu kwa Israel. Sema Iran inaweza funga baadhi ya AD systems
Israel saa zingine anaenda solo bila kumtaarifu mtu...Ila bila Marekani ni vigumu sana kwa Israel kuishambulia Iran hasa wakati huu ambapo Marekani na NATO wapo bize na Urusi huko Ukraine.
Rouhani alikuwa 'moderate' ndio maana hata walifikia makubaliano na Obama japo alipata upinzani kutoka kwa wenye msimamo mkali Ila kichaa Trump akishirikiana na Netanyau waliuharibu bila kuwa na plan 'B' ya matokeo yake.......
Kwa misimamo mikali iliyopo Tel Aviv kwa sasa (serikali ya Netanyau) na misimamo mikali iliyopo Tehran matumiano ya makubaliano mapya kwa wakati huu ni ndoto labda warudi 'moderates' madarakani kwenye mataifa yote.
Mkuu Nchi zenye watu wenye akili kabla ya kufanya uwamuzi huwa wanaangalia mazingira, mazingira ya Iraq ya kipindi hicho huwezi kulinganisha na mazingira ya Iran ya sasa unapo iongelea Iran ya sasa unaongelea mojawapo ya taifa lenye nguvu kubwa za kijeshi na ktekinolojia takita mashariki ya kati hivyo usitegemee Israel kukurupuka tu na kushambulia kisa tu wana weza kufanya hivyo.Israel saa zingine anaenda solo bila kumtaarifu mtu...
Kumbuka kipindi anaenda lipua reactors za Iraq hakumtaarifu mtu, alishambulia afu hadi Marekani aliunga mkono kupinga alichofanya Israel
Iraq,kwa kauli ya mwanasayansi wao akihojiwa 'the hard talk bbc' alisema waliachana na mpango wa nuclear 1990,marekani walikua na fununu wakashambulia kwa ndege zao lakini walishambulia MITA 300+ pogo,wewe Hilo la Israel kushambulia vinu Iraq umelitoa wapi!?Nilikwepa kuanzisha uzi maana mimi sio mpenzi wa kuanza mwenyewe. Iran inasemwa na shirika la uangalizi wa atomiki kwamba imefikia 80% ya urutubishaji wa uranium. Wakati Israel kwa siri inasemekana imeiambia Marekani kwamba red line yake ni 90% kwahiyo muda wowote Israel ikiamua itashambulia kinu hicho cha nyuklia.
Kwa upande wangu sioni kama hilo linatokea zaidi ya mwezi April mwaka huu, ikizidi hapo basi haipo tena. Chance za kushambulia ni kubwa na haitokuwa mara ya kwanza, Syria na Iraq zishaharibiwa vinu vyao na Israel. Libya pale Ghaddafi alitoa hela nyingi ila management na wanasayansi wake walikuwa vilaza hamna kitu cha maana walifanya akakata tamaa
Tumia internet Marekani hawakuwahi shambulia Reactor za IraqIraq,kwa kauli ya mwanasayansi wao akihojiwa 'the hard talk bbc' alisema waliachana na mpango wa nuclear 1990,marekani walikua na fununu wakashambulia kwa ndege zao lakini walishambulia MITA 300+ pogo,wewe Hilo la Israel kushambulia vinu Iraq umelitoa wapi!?
Israel walienda kumpiga na nyundo mwanasayansi mmoja wapo wa Iraq akisaka nyaraka za nuclear ufaransa,1991 Vita vya ghuba marekani akatumia f14/16 kudhambulia vinu lakini akapiga off target,hiyo ni kwa mujibu wa nuclear scientist,we hutaki,unataka Israel ndiyo awe amepiga Iraq,kipindi hicho Israel anaogopa scud za iraqTumia internet Marekani hawakuwahi shambulia Reactor za Iraq
Israel ilishambulia kuanzia ndani ya Ufaransa hadi ndani ya Iraq, ndio ukawa mwisho maana kujenga reactor ni miaka
Hii vita toka mwaka 2000 uliahidi lazima Israel aipige Iran, mbona kila siku unaleta mboyoyo tu. Kama ni rahisi kwanini wasimvamie tu? Unafikiri Iran ni kitu cha mchezo mchezo eeh? Wale ni Persia.. wababe wa vita toka enzi na enzi na enzi.Taasisi kadhaa za kimataifa zasema Iran inakaribia kufanikisha umiliki wa bomu la nyuklia.
Israel yaapa kuishambulia, kwani haitaruhusu Iran kuwa na Nyuklia maana inatishia uhai wa Israel.
Iran imeanza mazoezi ya kujiweka tayari, hivi karibuni ilivujisha picha za mahandaki ambayo ndani yake kuna ndege vita, mifumo ya ulinzi.
Iran yaomba Urusi iipe mfumo wa ulinzi anga wa S400.
Israel inajaribu kila mbinu ili kuifanyia Iran Preemptive strike.
Dunia ijipange haswa
1. N. Korea/China/Russia vs Skorea/Japan/USA + Allies
2. China vs Taiwan/USA/Japan
3. Russia + Allies/China vs Ukraine/NATO/Allies
Iran watachezea kipigo kizuri tuu the mighty Israel ni taifa teule hakuna wa kumbabaisha.Athubutu akumbane na maafa.