Israel yajiandaa kuishambulia Iran

Israel yajiandaa kuishambulia Iran

M

Mm sio mmezeshwa kasumba kama wewe.
Huwa naongea nachokijua na naongea kitu ambacho nimekifanyia uchunguzi siongei blaa blaa blaa km nyie.
Labda nikuongezee maarifa tu,kwa analysis ya US navy wenyewe wanaelewa middle east ni Iran peke yake yenye nguvu ya makombora short range,medium range na long range ballistic missiles.
Na kama Israel ana nguvu kwanini hatumi ndege Tehran kama anavyozituma Syria Damascus?!Au kama anavyotuma Palestine jenin camp!?
Syria likirushwa jiwe tu IDF inatuma f35 kama zote ila Israel anayo sababu ya kuishambulia Iran lakini mpaka sasa hawezi.
Jiulize kwanini
Iran kila mara madai yake ni kuifuta Israel kwenye ramani.Anashindwa nini?Mara ngapi Israel anaua wanasayansi wa Iran,na Iran wanathibitisha kabisa huu mchongo umefanywa na MOSAD,kwa nini wasilipize?
 
Iran kila mara madai yake ni kuifuta Israel kwenye ramani.Anashindwa nini?Mara ngapi Israel anaua wanasayansi wa Iran,na Iran wanathibitisha kabisa huu mchongo umefanywa na MOSAD,kwa nini wasilipize?
Ingekua kila nchi inaanzisha vita kwa namna hiyo basi Dunia isingekalika.
Pia tambua kuwa Iran anawindwa na mataifa makubwa baba zake Israel (USA,FRANCE,UK) hapo hapo kina Bahrain nao ni vibaraka wa USA ambao wako radhi kuungana nae kumpiga Iran.
Hivyo Iran anajua akianzisha vita hatopigana na Israel pekeake bali Imperialists watahusika.
Ndio maana anasubiri aanzwe yeye.
Kumuua mwanasayansi kwa kumtumia jasusi ni justification dhaifu sana kuanzisha hot war
 
Na wao wafanye hivyo hvyo sasa Ili tuone ubabe wake
 
Taasisi kadhaa za kimataifa zasema Iran inakaribia kufanikisha umiliki wa bomu la nyuklia.

Israel yaapa kuishambulia, kwani haitaruhusu Iran kuwa na Nyuklia maana inatishia uhai wa Israel.

Iran imeanza mazoezi ya kujiweka tayari, hivi karibuni ilivujisha picha za mahandaki ambayo ndani yake kuna ndege vita, mifumo ya ulinzi.

Iran yaomba Urusi iipe mfumo wa ulinzi anga wa S400.

Israel inajaribu kila mbinu ili kuifanyia Iran Preemptive strike.

Dunia ijipange haswa

1. N. Korea/China/Russia vs Skorea/Japan/USA + Allies

2. China vs Taiwan/USA/Japan

3. Russia + Allies/China vs Ukraine/NATO/Allies
kiburi kitaifanya iran kuwa kama iran muda si mrefu. tunalisubiri hilo kwa hamu.
 
Back
Top Bottom