Israel yajiandaa kuishambulia Iran

Israel yajiandaa kuishambulia Iran

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,321
Reaction score
103,591
Taasisi kadhaa za kimataifa zasema Iran inakaribia kufanikisha umiliki wa bomu la nyuklia.

Israel yaapa kuishambulia, kwani haitaruhusu Iran kuwa na Nyuklia maana inatishia uhai wa Israel.

Iran imeanza mazoezi ya kujiweka tayari, hivi karibuni ilivujisha picha za mahandaki ambayo ndani yake kuna ndege vita, mifumo ya ulinzi.

Iran yaomba Urusi iipe mfumo wa ulinzi anga wa S400.

Israel inajaribu kila mbinu ili kuifanyia Iran Preemptive strike.

Dunia ijipange haswa

1. N. Korea/China/Russia vs Skorea/Japan/USA + Allies

2. China vs Taiwan/USA/Japan

3. Russia + Allies/China vs Ukraine/NATO/Allies
 
Taasisi kadhaa za kimataifa zasema Iran inakaribia kufanikisha umiliki wa bomu la nyuklia.

Israel yaapa kuishambulia, kwani haitaruhusu Iran kuwa na Nyuklia maana inatishia uhai wa Israel.

Iran imeanza mazoezi ya kujiweka tayari, hivi karibuni ilivujisha picha za mahandaki ambayo ndani yake kuna ndege vita, mifumo ya ulinzi.

Iran yaomba Urusi iipe mfumo wa ulinzi anga wa S400.

Israel inajaribu kila mbinu ili kuifanyia Iran Preemptive strike.


Dunia ijipange haswa

1.NKorea/China/Russia vs Skorea/Japan/USA + Allies

2. China vs Taiwan/USA/Japan

3. Russia + Allies/China vs Ukraine/NATO/Allies
Labda watumie mamluk lkn izrael hawana ubavu wa kwenda front na nchi yenye mizinga inayoweza kushambulia ndan ya Haifa,TelAviv
 
Ukiona mtu anataka kukupiga jua kajipanga.

Ukiona mtu anauwezo wa kuja kwako akaua paka wako, maana yake hata wewe anakuweza
Hata walipovamia Lebanon ili kuliangamiza kundi la hizbollah walijipanga lkn kilichotokea kila mmoja wetu anajua

Hayo mashambuliz ya kuvizia dhid ya wanasayans na maeneo nyeti ndan ya Iran hakuna ushahid wa moja kwa moja kuwa izrael anahusika

Na haitowezekana ashambulie km anavyofanya Syria na Palestine kwa sabab jamaa watalipiza km walivyolipiza kwa kushambulia kambi za USA
 
Back
Top Bottom