ISRAEL v/s IRAN.

ISRAEL v/s IRAN.

Status
Not open for further replies.
Huyo ndo kaka nathanael.
bronathanael@yahoo.com .
bnrzn3.jpg
 
serikali iliyoko irag baada ya saddamu ni serikali ambayo iko upande wa iran,ndo kusema marekani wameingia gharama kubwa kumtoa saddam halafu wairan wakaichukua irag kiulaini,hii waswahili wanasema ni kuruka majivu na kukanyaga moto.saa hizi silaha za iran kwenda syria kwa assad zinapitia hapo irag.
Ata Kama unakataa Uko kiiman Zaidi! Washia kuwepo pale Iraq haimaanishi kua Iran atafanya awezavo.
Na huo utawala Upo tu wala hauingiliwi na Iran.
Hakuna silaha inayopita Iraq kwenda Syria kutokea Iran. Huo ni uongo.
 
hahaha,wewe bisha tu mimi nitacrush point zako utashangaa,HAKUNA SILAHA YA IRAN INAYOPITA IRAG KWENDA SYRIA?

Stay tuned nitakuwekea evidence.
 
Kutakuwa na vita na tetesi za vita, lakini huo ni mwanzo wa utungu. yaani watu wa humu mnashangaza sana, mnafurahia nchi flani kuwa mbabe wa vita ilihali mamia ya watu watapoteza maisha. Kama vipi nchi hizo zote zije ziipige TZ then tuone mnaoshabikia vita hiyo ya maneno mtakalosema.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
Hizo ni ndoto za mchana Iran hawezi kwenda peke yake Israel kwa maana kwenda Israel tu kuna nchi hapo katikati lazima apate APROVAL ya kupita katika nchi hizo kwa maana hiyo atakuwa amesaidiwa hata kama atatumia makombora ya masafa marefu nijuavyo mimi hayafua dafu mimi narudia kukuambia tena nchi zote hizi mbili haziwezi kumshambulia mwingine bila msaada wa nchi nyingine kinyume chake itakuwa tunadanganyana tu na kufarijiana BURE.
Kwa tarifa yako we kweli uko nyuma sana hivi unadhani Iran akitaka kupiga Israel atapewa msada na nchi kama Jordan au Saud Arabia, ndio lazima apite huko au apitie Iraq na Syria lakini usisahau nchi zote hizo haziwezi kuipa green light Iran, isipokuwa Syria tu.

Sa we unadhani Iran akitaka kwenda kupiga Israel atapitia Syria? Sababu hataki Syria iwe kwenye hatari lazima atapitia kwa marafiki zake Israel tena bila kwaomba msada wowote ule.

Iran atapitia nchi hizo hizo za kiarabu Saud Arabia na Jordan, atazijam Radar zao kutokana na technology yake vipi iko kali, hata USA wamekubalia Iran ki Technology ya kuzijam Radar na kuzipoteza ziende anavyo taka yuko mbali sana, wakati Israel hana uwezo huo.

We huna habari drone ya kimarekani ilishushwa bila hata ya risasi, kweli umelala naendelea kulala.

Kabla sijasahau we hujui kama Israel siku hizi kapata kama ukichaa, kila siku anadhani kuna drone za Iran au Hazbullah zimeingia kwenye Air space yake wakati hakuna kitu, unafahamu sababu yake.

Kuna siku Hazbullah alituma drone ya kupiga picture basi Rada zote za America,Europe na Israel hawakuweza kuona kitu, na hio drone imetengenezwa na wa Iran, ili zijam Rada zote za Israel mpaa walipo chukua sehemu zote picture wanazo zitaka, ndo wakampa Ishara Israel tuko hapa akaenda itungua.
 
Hili sio swali, ni jibu la wazi kabisa 'she can do it'
remember what Israeli Prime Minister Benjamin Nentanyahu announced, “If Israel is forced to stand alone, Israel will stand alone," but the Jewish people are never alone.
 
miaka nenda rudi netanyau anasema hayohayo leo karibu miaka 15 sasa,tumemzoea huyo.
 
Waisrael washazoea mambo ya utapeli na wiziwizi,babu yao jacob alianzisha kwa kuiba baraka za kakake Esau.
Jacob alimtapeli babake isaka aliekua amepoteza uwezo wa kuona akajifanya yeye ndo esau akapata baraka kwa njia ya utapeli.tangu hapo hawa watu wanatapeli tu mpaka ardhi ya wapalestine wanakwiba.
Hata vile vita ya 1973 yorm kappur walicheza trick na anwar sadat akawasaliti syria na kuweka mkataba wa CAMP DAVID wakati waislael walikuwa wameelemewa kijeshi.
 
miaka nenda rudi netanyau anasema hayohayo leo karibu miaka 15 sasa,tumemzoea huyo.
We mtu kapalekewa drone mpaa pale ziko Israel nuclear sites, lazima aendelee kupiga kelele mana anaona hawa wa Iran ni balaa sana wamebaki kutuma attack drone tu.
 
Kama walichakazwa egypt, jordan na wengineo kwa siku sita basi Iran atabutuliwa kwa masaa mawili.
Mtu ndo kwanza anahangaika na bomu la nuclear la kwanza halafu apigane na mtu ambaye tayari anayo zaidi ya mia.

Inaonekana mapenzi yako kwa Israel yamekufumba macho hata usijue lolote kinyume na lile unaloliamini.Israel hata sielewi anasifiwa kwa kipi.Inaonekana huelewi vita ya Israel na kikundi cha wapiganaji wa Hizbullah(sio jeshi la nchi ni kikundi cha wanamgambo wa Hizbullah) ambayo ilichukua mwezi mzima na kupelekea Israel kulihama na kukimbia maeneo waliyokua wanayakali kusini mwa Lebanon.Uko wapi uwezo na mbinu za Israel.Vipi ndugu yangu unahukumu mambo kishabiki.Kua mchambuzi mwerevu utayajua mengi vinginevyo utabakia tu kutangaza yale usiyoyajua.
 
We mtu kapalekewa drone mpaa pale ziko Israel nuclear sites, lazima aendelee kupiga kelele mana anaona hawa wa Iran ni balaa sana wamebaki kutuma attack drone tu.
na wiki iliyopita wamezindua longrange combart drone,inaweza kuwa angani kwa masaa 24,inakwenda umbali hadi km 2000,inabeba makombora air to surface.
 
miaka nenda rudi netanyau anasema hayohayo leo karibu miaka 15 sasa,tumemzoea huyo.

sogezeni pua sasa ndo mtajua yana reality ndani au la??yatakua zaidi ya yale alowafanyiwa Saadat na wenziwe 6.
 
Mkubwa take your time kusoma historia ya Iran kianzia mapinduzi ya 1979 then vita ya Iran na Iraq. Vile vile inaonekana hujui kuwa wa Iran sio waarabu. Swali jingine, unajua kilichowakuta waisrael kwenye ile vita na Hizbolah Lebanon? Try to find out from neutral sourses kwa nini walisitisha their ground invasion.

Kama vile ulikua katika mawazo yangu.Unajua ndugu watu wengi hawahangaiki kutafuta zaidi ya kile wanachopewa tena wakatafuta kutoka kwa wale wenye kujua.Ni lazima tubadilike.
 
Wakuu... nisaidieni hapo kwenye rangi nyekundu. Ni kweli?

Ni ukweli mtupu ndugu yangu.Naomba u -goggle Islamic Republic of Iran afu utapata mambo yako.Ndio nikaandika mara nyingi sisi tunasema mambo ambayo hata hatuyajui.
 
sogezeni pua sasa ndo mtajua yana reality ndani au la??yatakua zaidi ya yale alowafanyiwa Saadat na wenziwe 6.
mkuu achana na ushabiki,mimi ntakuwekea account ya israel shamir kuhusu nini hasa kilitokea kwenye vita vya 1973,yomma kippur war.

Na yataka ujue kuwa israel shamir alikua ni askari wa israel aliyepigana katika vita hivyo kwahiyo hakuhadithiwa alipigana na kikosi cha kilifika hadi umbali wa km 100 toka cairo,hivyo anajua anachokisema na ukitaka kumuuliza ntakuwekea na email yake ili uprove.STAY TUNED.
 
Kwa taarifa yako mimi ni Mwanajeshi Mstaafu najua zaidi yako Narudia tena nchi hizi mbili haziwezi kushambuliana bila msaada wa nchi nyingine KU-JAM radar peke yake hakusaidii kitu.la msingi baki ukijua Iran au Israel wote hawawezi kushambuliana bila msaada wa nchi nyingine.
Kwa tarifa yako we kweli uko nyuma sana hivi unadhani Iran akitaka kupiga Israel atapewa msada na nchi kama Jordan au Saud Arabia, ndio lazima apite huko au apitie Iraq na Syria lakini usisahau nchi zote hizo haziwezi kuipa green light Iran, isipokuwa Syria tu.

Sa we unadhani Iran akitaka kwenda kupiga Israel atapitia Syria? Sababu hataki Syria iwe kwenye hatari lazima atapitia kwa marafiki zake Israel tena bila kwaomba msada wowote ule.

Iran atapitia nchi hizo hizo za kiarabu Saud Arabia na Jordan, atazijam Radar zao kutokana na technology yake vipi iko kali, hata USA wamekubalia Iran ki Technology ya kuzijam Radar na kuzipoteza ziende anavyo taka yuko mbali sana, wakati Israel hana uwezo huo.

We huna habari drone ya kimarekani ilishushwa bila hata ya risasi, kweli umelala naendelea kulala.

Kabla sijasahau we hujui kama Israel siku hizi kapata kama ukichaa, kila siku anadhani kuna drone za Iran au Hazbullah zimeingia kwenye Air space yake wakati hakuna kitu, unafahamu sababu yake.

Kuna siku Hazbullah alituma drone ya kupiga picture basi Rada zote za America,Europe na Israel hawakuweza kuona kitu, na hio drone imetengenezwa na wa Iran, ili zijam Rada zote za Israel mpaa walipo chukua sehemu zote picture wanazo zitaka, ndo wakampa Ishara Israel tuko hapa akaenda itungua.
 
Kwa taarifa yako mimi ni Mwanajeshi Mstaafu najua zaidi yako Narudia tena nchi hizi mbili haziwezi kushambuliana bila msaada wa nchi nyingine KU-JAM radar peke yake hakusaidii kitu.la msingi baki ukijua Iran au Israel wote hawawezi kushambuliana bila msaada wa nchi nyingine.
Hahaha we unaongelea kama ni mwanajeshi mstafu wa Tanzania wakati Tanzania haina uwezo hata wa kumiliki ndege 12 za kivita na tena zilizo pitwa na wakati.

List of military equipment manufactured in Iran - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom