ISRAEL v/s IRAN.

ISRAEL v/s IRAN.

Status
Not open for further replies.
Mkubwa take your time kusoma historia ya Iran kianzia mapinduzi ya 1979 then vita ya Iran na Iraq. Vile vile inaonekana hujui kuwa wa Iran sio waarabu. Swali jingine, unajua kilichowakuta waisrael kwenye ile vita na Hizbolah Lebanon? Try to find out from neutral sourses kwa nini walisitisha their ground invasion.
Wakuu... nisaidieni hapo kwenye rangi nyekundu. Ni kweli?
 
Nafikiri hulijui taifa la israeli, ki ukweli israel inaweza pigana na taifa lolote lile duniani bila ya msaada wowote kutoka kwa taifa lolote lile. Israel ni taifa teule na ni taifa la mungu
Mkuu yaliyo tokea mwaka 1967 hayawezi kujitokeza tena, na Netanyahu akiendeleza ufedhuli wake wa kumdharau Baraka Obama na kutaka kuvuruga mazungumzo ya amani baina ya Merikani na IRAN kwa kutoa visingizio kibao kuhusu IRAN, basi ajue atajimaliza mwenyewe kisiasa na wala hana njia ya kujua vita itakwishaje kama akivianzisha! Netanyahu hasitegemee kwamba Merikani inaweza kutoa misaada kwa mtu ambaye ni jeuri na mpenda vita kama nini, akianzisha vita vya kijinga Mashariki ya kati atapata wakati mgumu sana. Netanyahu ni kiongozi erratic sana - atafakali mambo kwa kina unlike waziri wake wa ulizi Eliud Barak mwenye busara na maona mbali, bila ya Eliud Barak kuwepo kwenye baraza la mawaziri nchini Israel saa hizi Netanyahu ange piga mabomu IRAN na Syria bila ya kujali mtu yeyote, anacho sahau ni kwamba Iran sio Lebanon au Gaza, ajifunze kuishi na majirani zake kwa amani ahache kupora aridhi ya Waarabu na kuheshimu haki za binadamu wenzake, dunia itaendelea kupigana vita on behalf ya Waisrael mpaka lini?
 
Eliud Barak,kias flan anaonekana ana busara sana,
Lakini Benjamin Nyetanyahu kwa kauli zake zile za jana kwa kweli haoneshi kabisa kama atakuwa tayari kukubali mazungumzo yyte yale,maana anasisitiza SANCTIONS ziendelezwe zaid kwa Iran kama anaendelea na mpango wake ule wa nyhuklia,

Netanyahu yeye msimamo wake ni kwamba Ahmed nijad na Rouhan wote ni wale wale tuh,wote wako loyal kwa Supreme leader ayatollah al khamenei,tofauti ni kwamba Nijad alkua chui alievaa haswa ngozi ya chui,ila Rouhan ni chui alievaa ngozi ya kondoo,kwaiyo asidhan kabisa kama jumuiya ya kimataifa itakubaliana nae,

Lakin pia wachunguz na wachambuz wa habari wa kimataifa wanasema kwamba hata yeye Izrael anazo program za nyuklia tena kisiri siri na jumuiya ya kimataifa ina lifaham hilo,

Kitu kilichovutia zaid ni pale balozi wa Iran kwenye U.N.G.A alipopewa nafasi na kujibu ya kwamba hakuna wa kuweza kuwapangia Iran jambo la kufanya katika mambo yao ya ndan na yanayohusu taifa lao,mpango wao wa nyuklia ni wa aman na sio wa kuzalisha WMD's kama anavosema israel,

Obama inabid aliangalie hili kwa umakin sana,NETANYAHU ANA KIBURI KILICHOPITILIZA.
 
israel hawana kitu, hakuna cha taifa teule wala nini. kichapo palepale
 
Netanyau anashirikiana na Republican kumdhoofisha Obama ili wapate nafasi ya kuanzisha vita ya tatu ya dunia.
 
Eliud Barak,kias flan anaonekana ana busara sana,Lakini Benjamin Nyetanyahu kwa kauli zake zile za jana kwa kweli haoneshi kabisa kama atakuwa tayari kukubali mazungumzo yyte yale,maana anasisitiza SANCTIONS ziendelezwe zaid kwa Iran kama anaendelea na mpango wake ule wa nyhuklia,Netanyahu yeye msimamo wake ni kwamba Ahmed nijad na Rouhan wote ni wale wale tuh,wote wako loyal kwa Supreme leader ayatollah al khamenei,tofauti ni kwamba Nijad alkua chui alievaa haswa ngozi ya chui,ila Rouhan ni chui alievaa ngozi ya kondoo,kwaiyo asidhan kabisa kama jumuiya ya kimataifa itakubaliana nae,Lakin pia wachunguz na wachambuz wa habari wa kimataifa wanasema kwamba hata yeye Izrael anazo program za nyuklia tena kisiri siri na jumuiya ya kimataifa ina lifaham hilo,Kitu kilichovutia zaid ni pale balozi wa Iran kwenye U.N.G.A alipopewa nafasi na kujibu ya kwamba hakuna wa kuweza kuwapangia Iran jambo la kufanya katika mambo yao ya ndan na yanayohusu taifa lao,mpango wao wa nyuklia ni wa aman na sio wa kuzalisha WMD's kama anavosema israel,Obama inabid aliangalie hili kwa umakin sana,NETANYAHU ANA KIBURI KILICHOPITILIZA.
Well said mkuu, Uongozi wa Israel unao wakalia kooni Wairan una zaidi za mabom 200 ya Nuclear na mengine ya kemikali/Biolojia, alafu wao kama ilivyo kuwa Syria walikataa kujihunga na tahasisi inayo ratibu/kutaza matimizi ya WMD. Kinacho shangaza ni hizi tabia za kinafki za baadhi ya nchi zilizoendelea kufumbia macho uwepo wa silaha za mahangamizi nchini Israel, kama Dunia ina nia thabiti ya kumaliza ushindani wa kuhunda silaha za mahangamizi au ku-disarm wale ambao wanamiliki silaha hizo Mashariki ya kati, basi wakimaliza kuhangamiza silaha za Syria waende Israel na kuteketeza silaha za WMD nchini humo - lakini wakiendeleza stance zao za kuwa na double STANDARD kwenye burning issues inside Middle EAST basi Dunia ijiweke tayari for a Conflagration of a century Mashariki ya Kati. Jana nilishangazwa sana na uongo uliyo pitiliza wa Netanyahu, analeta adithi za kutunga eti Wana usalama wa Israel walimkamata jasusi wa IRAN akijitayarishi kulipua Ubalozi wa Merikani nchini Israel - anayasema haya kwa lengo la kuwakasirisha Wamerikani ili wa-derail maelewano yanayo anza kujengeka baina ya Iran na Merikani - Natenyahu hapendi kabisa maelewano hayo yajengeke, jamaa huyu ni hatari kweli kweli - kwa bahati nzuri Rais Obama amekwisha msoma sana kisaikolojia na kumjuwa Natenyahu kuwa ni kiongozi mnafiki na bellicose, Baraka Obama vile vile alijuwa kwamba Natenyahu alikuwa anamfanyia fitina Obama ili hasichaguliwe kwenye second term - I can assure you OBAMA will never 4give that guy.
 
Iran kuna kipi kipya. Vita vikianza kupiganwa ndani ya mwezi tu mshindi kesha julikana. Hizi nchi za kiarabu kinachowaua ni technology ya mrusi ambayo wakipewa wanadhani wapo juu kumbe mrusi mwenyewe anawapa edition kiliyopitwa na wakati. Vita inamambo mengi sana. Ogopa sana sehemu ambayo mzungu anaweza kuingia na kuwagawa wananchi na serikali hapo utapigwa kiulaini tu. Vita ya Iran na Israel ndani ya mwezi tu inaisha then wanabaki waarabu wakiendelea kijilipua wenyewe kwa wenyewe tu.

nani kakwambia IRAN ni waarabu
 
Yeah_watu wengine wanaudhi sana mkuu,..mtu umeanzisha thread kwa maana nzuri tu_wenyewe wanadandia na kuanza kutukanana na kashfa juu ya imani za wengine..wakati zote hizo ni za kuletwa na wote tumekaririshwa tangia utotoni...mijitu inapenda kujipendekeza sana kwa mabwana zao waarabu na wayahudi wakati wenzao hata hawana habari nao...ni uji.nga tu

Anyway_miafrika ndio tulivyo..by Nyani Ngabu...JF member

sio wayahudi. waitaliano
 
Benjamin netanyahu jana alipokua akitoa ujumbe kwa obama kuhusu obama kuonekana kukubaliana na rouhani(rais wa Iran)ili kutoa vikwazo vya kiuchumi kwa Iran :

If israel is forced to stand alone israel will stand alone, but by standing alone israel will be defending many others.
 
Mkuu you have been brain washed, soma na fanya uchunguzi. Hakuna Israel bila Marekani. Israel ni mbwa wa marekani mashariki ya kati nothing more na si kweli kwamba anaweza kupigana na taifa lolote bila msaada wa Marekani.

Vita zote Israeli imepigana bila msaada wa Marekani.
Operation zote za ma-commando wa Israeli zimefanyika bila msaada wa Marekani, na hata bila kuwaarifu Marekani.
Kumbuka vita vya 1967, na 1973.
Kumbuka operation za 1976 (Uganda), 1981 (Iraq), 2006 (Syria), n.k.
Upo hapo ??
Marekani haijawahi kufanya operation kama za Israeli hata mara moja. Walijaribu Iran wakashindwa.
In fact, bila Israeli, hakuna Marekani...!!!!
 
mataifa ya Kiarabu wana mikwara sana, ukitazama mikwara aliyokua akipiga Iraq miaka ya tisini mpaka alisambaratishwa na USA miaka ya karibuni ndio utajua hata huyu IRAN Debe tupu, maana wataalamu wa mambo walikuwa wanaamini Iraq imesimama kijeshi na Kiteknolojia kuliko Iran ambao waliwahi kupighana vita kwa miaka 8.
Israel, amejiimarisha kijeshi sana kwasababu ya nature ya eneo husika, amekuwa kwenye mizozo kwa kipindi cha zaidi ya miaka hamsini, ambapo ilimsukuma kuwatandika karibu theluthi 2 ya majirani zake.

bado naamini mayahudi yako na ujuzi mkubwa wa vita
 
Umenchekesha sana sana yani sana....
Ndugu unayosema ni kweli kabisa. Israel waliweza kumsulubu "Mungu" na kumtoa roho na kumpa umauti kwa siku tatu, mpaka pale "Mungu" alipofanya uungu wake na kujifufua na kuwapa wauaji wake hadhi ya "taifa teule". Unafikiri kuna kiumbe kinachoweza (taifa lisilo teule) linaloweza kupigana na Taifa lililomwadhibu Mungu?

"Mungu" baada ya kuadhibiwa na wababe hawa(Taifa la Israel) ilibidi awape hadhi maalum, hadhi ya uteule!

Taifa la Mungu? Nikumbushe,Kabila la "Mungu" huyu ni kabila lipi vile?
 
Mkuu yaliyo tokea mwaka 1967 hayawezi kujitokeza tena, na Netanyahu akiendeleza ufedhuli wake wa kumdharau Baraka Obama na kutaka kuvuruga mazungumzo ya amani baina ya Merikani na IRAN kwa kutoa visingizio kibao kuhusu IRAN, basi ajue atajimaliza mwenyewe kisiasa na wala hana njia ya kujua vita itakwishaje kama akivianzisha! Netanyahu hasitegemee kwamba Merikani inaweza kutoa misaada kwa mtu ambaye ni jeuri na mpenda vita kama nini, akianzisha vita vya kijinga Mashariki ya kati atapata wakati mgumu sana. Netanyahu ni kiongozi erratic sana - atafakali mambo kwa kina unlike waziri wake wa ulizi Eliud Barak mwenye busara na maona mbali, bila ya Eliud Barak kuwepo kwenye baraza la mawaziri nchini Israel saa hizi Netanyahu ange piga mabomu IRAN na Syria bila ya kujali mtu yeyote, anacho sahau ni kwamba Iran sio Lebanon au Gaza, ajifunze kuishi na majirani zake kwa amani ahache kupora aridhi ya Waarabu na kuheshimu haki za binadamu wenzake, dunia itaendelea kupigana vita on behalf ya Waisrael mpaka lini?

Mkuu yaelekea Hukuwaelewa wa Israel............
.................Kwa taarifa TU Siasa za mashariki ya kati ni MGUMU SAANA Tambua hata IRAN kwa sasa inaivuruga saana Mashariki ya kati....hata WaSaudia wanawashawishi waisrael wanataka waitandike IRAN refer WIKLeak........................

Back to the topic..........NETANYAHU jana alikuwa anaongea kwa fact...alikuwa hutumii lugha ya siasa Hata kidogo....alikuwa anatoa ushahidi.......na ndio kila mara alikuwa ananukuu.....na mpaka anaongea tambua wanaushahidi wote....ni juzi walimkamata MUIRAN na picha za ubalozi wa Marekani ....na kwa taarifa za kijasusi alikuwa anapanga shambulizi.....Mpaka wakuambie wanataka kushambulia TAMBUA wameshajiandaa........hawa jamaa kumbua wako vitani KILA SIKU.....na usibeze umahiri wao hata kidogo ktk vita.......hawababaishi......tambua hata ndani ya IRANI wana operatives wao......kama ni mfuatiliaji wa mambo....ni miezi tu imepita walikuwa na program ya kuwaua wanasayansi wanaohusika na nuclear program ndani ya IRAN.......Nahata mpaka jamaa anaongea jana ndani ya UN kumbuka ni VITA.....KUMBUKA IRAN Wanakusudia kuifuta Israel ndani ya ramani ya DUNIA......na Waisrael kwa akili zao..maarifa ..na ujasiri hawatakubali litokee......Hitler aliwapa somo la kutosha..........

Wakumbuka mwaka jana alisema nini?? na hata ktk hotuba yake ya jana alikumbushia aliyoyasema mwaka jana.........kwa kifupi.....hata wamarekani wanawagwaya Waisrael......na bila Israel, Marekani hakuna kitu......
 
Kwani kuna lipi haya mataifa ya kiarabu yalichofanya hasa katika medani za kijeshi? Maana Yale yaliyotokea Mwaka 1967 yanawezatokea tena. Kama tunavoona mataifa haya ya kiarabu vita vya wao kwa wao vinawavuruga sana! Israel inaweza ikasimama yenyewe Kama yenyewe bila ya America na Iran ikashindwa! Kwanza hizi nchi mbil katika nguvu za kijeshi na ubora wa jeshi na vifaa vya kisasa ni taifa gani liko mbele ya mwenzake?
Mkuu yaliyo tokea mwaka 1967 hayawezi kujitokeza tena, na Netanyahu akiendeleza ufedhuli wake wa kumdharau Baraka Obama na kutaka kuvuruga mazungumzo ya amani baina ya Merikani na IRAN kwa kutoa visingizio kibao kuhusu IRAN, basi ajue atajimaliza mwenyewe kisiasa na wala hana njia ya kujua vita itakwishaje kama akivianzisha! Netanyahu hasitegemee kwamba Merikani inaweza kutoa misaada kwa mtu ambaye ni jeuri na mpenda vita kama nini, akianzisha vita vya kijinga Mashariki ya kati atapata wakati mgumu sana. Netanyahu ni kiongozi erratic sana - atafakali mambo kwa kina unlike waziri wake wa ulizi Eliud Barak mwenye busara na maona mbali, bila ya Eliud Barak kuwepo kwenye baraza la mawaziri nchini Israel saa hizi Netanyahu ange piga mabomu IRAN na Syria bila ya kujali mtu yeyote, anacho sahau ni kwamba Iran sio Lebanon au Gaza, ajifunze kuishi na majirani zake kwa amani ahache kupora aridhi ya Waarabu na kuheshimu haki za binadamu wenzake, dunia itaendelea kupigana vita on behalf ya Waisrael mpaka lini?
 
Vita zote Israeli imepigana bila msaada wa Marekani.Operation zote za ma-commando wa Israeli zimefanyika bila msaada wa Marekani, na hata bila kuwaarifu Marekani.Kumbuka vita vya 1967, na 1973.Kumbuka operation za 1976 (Uganda), 1981 (Iraq), 2006 (Syria), n.k.Upo hapo ??Marekani haijawahi kufanya operation kama za Israeli hata mara moja. Walijaribu Iran wakashindwa.In fact, bila Israeli, hakuna Marekani...!!!!
Mkuu kasome tena kuhusu vita vya mwaka 1973, kwa nini Golda Meyer aliomba msaada wa dhalula kutoka Merikani - Je Urusi ilimuonya kitu gani Kissinger na Rais wa Merikani aliye kuwa madarakani. That was in mid seventies i.e 4 decades ago - vije sasa hivi. Tukiweka maanani jeuri na dhalau ambazo Netanyahu anamfanyi Rais Baraka OBAMA behid his back!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom