ISRAEL v/s IRAN.

ISRAEL v/s IRAN.

Status
Not open for further replies.
Nafikiri hulijui taifa la israeli, ki ukweli israel inaweza pigana na taifa lolote lile duniani bila ya msaada wowote kutoka kwa taifa lolote lile. Israel ni taifa teule na ni taifa la mungu

Aaaah! Hayo ni mapenzi yako tu, hana lolote.
 
Dini nyingi wakati hamjui kitu.

Turudi kwenye mada lini Israel ataishambulia Iran mana Bibi kila kukicha anasema ataishambulia nakumbuka tokea 2008 ni maneno hayo hayo, hakuna kipya.
 
Naona mmeanza kuingiza uji.nga na u.puuzi wenu wa dini za mabwana zenu waarabu na wayahudi kwenye thread ya mtu.......
Na huyo aliyesema Taifa lililoteuliwa na Mungu hukuona kuwa analeta uji.nga wa mabasha zenu wazungu?.
 
Na huyo aliyesema Taifa lililoteuliwa na Mungu hukuona kuwa analeta uji.nga wa mabasha zenu wazungu?.
Badhi ya wakristo ndio walivyo mara nyingi wanaharibu mada hapa likija neno la Israel , wanadhani wote tutakubaliana na ujinga wao, eti taifa la Mungu.

Afu ukiwauliza wa kristo Mungu wenu nani wanasema Yesu, na ukiwauliza wa Israel Yesu ni nani wanasema ni binadamu wakawaida tu natulimua, sa vipi taifa la Mungu liuwe Mungu wa wakristo.

Au wakristo na wayahudi wana miungu tofauti.
 
Sura Al-Imran 3:59 says, 'The similitude of Jesus before Allah is as that of Adam; He created him from dust, then said to him: "Be". And he was.' If Jesus is created, then he cannot be God."
For we must all appear before the judgement seat of Christ, that each one may receive the things done in the body, according to what he has done , whether good or bad. 2 cor5:10
So who is he have the authority to judge people?
 
Na kuwekea hio Quran kwa kiswahili.


وَإِنَّهُ لَعِلْمٌ لِّلسَّاعَةِ فَلَا تَمْتَرُنَّ بِهَا وَاتَّبِعُونِ ۚ هَٰذَا صِرَاطٌ مُّسْتَقِيمٌ ( 61 ) Na kwa hakika yeye ni alama ya Saa ya Kiyama. Basi usiitilie shaka, na nifuateni. Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka.

وَلَا يَصُدَّنَّكُمُ الشَّيْطَانُ ۖ إِنَّهُ لَكُمْ عَدُوٌّ مُّبِينٌ ( 62 ) Wala asikuzuilieni Shet'ani. Hakika yeye ni adui yenu wa dhaahiri.

وَلَمَّا جَاءَ عِيسَىٰ بِالْبَيِّنَاتِ قَالَ قَدْ جِئْتُكُم بِالْحِكْمَةِ وَلِأُبَيِّنَ لَكُم بَعْضَ الَّذِي تَخْتَلِفُونَ فِيهِ ۖ فَاتَّقُوا اللَّهَ وَأَطِيعُونِ ( 63 ) Na alipo kuja Isa na dalili zilizo wazi, alisema: Nimekujieni na hikima, na ili nikuelezeni baadhi ya yale mliyo khitalifiana. Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na mnit'ii mimi.

إِنَّ اللَّهَ هُوَ رَبِّي وَرَبُّكُمْ فَاعْبُدُوهُ ۚ هَٰذَا صِرَاطٌ مُّسْتَقِيمٌ ( 64 ) Kwa hakika Mwenyezi Mungu ni Mola wangu Mlezi, na ni Mola wenu Mlezi. Basi Muabuduni Yeye tu. Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka.

فَاخْتَلَفَ الْأَحْزَابُ مِن بَيْنِهِمْ ۖ فَوَيْلٌ لِّلَّذِينَ ظَلَمُوا مِنْ عَذَابِ يَوْمٍ أَلِيمٍ ( 65 ) Lakini makundi kwa makundi yao yalikhitalifiana wao kwa wao. Ole wao walio dhulumu kwa adhabu ya siku chungu.


Usibadili Quran hakuna wapumbafu katika wa Islam, Sura nimekuwekea hapo na tafsiri ya kiswahili.

Aya ya 61 inaonyesha kua Quran inasema tumfate Yesu!
Mimi ndimi njia ya kweli na uzima! Yohana14:6
 
Ukweli ni kuwa haya maelezo ya kuitawala dunia ,waislamu wao wana version yao wa maelezo,na yanaonyesha wao ndo wataibuka kidedea,na ndo siri ya hao waislamu kutoogopa mabomu na makombora ya wamarekani na washirika wake.
Ndo maana hutokaa uone hawa jamaa wanasalimu amri kwa marekani.
Marekani ameingia hasala ya matrilion kule irag na afaghanstan,kiasi cha uchumi wake kushake,sasa hadi wanafunga serikali tatizo ni pesa.
Mmarekani hakupata kufikia malengo aliyopanga kule irag na afghanstan na inabidi atoe majeshi yake.
Walichofanya waarabu na afaghan ni kuirefusha vita ili kubomoa uchumi wa marekani,imefikia hali mpaka marekani hataki tena kushiriki vita vya nchi kavu kwani ameona inakula kwake.
Israel nao wamekua wanaitwanga gaza mabomu lakini jamaa ni hardcore israel anagwaya kuingiza askari wa miguu gaza kwani anajua casualt itakua kubwa.
Haya mambo ni ya kuangalia tu na wala hayaishi leo itachukua hata miaka 500,nasi wote tutakuwa tulishapita zamani na wala hakutakuwa na maisha kama yalivyo sasa.
Ukweli Kama huo ndio ulitakiwa kusema muda mrefu!
Mtaweza Vipi kuibuka kidedea karibu mataifa mengi yamewageukia? Imebaki Iran tu!
Version zenu ziko nusu sawa au wewe haujafatilia ki undani Zaidi! Ukweli ni kwamba hakuna taifa litakalo simama na kuiangusha Us na washirika wake ata Hao Warusi na machina wote ndio haohao wenye Veto wanakaa meza moja na kusikilizana Maslahi!
Mpango wa Uasi ni mtu mmoja mmoja ndio atakaeshinda hii vita lakin kwa mataifa ni shida na tawala nyingi hasa za kiarabu zitapata taabu!
 
Aya ya 61 inaonyesha kua Quran inasema tumfate Yesu!
Mimi ndimi njia ya kweli na uzima! Yohana14:6
Wacha kujidanganya angali Jesus anambiwa nini katika hio hio Surat Azzukhruf

إِنْ هُوَ إِلَّا عَبْدٌ أَنْعَمْنَا عَلَيْهِ وَجَعَلْنَاهُ مَثَلًا لِّبَنِي إِسْرَائِيلَ ( 59 ) Hakuwa yeye (Isa) ila ni Mtumwa tuliye mneemesha na tukamfanya ni mfano kwa Wana wa Israili.

Mana ya Mtumwa ni katumwa na Mungu, wadanganye wengine.

Ustafsiri unavyo taka wewe kaisome kwanza Quran na uifahamu.

[h=3]Yohana 14:6[/h]Neno: Bibilia Takatifu (SNT)

[SUP]6 [/SUP]Yesu akawaam bia, "Mimi ndiye Njia na Kweli na Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu.

Hata mimi nakubaliana na maneno ya Yesu hapo hakuna Mu Islam anaye mkataa Yesu, yani tunafata mafundisho yake pia.

Matatizo yenu nyie ndugu wakristo hamsomi Bibilia mkaifahamu, si kwamba hapo Yesu anasema yeye ni Mungu, anacho sema mafunzo yake ndo yanatoka kwa Mungu msipo yafata hamuwezi kwenda peponi.

Nyie mnadhani anaongea kwamba yeye ndo Mungu kweli mnamatatizo sana.
 
Judaism has never accepted any of the claimed fulfillments of prophecy that Christianity attributes
to Jesus. Judaism also forbids the worship of a person as a form of idolatry, since the central belief of Judaism is the absolute unity and singularity of God.

Wagalatia wanajua basi ! ....ndo maana Paulo akawashangaa na kuwaona wamelogwa !
 
Ukweli Kama huo ndio ulitakiwa kusema muda mrefu!
Mtaweza Vipi kuibuka kidedea karibu mataifa mengi yamewageukia? Imebaki Iran tu!
Version zenu ziko nusu sawa au wewe haujafatilia ki undani Zaidi! Ukweli ni kwamba hakuna taifa litakalo simama na kuiangusha Us na washirika wake ata Hao Warusi na machina wote ndio haohao wenye Veto wanakaa meza moja na kusikilizana Maslahi!
Mpango wa Uasi ni mtu mmoja mmoja ndio atakaeshinda hii vita lakin kwa mataifa ni shida na tawala nyingi hasa za kiarabu zitapata taabu!

Kulikuwa na Dola la Kirumi lililokuwa na nguvu kuliko madola yote, hata katika Qur'an limetajwa ......sasa hivi liko wapi !?
Firaun wa Misri wa wakati wa Musa, watu wake wakimuabudu kama mungu wao !.....yuko wapi sasa !?
Sembuse Obama, Bush na Netanyahu !!?
 
Not only IRAN, hata mataifa yote ya Kiarabu yangeungana. Recall what happened 1967.
 
For we must all appear before the judgement seat of Christ, that each one may receive the things done in the body, according to what he has done , whether good or bad. 2 cor5:10
So who is he have the authority to judge people?

Sasa wale walio muua msalabani bila shaka walifanya jambo baya !
Sasa wakikutana nae siku ya hukumu uso kwa macho 'Taifa Teule' bila shaka litasambaratika !
 
For we must all appear before the judgement seat of Christ, that each one may receive the things done in the body, according to what he has done , whether good or bad. 2 cor5:10
So who is he have the authority to judge people?
When God said: "Jesus, I will take you back and raise you up to Me, and purify you of those who are unbelievers. And I will place the people who follow you above those who are unbelievers until the Day of Resurrection. Then you will all return to Me, and I will judge between you regarding the things about which you differed. (Surah Al 'Imran, 3:55)

God mentions that a group of Jesus' true followers will dominate the unbelievers until the Day of Resurrection. Jesus did not have many followers during his tenure on Earth and, with his ascension, the religion that he had brought degenerated rapidly. Over the next two centuries, those who believed in Jesus were oppressed because they had no political power. Therefore, we cannot say that the early Christians dominated the unbelievers in the sense indicated by the verse given above.
At present, Christianity is so far removed from its original state that it no longer resembles the religion taught by Jesus. Christians have adopted the mistaken belief that Jesus is God's son (surely God is beyond all that which they falsely ascribe to Him) and incorporated the Trinity (viz., the Father, Son, and Holy Spirit) into their religion centuries ago. Given this, we cannot acknowledge today's Christians as being true followers of Jesus. In the Qur'an, God states more than once that those who believe in the Trinity are, in fact, unbelievers.


Those who say that the Messiah, son of Mary, is the third of three are unbelievers. There is no god but the One God. (Surat al-Ma'ida, 5:73)


In this case, "And I will place the people who follow you above those who are unbelievers until the Day of Resurrection" carries a clear message: There has to be a group of Jesus' followers who will exist until the Last Day. Such a group will emerge after his second coming, and those who follow him at that time will dominate the unbelievers until the Last Day. This aside, the expression, "Then you will all return to Me" at the verse's end is striking. After relating that those who follow Prophet Jesus (pbuh) will be superior to the unbelievers, God states that everyone, including Prophet Jesus (pbuh), will return to Him. Here, the expression is understood to mean their death. This may also be a sign that Prophet Jesus (pbuh) will die at a time close to Doomsday, after his second coming.
"There is not one of the People of the Book who will not believe in him
before he dies..."





 
Sasa wale walio muua msalabani bila shaka walifanya jambo baya !
Sasa wakikutana nae siku ya hukumu uso kwa macho 'Taifa Teule' bila shaka litasambaratika !
APO SASA NDO KASHESHE LA MWAKA, WATAJUTTA TAIFA TEULE, ndio siku zote na sema kwa nini wanaogopa kufa hahahaha.

Quran ilisha toa jibu zamani.

Chapter (62) sūrat l-jumuʿah (Friday)


Say, "O you who are Jews, if you claim that you are allies of Allah , excluding the [other] people, then wish for death, if you should be truthful."
 
Unajua wakati mwingine huenda ndivo ulivofundishwa hivo na kupewa fafanuzi zisizofaa kwa mafungu yako hayo haimaanishi kua bible imechakachuliwa!

Deuteronomy hiyo31:14-29 inazungumzia Uasi wa Israel

Na Jerimiah hiyo inazungumzia Peril of false Teaching! Sasa nashangaaa kuona kua umepata point ya kusema bible imechakachliwa! Ni uongo kupotosha watu!
Fanteni biblia Kwani ata kitabu chenu kinafahamu kua biblia ndio iliyotangulia kwanza!

Biblia haipo na hakuna Nabii aliyekuja na Kitabu kinaitwa Biblia ! ......uchakachuaji unaanzia hapo !
1. Cha kwanza Tourah ya Musa
2. Zaburi ya Daudi
3. Injil ya Isah (Yesu)
4. Quran.
Sasa Biblos iko wapi hapo !?
 
Nafikiri hulijui taifa la israeli, ki ukweli israel inaweza pigana na taifa lolote lile duniani bila ya msaada wowote kutoka kwa taifa lolote lile. Israel ni taifa teule na ni taifa la mungu

Hamas na hizbollah rag tag army ambao ni wanamgambo tu wasio na goverment wanawatoa ushuzi itakua iran
Someni vita ya eygpt na israel 1973 war ilikuaje?
Baada ya vita ile israel na washirika wao hawawezi kupigana vita waksshinda
Na huwa wao wakipigana kazi yao kuharibu miundo mbinu kuua watoto na kutumia silaha za maangamizi
 
Biblia haipo na hakuna Nabii aliyekuja na Kitabu kinaitwa Biblia ! ......uchakachuaji unaanzia hapo !
1. Cha kwanza Tourah ya Musa
2. Zaburi ya Daudi
3. Injil ya Isah (Yesu)
4. Quran.
Sasa Biblos iko wapi hapo !?
Injili ya Yesu wameificha mana inasema Prophet Muhammad atakuja kuweka mambo sawa bada ya Yesu kuondoka, na Yesu alijua wazi akiondoka Prophet Muhammad atakuja kuweka ukweli hapa dunaini bada ya yeye kuondoka kwa mda mpaa siku akirudi tena duniani, na alijua fika watu kama kina Paulo watatengeneza Bibilia na kusema Israel ni taifa teule hahaha.

Sa wachia wajisifu kidogo mpaa pale Mungu anasema kwenye Surah Al Imran, 3.55 When God said: "Jesus, I will take you back and raise you up to Me, and purify you of those who are unbelievers. And I will place the people who follow you above those who are unbelievers until the Day of Resurrection. Then you will all return to Me, and I will judge between you regarding the things about which you differed.
 
Biblia haipo na hakuna Nabii aliyekuja na Kitabu kinaitwa Biblia ! ......uchakachuaji unaanzia hapo !
1. Cha kwanza Tourah ya Musa
2. Zaburi ya Daudi
3. Injil ya Isah (Yesu)
4. Quran.
Sasa Biblos iko wapi hapo !?

Ally Kombo
Umezukia wapi naona unakuja kasi mpaka unanitisha!
Kazi ipo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom