Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Kuna vitu unasahau wewe au unaongelea mapenzi tu na Iran. Iko hivi Waisrael waliwekeza sana kwenye Elimu Na wanamainjinia wao wenyewe.hata ukifuatilia globofirepower report,iran wako na manowari nyingi kuzidi israel kiasi cha kupiga patrol mpaka bahari ya med,hindi,antlantic.
Israel wako na sub nne wakati iran ziko kama kumi na wanatengeza wao wenyewe.
Upande wa ndege wanazo nyingi kuzidi israel na wanatengeneza jetfighter,helcopters wakati israel mpaka wapewe na marekani.
Vifaru wanatengeneza wao wenyewe,
bila marekani kusaidia israel hawezi ndo maana netanyahu wanagombana na obama kilasiku maana obama anakataa kumsaidia israel.
Silaha zote uzionazo Us Na ata Ufaransa wao ndio makandarasi. Bunduki yenye Ubora kabisa inayotumiwa na Askari wa Us Israel ipo.
Kuonesha manoali chache kwenye doria au nyingi kusikufanye uone kwamba Iran ni bora Israel wanalinda nchi Yao kwa dhana za nyukilia usiku na mchana zenye kuona mbali sana Na Hawa Israel wanamiliki satelite za kijasusi.
Sasa unataka uambiweje wewe?