Hebu nitafutieni duniani wapi wa Islam wanamkataa Yesu?
Mu Islam akimkataa Yesu ujuwe si mu Islam huyo atakuwa ana dini nyingine labda sio ya ki Islam, wacha kuzua uwongo, wa Islam wanacho kikataa ni kuwa Yesu si Mungu na Yesu hakuna sehemu kasema yeye ni Mungu.
Nyie mnao sema Israel ni taifa la Mungu wapi uliona mu Israel akamkubali kama Yesu ni Prophet au Mungu, hao hao wa Israel hakuna hata Prophet mmoja wa Mungu wamemuamini afu nashangaa mnasema ni Taifa la Mungu, hivi mna akili sawa nyie.
Siku njema wacha kuzua uwongo kama wa Islam wanamkataa Yesu, sisi tunamkubali sana tena tuna mheshimu sana kama Prophet Muhammad hatuwatofautishi kabisa, wakati taifa mnalosema la Mungu wao walitaka kumpigilia misumari Yesu tena kwenye msalaba.
Mimi naona turudi kwenye habari ya Iran na Israel ni bora kuliko kukimbila dini, mana akisha tajwa Israel mankimbilia kujidai taifa la Mungu wakati si taifa la Mungu bali ni taifa la ki Jambazi linao CHUKUA ardhi zawatu TENA kwa nguvu na kwa kusaidiwa na USA kwa pesa na silaha.
Kumkataa Yesu ni pamoja na kuzikataa sifa zake ikiwemo yakufa Msalabani
Biblia inasema hivi katika kitabu cha Waebrania 9:22
Without shedding of blood there is no remission!
Nyie mnakataa kua Yesu hakufa sasa mtapata Vipi ondoleo la Dhambi?
Umejibu kitu kimoja tu Vipi Kuhusu Jina moja tu chini ya mbingu walopewa wanadamu kuokolewa kwalo?
Yesu ishafundisha kisa cha Nabii kutokukubalika kwao, Kwani ata sisi waswahili tunamsemo kua police hatishi nyumbani kwao!
Kwahiyo Waisrael kumkataa Messiah mi sioni ajabu Kwani wao walitegemea angekua mtu mkubwa sana tena Mwenye mamlaka lakini alitokea katika familia ya chini sana tena kwa Seremala!
Ata angetokea Leo Hapa Messiah wengi wangelimkataa! Na ata Leo kule Israel wako waisrael hawaamini Kama Messiah alishakuja! Wako wanamsubiri aje wanasema Yule sie!
Bora turudi kwenye mada yetu ila nilihamia huku kuweka mambo sawa kwasababu kuna Wenzako wamekua wanaandika tu wawezavo Kama wao kile wanachokiamini kiko sawa!
Lete hoja Mkuu. Israel kwa mashariki ya kati ni no 1 then Iran