Echolima
JF-Expert Member
- Oct 28, 2007
- 3,824
- 2,079
Wewe Danganyika na wikipedia mtu yeyote anaweza kuandika kama ni kujilimbikizia sifa mtu yeyote anaweza kazi kubwa iko kwenye MEDANI unaweza sema maneno mengi mpaka ukatisha watu lakini mtu hupimwa kutokana na vitendo vyake kama ni maneno wengi sana walishashasema lakini walipolianzisha walishindwa,Narudia tena nchi hizi mbili haziwezi kushambuliana bila msaada wa nchi nyingine hii ndiyo fact kwa maneno sawa wanaweza kushambuliana lakini si ki-vita.
Hahaha we unaongelea kama ni mwanajeshi mstafu wa Tanzania wakati Tanzania haina uwezo hata wa kumiliki ndege 12 za kivita na tena zilizo pitwa na wakati.
List of military equipment manufactured in Iran - Wikipedia, the free encyclopedia