ISRAEL v/s IRAN.

ISRAEL v/s IRAN.

Status
Not open for further replies.
Ndugu zangu kuna mengi katika vita zaidi ya hisia na ushabiki. Wanaojua vita huwa haipimi kwa mtazamo wa nje maana vita ikianza ndipo unapoweza kujua udhaifu wa adui yako na uimara wake ambao inawezekana hapo mwanzo hukuujua. Ni tofauti ya kusema Manchester itaufunga Everton ukalinganisha na vita kati ya nchi na nchi especially kwa nchi ambazo zote zina majeshi imara sio kwa statistics za mitandaoni lakini kwa mipango madhubuti na silaha za kisasa.
Kuna vita ambayo inaweza kuwa wazi kusema nani atashinda lakini hii ya Iran na Israel ni ngumu kusema. Israel haioni huo urahisi wa kuipiga Iran kama wengi mnavyofikiria lakini pia Iran haiwezi kujiingiza kwenye Vita na Israel kwa urahisi tu. War is not a Game wanajamvi!

you are right, nakupa like
 
Israel ina uwezo wa kuipiga nchi yoyote ya Kiarabu, pamoja na Iran. Kitu ambacho kitakuwa kigumu ni kuipiga na kuikalia. Iran ina vifaa vingi vya zamani na vibovu ambavyo kwa vita za sasa haitaweza hata kuvitumia, kama ilivyotokea kwa Sadam Hussen. Walikuwa na mizinga na vifaru vingi lakini vyote vilishindwa kufanya kazi kutokana na high technology waliyokuwa wakitumia maadui zao.

Angalia maelezo ya watafiti wa uwezo wa majeshi hapa chini:

If war breaks out with Iran, the Islamic Republic would prefer fighting on foreign soil due to its outdated equipment. "Their most advanced aircraft is still the phantom, which Israel used in the Yom Kippur War 40 years ago," says Dr. Soli Shahvar of the Haifa University.
Iran has a population ten times larger than Israel's, from which to draw its armed forces, but much of its military hardware is of dubious condition - due to the arms embargo in place since in various forms since 1979.

In-depth coverage of a growing regional debate

Many Iranian tanks and planes use older technology with varying levels of maintenance and modernity, says David Roberts, deputy director at the Royal United Services Institute (RUSI). The country's most recent major engagement was an almost decade-long war with Iraq in the 1980s, after which Iran has credibly maintained a "no first-strike doctrine" along with a code of "plausible deniability" for irregular military actions, he says.

"In a very general sense, it's no secret or cutting-edge analysis that Israel's military is the best-equipped and best-trained in the whole region," says Roberts.

Lakini inaelezwa pia kuwa vita kati ya Iran na Israel siyo rahisi kutokea kutokana na umbali uliopo kati ya Israel na Iran, na Iran inaujua ukweli huo, na hivyo haina wasiwasi. Iran ina wasiwasi na USA ambayo imeweka silaha zake nyingi zikielekea upande wa Iran, na zipo katika masafa ya kuifikia Iran bila mashaka yoyote ikiamua kushambulia itafanya hivyo kwa urahisi sana.

Katika teknolojia, ubora wa vifaa vya kivita na umakini wa wapiganaji, Israel ni kati ya mataifa yaliyo juu kabisa kuliko majeshi mengi Duniani achilia mbali Iran. Msisahau kuwa katika viwanda vya teknolojia ya juu kabisa Marekani na Ujerumani, wataalam wake wakubwa ni Waisrael. Hivyo Israel wakati wote huwa na zana za teknolojia ya kisasa kabisa kuliko karibia mataifa yote Duniani isipokuwa mataifa watengenezaji. Lakini pia Israel, baada ya kununua vifaa hivyo vya kisasa, mara nyingi huviboresha zaidi, na mara nyingi imeelezwa huwa wanavibadilisha na kuwa bora zaidi kuliko vile vya watengenezaji.

Angalia uwezo wa Israel unavyoelezewa na wataalam wa masuala ya kivita:
IDF served as Israel's armed forces in all the country's major military operations—including the 1948 War of Independence, 1951–1956 Retribution operations, 1956 Sinai War, 1964–1967 War over Water, 1967 Six-Day War, 1967–1970 War of Attrition, 1968 Battle of Karameh, 1973 Operation Spring of Youth, 1973 Yom Kippur War, 1976 Operation Entebbe, 1978 Operation Litani, 1982 Lebanon War, 1982–2000 South Lebanon conflict, 1987–1993 First Intifada, 2000–2005 Second Intifada, 2002 Operation Defensive Shield, 2006 Lebanon War, 2008–2009 Gaza War, 2012 Operation Pillar of Defense, and others. The number of wars and border conflicts in which IDF was involved in its short history, makes it one of the most battle-trained armed forces in the world.[11][12] While originally the IDF operated on three fronts—against Lebanon and Syria in the north, Jordan and Iraq in the east, and Egypt in the south—after the 1979 Egyptian–Israeli Peace Treaty, it has concentrated its activities in southern Lebanon and the Palestinian Territories, including the First and the Second Intifada.

The Israel Defense Forces differs from most armed forces in the world in many ways. Differences include the conscription of women and its structure, which emphasizes close relations between the army, navy, and air force. Since its founding, the IDF has been specifically designed to match Israel's unique security situation. The IDF is one of Israeli society's most prominent institutions, influencing the country's economy, culture and political scene. In 1965, the Israel Defense Forces was awarded the Israel Prize for its contribution to education.[13] The IDF uses several technologies developed in Israel, many of them made specifically to match the IDF's needs, such as the Merkava main battle tank, high tech weapons systems, the Iron Dome, Trophy countermeasure, and the Galil and Tavor assault rifles. The Uzi submachine gun was invented in Israel and used by the IDF until December 2003, ending a service that began in 1954. Following 1967, the IDF has had close military relations with the United States,[14] including development cooperation, such as on the F-15I jet, THEL laser defense system, and the Arrow missile defense system.
 
Kwa maelezo yako haya wale waliokua wanabisha sasa wataelewa ukweli!
 
aaah wapi kila mtu mwenye akili anajua kuwa media ziko undercontrolled na hawa wayahudi lazima wajipigie debe ingekua rahisi kupiga iran wangeshapiga siku nyingi,

halafu jamaa anacopy na kupaste pale aya inatoa ujiko kwa israel,angepaste article yote tuisome kwani nahisi nimeisoma mahala ila jamaa ka cherrypick aya zinazoifavour israel.
 
Mtabishana sana lakini ukweli Israel is nothing without USA.

Hawawezi hata Hazbullah na Hamas.

Ukweli sijawahi ona jeshi lina pigana vita na watoto wasio na silaha kama la Israel.

Ushahidi hu nitosha Israel wanaweza vita na wale wasio kuwa na uwezo tu, wakiona sehemu kuna silaha kidogo tu hawasubutu.
 
aaah wapi kila mtu mwenye akili anajua kuwa media ziko undercontrolled na hawa wayahudi lazima wajipigie debe ingekua rahisi kupiga iran wangeshapiga siku nyingi,

halafu jamaa anacopy na kupaste pale aya inatoa ujiko kwa israel,angepaste article yote tuisome kwani nahisi nimeisoma mahala ila jamaa ka cherrypick aya zinazoifavour israel.

Swali: Ni kwa vipi basi Israeli imekuwa ikiendesha hujuma dhidi ya mitambo ya nyuklia ya Irani, pasipo Irani kujibu mapigo?
 
vitendo vya kigaidi hujibiwa kwa ugaidi sio kwa vita,waisrael wangapi wanalipuliwa na hamas,hezbulah etc ,mbona israel hajashambulia iran directly wakati anajua iran ndo anafinance?
 
ADIOSAMIGO hao watoto wamekuwa Brainwashed na kupewa ahadi kaba-kaba kuwa wakifa wakiwapinga wa-Israel watakuwa SHAHID na wataenda peponi moja-kwa moja bila kuulizwa maswali ningekuwa na nafasi ningekuwekea video ambayo inaonyesha watoto wa Ki-Palestina wanawa-Provoke askari wa Israel ili wawachukulie hatua na wapiga kelele kuwa Isarael askari wake wanawanyanyasa watoto wasiokuwa na hatia,
Kama Israel huwezi kuilinganisha na jeshi linalopigana na watoto ingekuwa hivyo Basi Ndoto ya Waarabu ya Kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia ingekuwa imetimia mda mrefu sana mimi nijuavyo Israel peke yake haiwezi kuipiga Iran vivyo hivyo na Iran haiwezi kuipiga Israel pekee yake hii inatokana na tecknolojia tuliyo nayo kwa sasa,kitu kingine ni Huwezi kuitenganisha Marekani na Israel katika mambo yote hawa watu ni lazima tu wanaungana kwa lolote lile hata kama Israel itataka kuishambulia Iran lazima kwanza wawataarifu Wa-Marekani ili waweze kuweka mikakati ya pamoja Ukweli ndio huo.
 
Iran anaweza kwenda peke yake bila msada wa nchi yoyote ile na akaichafua vibaya sana Israel, lakini Israel bila msada wa USA hatasubutu.
 
Hapo umenena point, Israel anajua wazi Hamas na Hazbullah wanapewa msada na Iran, lakini hasogei kule, ingekuwa Sudan kampa msada Hamas ungeona ndege za Israel zinavyo enda shambulia Sudan.
 
ADIOSAMIGO hao watoto wamekuwa Brainwashed na kupewa ahadi kaba-kaba kuwa wakifa wakiwapinga wa-Israel watakuwa SHAHID na wataenda peponi moja-kwa moja bila kuulizwa maswali ningekuwa na nafasi ningekuwekea video ambayo inaonyesha watoto wa Ki-Palestina wanawa-Provoke askari wa Israel ili wawachukulie hatua na wapiga kelele kuwa Isarael askari wake wanawanyanyasa watoto wasiokuwa na hatia,
Kama Israel huwezi kuilinganisha na jeshi linalopigana na watoto ingekuwa hivyo Basi Ndoto ya Waarabu ya Kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia ingekuwa imetimia mda mrefu sana mimi nijuavyo Israel peke yake haiwezi kuipiga Iran vivyo hivyo na Iran haiwezi kuipiga Israel pekee yake hii inatokana na tecknolojia tuliyo nayo kwa sasa,kitu kingine ni Huwezi kuitenganisha Marekani na Israel katika mambo yote hawa watu ni lazima tu wanaungana kwa lolote lile hata kama Israel itataka kuishambulia Iran lazima kwanza wawataarifu Wa-Marekani ili waweze kuweka mikakati ya pamoja Ukweli ndio huo.
wewe unamjua mtu anaitwa brother Nathaniel?ni myahudi na yuko agaisnt mambo serikali ya israel inayafanya,ntakuwekea link,unamjua mwanablog anaitwa israel shamir naye ni myahudi yuko against zion,uwage unasoma,ndo kusema hawa nao wako brainwashed?

Tembelea website nyingi tu za wamarekani ambako sisi ndo tunapatia huko data,wako against israel.
 
hata marekani wenyewe hawawezi kuwashinda na kuwanyamazisha kabisa wairan au tuseme nchi yeyote ya middle east wanaweza kuporomosha mabomu mengi kwa kadri wanavyoweza na kuua watu wengi kwa kadri wawezavyo ,wataharibu miundo mbinu yote lakini jamaa hawatasarenda kama ilivyosarenda japan baada ya kuipiga na atomic.

Ushahidi upo kwa kuangalia irag na afaghnstan.
 
rjnyesnew.jpg
 
wewe ndio umeanza kuharibu hii mada maswala ya dini pelekeni kwenye jukwaa la dini hizo ni fantasia hapa tunaongelea reality kinachoonekana unasukia wewe taifa teule taifa teule acheni mamb hayo nendea jukwaa la dini kule

Ni kweli dada yangu

Tatizo hapa watu hawawezi kuzungumzia uhalisi ulivyo
Kila atakaeizungumzia Israel atafanya hivyo kwa sababu za kidini
Na atakaeizungumzia Iran nae ni hivyo hivyo

Imefikia mahali kila kitu kinachozihusu hizo nchi kiahusishwa na dini
Sijui uwezo wetu wa kufikiri tumemuazima nani

Hovyo kabisa sisi!
 
Iran anaweza kwenda peke yake bila msada wa nchi yoyote ile na akaichafua vibaya sana Israel, lakini Israel bila msada wa USA hatasubutu.

Hizo ni ndoto za mchana Iran hawezi kwenda peke yake Israel kwa maana kwenda Israel tu kuna nchi hapo katikati lazima apate APROVAL ya kupita katika nchi hizo kwa maana hiyo atakuwa amesaidiwa hata kama atatumia makombora ya masafa marefu nijuavyo mimi hayafua dafu mimi narudia kukuambia tena nchi zote hizi mbili haziwezi kumshambulia mwingine bila msaada wa nchi nyingine kinyume chake itakuwa tunadanganyana tu na kufarijiana BURE.
 
hata marekani wenyewe hawawezi kuwashinda na kuwanyamazisha kabisa wairan au tuseme nchi yeyote ya middle east wanaweza kuporomosha mabomu mengi kwa kadri wanavyoweza na kuua watu wengi kwa kadri wawezavyo ,wataharibu miundo mbinu yote lakini jamaa hawatasarenda kama ilivyosarenda japan baada ya kuipiga na atomic.

Ushahidi upo kwa kuangalia irag na afaghnstan.

Nilichokuja kugundua wewe unabisha tu kutokana na Imani yako! Huo ushahidi unaouzungumzia haungii akilini kabisa kwa mtu. Serikali iliyokuwepo Iraq Haipo tena na Saada hatunae tena na Afghanistan Pia ndio hivo sasa unataka Ushindi gani Us aupate? Iran haiwezi Israel sasa nakushangaa tena unavosema Us haiwezi Iran acha ndoto za mchana.
 
wewe unamjua mtu anaitwa brother Nathaniel?ni myahudi na yuko agaisnt mambo serikali ya israel inayafanya,ntakuwekea link,unamjua mwanablog anaitwa israel shamir naye ni myahudi yuko against zion,uwage unasoma,ndo kusema hawa nao wako brainwashed?

Tembelea website nyingi tu za wamarekani ambako sisi ndo tunapatia huko data,wako against israel.

Ni ndoto za mchana kama unafikiri Marekani wanaipinga Israel hao ni maji na samaki,pete na kidole,vingine basi tunataka tu tupoteze mda badala ya kujadili mambo ya maana tukalie ubishi ambao uko wazi.
 
Nilichokuja kugundua wewe unabisha tu kutokana na Imani yako! Huo ushahidi unaouzungumzia haungii akilini kabisa kwa mtu. Serikali iliyokuwepo Iraq Haipo tena na Saada hatunae tena na Afghanistan Pia ndio hivo sasa unataka Ushindi gani Us aupate? Iran haiwezi Israel sasa nakushangaa tena unavosema Us haiwezi Iran acha ndoto za mchana.
serikali iliyoko irag baada ya saddamu ni serikali ambayo iko upande wa iran,ndo kusema marekani wameingia gharama kubwa kumtoa saddam halafu wairan wakaichukua irag kiulaini,hii waswahili wanasema ni kuruka majivu na kukanyaga moto.saa hizi silaha za iran kwenda syria kwa assad zinapitia hapo irag.
 
Ni ndoto za mchana kama unafikiri Marekani wanaipinga Israel hao ni maji na samaki,pete na kidole,vingine basi tunataka tu tupoteze mda badala ya kujadili mambo ya maana tukalie ubishi ambao uko wazi.
post yako inaonyesha wewe huingia hata kusoma link,SI NIMEKUWEKEA LINK HAPO AU LUGHA NDO TATIZO.KAMA NDIVYO SORRY.
 
Nilichokuja kugundua wewe unabisha tu kutokana na Imani yako! Huo ushahidi unaouzungumzia haungii akilini kabisa kwa mtu. Serikali iliyokuwepo Iraq Haipo tena na Saada hatunae tena na Afghanistan Pia ndio hivo sasa unataka Ushindi gani Us aupate? Iran haiwezi Israel sasa nakushangaa tena unavosema Us haiwezi Iran acha ndoto za mchana.
sio kwamba nabisha kwa imani yangu,data natumia za haohao waisrael,wamarekani sema wewe hujishughulishi kuingia na kusoma.naweka link zaidi halafu utaniambia hizo article kaandika muiran ama mmarekani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom