suala la uvamizi si walishalipanga kuwa lazima waziangushe nchi saba za kiislam ndani ya miaka 10.
Irag,libya,syria,lebanon,iran,sudan,somalia.
Miaka kumi ilipita bila malengo yao kufikiwa.
Na kule walikofanikiwa ubao uliwageuka,mfano irag hivi sasa iko upande wa iran,ni kama vile walitwanga maji kwenye kinu.sasa sijui wataipiga tena au vipi.
Syria,asad amekomaa na tulisema hapa tangu mwanzo itakua ngumu watu wakabisha,leo ukweli umeonekana tuko mwaka wa tatu na hakuna dalili ya asad kuondoka.
Hata kule libya ,hawajafanikiwa sana,last time balozi wa marekani ameuawa hapo.
Haya mambo si rahisi kivile.