ISRAEL v/s IRAN.

ISRAEL v/s IRAN.

Status
Not open for further replies.
Wakuu... nisaidieni hapo kwenye rangi nyekundu. Ni kweli?

Acha uvivu wa kutafuta habari wewe nani kakwambia Iran ni waarabu? Hiyo lugha ya kiarabu wenyewe hata hawaijui bali wanajifunza km ilivyo mm na ww, jifunze kujisomea vitabu usilazimishe umbumbumbu Wairani ni Ilfansy sio Waarabu.
 
teh teh teh,

hivi watu kama ninyi huwa mnajiuliza katika kitabu chenu kitukufu manabii wote ni waisrael kasoro yule wakwenu tu.

Na hatubagui hata mmoja, wote tunawakubali na kuwafuata na wote walikuwa Waislaam !
 
Si na ndio hao hao walimkataa kuwa Yesu si Mungu?

Vipi tena awateue kuwa "taifa teule na ni taifa la mungu"?

.......Nakwambia ! Wanajichanganya mpaka wanatuchanganya !
Sasa kumsulubu mungu sijui ni ushujaa au ni dhambi....yaani !
 
Nafikiri hulijui taifa la israeli, ki ukweli israel inaweza pigana na taifa lolote lile duniani bila ya msaada wowote kutoka kwa taifa lolote lile. Israel ni taifa teule na ni taifa la mungu
Taifa teule la Mungu kwa hio sisi mataifa mengine ni watu wa Shetani? Hizi imani zingine za kijinga sana ndio maana wakina Kiranga hawaamini kama kuna mungu, maana hilo taifa ndio mungu wenu alipigwa mpaka kuuwaa na hao hao alafu mungu huyo huyo akawapa cheo kuwa ni taifa lake, kwa hio mungu alifurahia kichapo ndio maana akawapa cheo kuwa ni taifa la mungu? Hizi imani zingi hadi uwe chizi ndio unaweza kuzifuata.
 
Mkuu Israel hawasitisha (retreat) walimaliza vita kabisa (total withdrawal) baada ya jeshi la ardhini kupata kichapo cha karne kisha makomandoo wao wengi sana kuuliwa na barobaro wa Hizbullah. Halafu eti wanawezapigana na Iran wenyewe. Wajaribu waone. Hizbullah halikuwa jeshi la taifa ni militants lakini imewaamgamuza Israel mpaka jeshi la UN lilipelekwa kuweka buffer pale ili Hizbullah wasiichokoze tena Israel. Na kwa taarifa tu Israel ilitumia silaha za phosphorus ambazo haziruhusiwi kwa mujibu wa sheria za silaha za UN

Wewe unaongelea ushabiki tu jeshi la umoja wa mataifa liko pale kwa maslahi Yao na unatakiwa ufahamu kua Askari wa kiisrael hawawezi kuzuiliwa na na Askari wa umoja wa mataifa iwapo wakiwa wanawafata Hao wanamgambo. Rejea jeshi la mzozo wa jeshi la Ujerumani lililoko pale linalolinda aman dhidi ya Israel. Tena Hawa wajerumani walikataa kulinda Amani upande wa nchi kavu wakachagua baharini! Lakini wameshindwa kabisa kuwazua makomndoo wa kiisrael wanapotaka kufanya harakati zao na hii ilipelekea Israel kukumbuka Ile vita ya Aldof Hitler na kutaka kuzichapa na vikosi vya Ujerumani.
Hizi silaha zilitumika Gaza na si Lebanon.
Kuna makosa yalifanyika katika Ramani ya vita dhidi ya Hizbolah hasa kwa waisrael kukisia kua Hao wanamgambo walikua chini ya 3000 kitu ambacho hakikua sahihi na ndio Maana Israel ikaongeza nguvu kubwa na kufanya mashambulizi kwa nguvu sana na kulizohofisha Hilo kundi!
Na Kama Hizbolah wako vizuri wajaribu sasaiv waone! Watapigwa sana mpaka Kiongozi wao watamkata Uko uamishoni na mafichoni anakoishi!
 
Story nyingi za kusadikika zimeingia kwa huu uzi hapa kama watu wana uhakika vile ilhari Israel mwenyewe bado anapelekeshwa puta na Palestine tu na Iran hajareveal uwezo wake wowote mahala popote currently otherwise hamna mwenye uhakika hapa.

Na habari za kusena Israel taifa la Mungu sijui haliwezi kupigwa ni ujomba/unazi
 
Na hatubagui hata mmoja, wote tunawakubali na kuwafuata na wote walikuwa Waislaam !

walikuwa waislamu? kwani Ukristo na uslamu upi ulimkuta mwenzie? na je muhamad aliukuta Ukristo au ulimkuta yeye maana ukisoma kitabu cha maisha ya mtume kuna ushahidi tosha kwamba muhamad aliukuta Ukristo na aliishi nao siku zote na aliuacha
 
Kwa Mwenye kupenda kuelewa na kukubali basi anaweza akakubali haya ulioandika Mkuu!
Hiyo ndo israel mbambe wa mashariki ya Kati na mataifa ya kiarabu!

Huo ndio ukweli hata mmarekani mwenyewe hana jeuri kama siyo Muisrael,ndani ya NASA kwenyewe
kumejaa wayahudi'
 
Mkuu Hekimatele, hoja yangu imetokana na mtazamo wangu kuhusu hizi nchi mbili based on their geographical location, size, population na war strategy. Iran ina ukubwa wa 1,648 km2 na Popn. ya takribani watu Miliono 80. Israel in ukubwa wa 20, 770 km2 na Popn. ya watu milioni 8. Kwa akili ya kawaida nadhani unaweza kuona kwamba, kivita, hizi nchi mbili haziwiani hata kidogo.

Ukiangalia ramani hapo chini, utaona kwamba kutoka Israel mpaka Teheran, kuna umbali wa takriban kilometa 1500. Ili Israel aishambulia Iran na kutoa pigo takatifu, inabidi ndege zake zicross anga ya nchi kama 4, ambazo zote ni za Kiarabu. Sidhani kwamba hili ni jambo rahisi.

Technologically, Israel hana ndege za kivita zinazoweza kwenda km 1500 kupiga target (na kutoa pigotakatifu in order to destroy Iranians Nuclear facilities). Mwenye hizo ndege za ku refill ndege juu kwa juu ni Marekani, na mbaye kwa sasa hivi hayupo tayari kuanzisha vita nyingine ndani ya Ghuba ya Uajemi. Anajitayarisha kuondoka Iraq na Afghanistan.

On June 7th, 1981, Israel destroyed Iraq's Osirak Nuclear Plant, shambulio ambalo liliungwa mkono na Iran, ambaye alikuwa adui mkubwa wa Iraq kipindi hicho. Lakini shambulio hilo ndilo lilomfungua macho Iran. Sasa hivi Iranian Nuclear plants zote zipo Underground and scattered kiasi kwamba ni vigumu kwa Israel, peke yake kushambulia successfully six targets at once. Uncle Sam assistance is necessary, kama ikibidi kufanya hivyo, tena sana tu.

Most likely, shambulio lolote la Israel kwa Iran litazaa vita kati ya hawa wababe wawili. Na hapa tena Uncle Sam lazima aweke kifua. Maana yake ni kwamba, kwenye strategy za kivita, hauwezi kuziweka hizi nchi mbili kwenye ulingo moja. Its unrealistic. Kama Saddam Hussein angekuwa hai angetoa ushuhuda.

Vita vya Iraq/Iran vilichukua miaka karibia 8. Na pamoja na misaada aliyopata Iraq kutoka kwa U.S.A, Britain, Germany na France lakini Iraq alishindwa kuwin ile vita. Ni kama nilivyosema hapo mwanzo, size na population ni moja ya vigezo muhimu kwenye vita (TAFADHALI TUSIANGALIE CONGO).

Kwa sababu ya popn. size ya Iran (WATU MILIONI 80), kupoteza raia million kadha kwenye vita kwao sio big deal. Pengine hata kwa Israel itakuwa sio big deal, hosusani inapokuja kwenye suala la UTAIFA NA KUILINDA NCHI YAO.

Huu ni mtizamo wangu tu. Inawezekana nikawa wrong kwenye assessment zangu. Lakini kila ninapoangalia kasheshe ya Ghuba ya Uajemi, huwa nabaki mdomo wazi.

IRAN-and-its-neighbors.jpg

Ubora wa jeshi haupimwi kwa wingi wa watu! Na wakiweka vigezo mezani vya Ubora wa jeshi mezani basi Muisrael atashinda! Na ikumbukwe kwamba Main Target ya vita sio raia wa kawaida! Vinalengwa miundombinu muhimu na maghala ya silaha na makambi ya jeshi na mifumo ya kujilinda ya angani na ardhini na majini! Na huo uwezo wa kupiga Israel anao!
Umbali toka Israel mpaka Iran: hii sio shida unapokua na silaha za nyuklia inamaanisha una Yale mabomu na makombora yaitwayo Continatal ambayo yanakwenda masafa marefu! Kwahiyo Israel inaweza ikaishambulia Iran kutoka Tel aviv na mabomu yakafika Tehran!
Na Pia hizi ndege za kivita za kimarekan zenye Technology ya juu Na kufika juu sana hizi na Muisrael anazo! Kwahiyo uwezo wa kuruka na kuvuka nchi4 mpaka kufika Iran huu uwezo Israel wanao!
Tumeona miaka ya hivi karibuni Hawa wairan ndio wanajaribu silaha za masafa marefu za kuweza kufika Tel aviv! Hawa wakiwa wanajaribu waisrael wao wanazo hizo silaha Muda mrefu tu! Kwahiyo Iran inaitaji kujijenga Zaidi kiuchumi kijeshi kwa miaka kadhaa ili kufika hatua Fulani lakini kwa sasa hawawezi kusimama na Muisrael na ndio Maana unaona waziri Mkuu wa Israel anaongea kwa kujiamini kabisa Kwani anaelewa wazi kua uwezo wa kuichapa Iran anao! Na ata alisema kua Kama ataingia vitani dhidi ya Iran stakua amewasaidia wengine!
Kuhusu vita ya Iraq Na Iran: Wamarekani na wamaghalibi walikua nyuma ya Iraq na Pia Iran Mrusi alikua nyuma yake! Kwahiyo ata Leo iko wazi kua Mrusi Yuko nyuma ya Iran ikumbukwe hotuba ya Rais wa Urusi Vladimir Putin alioitoa 2007 katika ufukweni mwa bahari ya caspian akiikingia kifua Iran isishambuliwe na majeshi ya USA na Uingeleza yaliyokuwepo pale Iraq!
Na kwa mujibu wa Ramani yako Iran ndio Hana uwezo wa kuzivuka hizo nchi 4 ili aifikie Israel! Ila Muisrael huo uwezo anao! Utake usitake
 
walikuwa waislamu? kwani Ukristo na uslamu upi ulimkuta mwenzie? na je muhamad aliukuta Ukristo au ulimkuta yeye maana ukisoma kitabu cha maisha ya mtume kuna ushahidi tosha kwamba muhamad aliukuta Ukristo na aliishi nao siku zote na aliuacha
Kizazi cha Israel kimeanzishwa na Ishaq na kizazi cha warabu kimeanzishwa na Ismail, kwa tarifa yako prophet Abraham was not a Jew, he was around before Judaism.

ANGALIA MIFANO MITATU HAPO YA JUDAISM, CHRISTIANITY NA ISLAM.

Judaism: Were all the prophets Jewish? No, though most of their prophets considered themselves Jews, their first prophet Abraham was not a Jew, he was around before Judaism officially exists, and one website about jewish prophets says, "A prophet is not necessarily a Jew" (jewfaq.org/prophet.htm) God sent prophet to gentiles as well... Is this a problem?? YES If Jews were the nation chosen by God and Judaism is the right religion under God why would God be sending messengers that weren't of his faith? Since Judaism is a religion with two dimensions (nationality and religion) one who is not part of the nation chosen by God is not a Jew, so why is God sending forth prophets from an unchosen nation? It doesn't make sense.

Christianity: Were all prophets Christian? NO, even Jesus(pbuh) himself wasn't a Christian (as Muslim we beleive he was Muslim), Christians beleive he was a Jew, even as a Christian I knew Jesus(pbuh) wasn't Christian. For anyone who's curious Jesus couldn't have been a Christian because a Christian is one who follows the teaching of Christ (Jesus pbuh) and beleives in his death and resurrection, so the only way Jesus could've been a Christian was after his death and resurrection, so if necessary I'll grant that Jesus was a Christian for a couple of days (once he was resurrected, according to Christian theology) And all the prophets before Jesus were not Christian. So Christians base their faith on prophets who weren't even of the same faith, they follow some rules from the old testament and others they ignore. It doesn't make much sense to have a religion where most prophets aren't even of that religion, does it??

Islam: are all prophets Muslim? YES!! This can be very hard for some to wrap their head around (even some Muslims). I mean didn't Islam only come into being in the 7th century? The answer is Yes and no, Muhammad (saw) brought the final revelation not the first, and certainly not the only. Though many people are correct in saying that the terms Islam and Muslim are rather recent, but just because one didn't use the same terms to identify something doesn't mean that it wasn't the same thing. For example I live in Quebec (a province in Canada) originally Quebec was called New France, then Lower Canada, and now Quebec, but it is still the same mass of land, still the same place so when we talk about history of Quebec we don't stop when it was called Lower Canada or New France, we go all the way back (even before that) and we recognize that even though it was functioning under a different name it was still Quebec. So we will do the same with Islam even though it wasn't called Islam it was the same religion, because it was the worshipping of a single God who is ONE.

Kuhusu swali la Israel na Iran, kama Israel inataka kupotea duniani kabla ya wakati wake ijaribu kuichokoza Iran.

Mkubwa take your time kusoma historia ya Iran kianzia mapinduzi ya 1979 then vita ya Iran na Iraq. Vile vile inaonekana hujui kuwa wa Iran sio waarabu. Swali jingine, unajua kilichowakuta waisrael kwenye ile vita na Hizbolah Lebanon? Try to find out from neutral sourses kwa nini walisitisha their ground invasion.

Excellent
 
Story nyingi za kusadikika zimeingia kwa huu uzi hapa kama watu wana uhakika vile ilhari Israel mwenyewe bado anapelekeshwa puta na Palestine tu na Iran hajareveal uwezo wake wowote mahala popote currently otherwise hamna mwenye uhakika hapa.

Na habari za kusena Israel taifa la Mungu sijui haliwezi kupigwa ni ujomba/unazi

Palestine na Israel Siku zote Palestine ndio wanaoshindwa! Kwa hiyo huwezi kusema kile ndio kipimo kwanza ata dhana wanazotumia Hao wapalestine ni hafifu mno!
Iran uwezo wake unajulikana ata Kama haujaoneshwa popote pale, wakiingia kwenye vita wasimame wao Kama wao, Iran lazima achapwe!
 
Kizazi cha Israel kimeanzishwa na Ishaq na kizazi cha warabu kimeanzishwa na Ismail, kwa tarifa yako prophet Abraham was not a Jew, he was around before Judaism.

ANGALIA MIFANO MITATU HAPO YA JUDAISM, CHRISTIANITY NA ISLAM.

Judaism: Were all the prophets Jewish? No, though most of their prophets considered themselves Jews, their first prophet Abraham was not a Jew, he was around before Judaism officially exists, and one website about jewish prophets says, "A prophet is not necessarily a Jew" (jewfaq.org/prophet.htm) God sent prophet to gentiles as well... Is this a problem?? YES If Jews were the nation chosen by God and Judaism is the right religion under God why would God be sending messengers that weren't of his faith? Since Judaism is a religion with two dimensions (nationality and religion) one who is not part of the nation chosen by God is not a Jew, so why is God sending forth prophets from an unchosen nation? It doesn't make sense.

Christianity: Were all prophets Christian? NO, even Jesus(pbuh) himself wasn't a Christian (as Muslim we beleive he was Muslim), Christians beleive he was a Jew, even as a Christian I knew Jesus(pbuh) wasn't Christian. For anyone who's curious Jesus couldn't have been a Christian because a Christian is one who follows the teaching of Christ (Jesus pbuh) and beleives in his death and resurrection, so the only way Jesus could've been a Christian was after his death and resurrection, so if necessary I'll grant that Jesus was a Christian for a couple of days (once he was resurrected, according to Christian theology) And all the prophets before Jesus were not Christian. So Christians base their faith on prophets who weren't even of the same faith, they follow some rules from the old testament and others they ignore. It doesn't make much sense to have a religion where most prophets aren't even of that religion, does it??

Islam: are all prophets Muslim? YES!! This can be very hard for some to wrap their head around (even some Muslims). I mean didn't Islam only come into being in the 7th century? The answer is Yes and no, Muhammad (saw) brought the final revelation not the first, and certainly not the only. Though many people are correct in saying that the terms Islam and Muslim are rather recent, but just because one didn't use the same terms to identify something doesn't mean that it wasn't the same thing. For example I live in Quebec (a province in Canada) originally Quebec was called New France, then Lower Canada, and now Quebec, but it is still the same mass of land, still the same place so when we talk about history of Quebec we don't stop when it was called Lower Canada or New France, we go all the way back (even before that) and we recognize that even though it was functioning under a different name it was still Quebec. So we will do the same with Islam even though it wasn't called Islam it was the same religion, because it was the worshipping of a single God who is ONE.

Kuhusu swali la Israel na Iran, kama Israel inataka kupotea duniani kabla ya wakati wake ijaribu kuichokoza Iran.

Hapa mwisho ndio ulipokosea! Binafsi naombea hii vita itokee ata Leo uone Iran itakavogongwa!
 
Si na ndio hao hao walimkataa kuwa Yesu si Mungu?

Vipi tena awateue kuwa "taifa teule na ni taifa la mungu"?

Na wewe Upo Hapa? Haya maswala ya Imani hauyaelewi we kaa kimya komaa na maswala ya Nyerere tu!
 
Hapa mwisho ndio ulipokosea! Binafsi naombea hii vita itokee ata Leo uone Iran itakavogongwa!
Siongei mengi kama alivyo sema huyu Iranian envoy nazani msome na wewe.

Iranian envoy advised Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu to avoid miscalculations regarding attacking Tehran."The Israeli prime minister had better not even think abou
Khodadad_Seifi.jpg
t attacking Iran, let alone planning for that," Khodadad Seifi, a deputy ambassador at Iran's UN mission, told the UN General Assembly.
The diplomat spoke immediately after Netanyahu in the assembly to condemn Netanyahu's "extremely inflammatory" and "saber-rattling" remarks.
The diplomat said the Israeli PM should "seriously avoid miscalculation" in the showdown.
"Iran's centuries-old policy of non aggression must not be interpreted as its inability to defend itself.
"Unlike Israel, Iran did not and would not attack any country," he added in the right of reply statement.
Iran's opponents, such as Netanyahu, have accused Iran of leading a charm offensive. Seifi said: "A smile attack is better than military attack. And indeed a smile policy is much better than lying
 
Siongei mengi kama alivyo sema huyu Iranian envoy nazani msome na wewe.

Iranian envoy advised Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu to avoid miscalculations regarding attacking Tehran."The Israeli prime minister had better not even think abou
Khodadad_Seifi.jpg
t attacking Iran, let alone planning for that," Khodadad Seifi, a deputy ambassador at Iran's UN mission, told the UN General Assembly.
The diplomat spoke immediately after Netanyahu in the assembly to condemn Netanyahu’s "extremely inflammatory" and "saber-rattling" remarks.
The diplomat said the Israeli PM should "seriously avoid miscalculation" in the showdown.
"Iran's centuries-old policy of non aggression must not be interpreted as its inability to defend itself.
"Unlike Israel, Iran did not and would not attack any country," he added in the right of reply statement.
Iran's opponents, such as Netanyahu, have accused Iran of leading a charm offensive. Seifi said: "A smile attack is better than military attack. And indeed a smile policy is much better than lying

Hapo Un Kila mmoja anaweza akasema awezavo. Tumkumbuke Hugo Chavez aliwahi kutoa maneno makali sana juu ya Bush.
Hilo liko wazi kua Iran haiiwezi Israel na ndio Maana Iran wanajitahidi sana kufanya upesi kuharakisha Ubora wa jeshi Lao!
 
Nani anaye mtisha mwenzake kila siku Israel au Iran? Mimi navyo jua tokea 2008 Israel anasema ataipiga Iran, na Iran inamjibu sogea ukione naona Israel hasogei, hivi hapo we unaona nani anaye muogopa mwenzake?
 
Kizazi cha Israel kimeanzishwa na Ishaq na kizazi cha warabu kimeanzishwa na Ismail, kwa tarifa yako prophet Abraham was not a Jew, he was around before Judaism.

ANGALIA MIFANO MITATU HAPO YA JUDAISM, CHRISTIANITY NA ISLAM.

Judaism: Were all the prophets Jewish? No, though most of their prophets considered themselves Jews, their first prophet Abraham was not a Jew, he was around before Judaism officially exists, and one website about jewish prophets says, "A prophet is not necessarily a Jew" (jewfaq.org/prophet.htm) God sent prophet to gentiles as well... Is this a problem?? YES If Jews were the nation chosen by God and Judaism is the right religion under God why would God be sending messengers that weren't of his faith? Since Judaism is a religion with two dimensions (nationality and religion) one who is not part of the nation chosen by God is not a Jew, so why is God sending forth prophets from an unchosen nation? It doesn't make sense.

Christianity: Were all prophets Christian? NO, even Jesus(pbuh) himself wasn't a Christian (as Muslim we beleive he was Muslim), Christians beleive he was a Jew, even as a Christian I knew Jesus(pbuh) wasn't Christian. For anyone who's curious Jesus couldn't have been a Christian because a Christian is one who follows the teaching of Christ (Jesus pbuh) and beleives in his death and resurrection, so the only way Jesus could've been a Christian was after his death and resurrection, so if necessary I'll grant that Jesus was a Christian for a couple of days (once he was resurrected, according to Christian theology) And all the prophets before Jesus were not Christian. So Christians base their faith on prophets who weren't even of the same faith, they follow some rules from the old testament and others they ignore. It doesn't make much sense to have a religion where most prophets aren't even of that religion, does it??

Islam: are all prophets Muslim? YES!! This can be very hard for some to wrap their head around (even some Muslims). I mean didn't Islam only come into being in the 7th century? The answer is Yes and no, Muhammad (saw) brought the final revelation not the first, and certainly not the only. Though many people are correct in saying that the terms Islam and Muslim are rather recent, but just because one didn't use the same terms to identify something doesn't mean that it wasn't the same thing. For example I live in Quebec (a province in Canada) originally Quebec was called New France, then Lower Canada, and now Quebec, but it is still the same mass of land, still the same place so when we talk about history of Quebec we don't stop when it was called Lower Canada or New France, we go all the way back (even before that) and we recognize that even though it was functioning under a different name it was still Quebec. So we will do the same with Islam even though it wasn't called Islam it was the same religion, because it was the worshipping of a single God who is ONE.

Kuhusu swali la Israel na Iran, kama Israel inataka kupotea duniani kabla ya wakati wake ijaribu kuichokoza Iran.

Hiyo mifano yako mitatu hainoshi kua. Uislamu ulikuwapo kabla ya ukristo!
Na Bado hiyo history ya Ibrahimu haioneshi ahadi ambazo Mungu alimuahidi Ibrahimu! Na kwa mujibu wa maelezo yako unajaribu kumfanya Ibrahimu kua mtu wa mataifa kitu ambacho sio kweli!
Na Mungu sio mtu wa matabaka. Ni wa watu wote
 
kama iran atampiga muisrael basi Ukristo ni uwongo na kama akiifuta kwenye ramani ya dunia Ukristo ni uwongo mkubwa out of hapo Israel itampiga iran kama mgonjwa mahututi subirini tatizo waislam mmeweka udini mbele kuliko hali halisi hata kwa sadam na gadaf mlisema sn bt yale madege makubwamakubwa yny kaasi na teknolojia ya juu yalipoanza kazi wote kimya unajua bana hata mtoto mdogo ukimuuliza eti kati ya iran na Israel nani atapigwa jibu atakalokupa ni iran kubomolewa soon.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom