jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 21,701
- 41,864
Kuna ugaidi zaidi ya kuuwa vichanga badala ya kupigana na wanajeshi wenzako?
Hao wanajeshi wako wapi mkuu mana kama ni hamas hao wanajificha kwenye hospitali na mashuleni na kwenye misikiti.
Kuna ugaidi zaidi ya kuuwa vichanga badala ya kupigana na wanajeshi wenzako?
We bado unaugua akili,ukipata akili tutjadiliRaia wema walishaondoka gaza,waliobaki ni hamas na vibara wao.
Kuna wakati unaruhusu ushambuliwe ili ufanikishe lengo lakoUjinga mtupu halafu ndio mnasema Israel ndio yenye TISS nzuri , wazayuni wameonyesha umbumbu ktk suala la Vita ,Jasusi Bora huwezi kupigapiga hovyo vitoto vichanga na wamama.
Ni Bora ya TISS yetu IPO vema ktk kukabiliana na Chadema kuliko hao mbuzi wa kizayuni.
Hamas asonge mbele kuelekea wapi,hivi huwa una akili kweli!?
Mara ya mwisho nilikuuliza Kama upo period,hukunijibu...umemaliza mzunguko!?Umevurugwa sheikh make naona huelewi vile, Hamas ndio wamejigicha kwenye hizo shule, hospitali, nk kwahiyo waachwe acha ujinga bwana
We bado unaugua akili,ukipata akili tutjadili
Akili kwako ni shida..na elimu,ngumu kujadili na mtu wa hivyoMkuu si mlisema IDF ni jeshi dhaifu haliwezi ingia gaza imekuaje tena?na pia mlisema mossad imejaa propaganda tu hadi hamas wakavamia israel.
Akili kwako ni shida..na elimu,ngumu kujadili na mtu wa hivyo
tulia we kenge mujaidina tumeshakubaini. Kimsingi kila kifo cha raia mmoja wa Israel kitalipwa kwa vifo 10,000 vya manyangau ya kiarabu. Kwahyo tukaia kwa formula hii bado vifo vya manyangau 11,000,000 kmamae mpaka wachambie mchanga shenzi walidhani IDF ni M23 ya KagameMimi nasimama na Israel kwenye mapigano haya, ila tu kwa niliyoyaona Jana naweza kushauri kwamba Sasa inatosha. Nadhani kwa Sasa Israel isistishe mapigano na Hamas maana kwa Sasa wanaoumia sio Hamas ni raia wa kawaida wa Gaza. Kama ni kisasi kimeshalipwa. Maana mpaka Sasa wameuawa wapalestina 11,500. Ambao watoto waliokwisha uawa wanakaribia 5,000 hii inaumiza Sana.
IDF kashamsambaratisha Hamas sidhani Kama Kuna haja ya kuendelea na mashambulizi. Kwa Sasa Hamas Hana nguvu na wapalestina wamejifunza kwamba mbeleni wasifanye uchokozi kwa Israel wa aina ile.
Kuna mambo matatu nimeyaona yamenifanya nifikirie hivyo.
1. Kwanza, Jana Israel kashambulia na kuilipua kwa makombora shule ya watoto na kuua watu hamsini ikiwemo watoto wadogo. Shule hiyo inaitwa Al Buraq, na inasemekana mjukuu wa kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh aliuawa kwenye mashambulizi hayo.
Sababu kuu ya IDF kuishambulia shule hiyo ni baada ya kamanda wa Hamas Ahmed Siam aliyekuwa kwenye mapambano na IDF kwenye eneo la Hospitali ya Rantisi Kuzidiwa na kwenda kujificha kwenye shule hiyo. Hivyo Israel ikaona immalize pamoja na watoto waliokuwemo humo. Kwa kweli niliumia kuona watoto wasiokuwa na hatia wakiuawa kwa ujinga wa Hamas. Nikawaza itakuwaje kwa huko mbeleni?.
2. Pili, Kuna Jambo la kusikitisha kwenye Hospitali ya Al Shifa. Ni kwamba IDF imeizunguka hiyo Hospitali na kuanza mashambulizi. Tatizo ni kwamba Kuna vitoto vichanga karibia 39 vimo humo ndani, ndio kwanza vipo kwenye incubator. Sasa ninachoogopa IDF asije akailipua Hospitali nzima na kuua hao watoto.
Nasema hivyo kwa sababu IDF anaweza kuilipua Hospitali nzima ya Al Shifa kwa kuwa kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar kajificha humo pamoja Viongozi wachache waliobakia.
Kingine ni kwamba ndani ya Hospitali hiyo Kuna wagonjwa wengi mahtuti na wazee. Hivyo kuilipua itasababisha mauaji ya halaiki.
3. Tatu, iwapo IDF itailipua Hospitali hiyo Kuna uwezekano wa Mataifa ya kiarabu kulazimishwa kuingilia kati na kuendeleza mgogoro kuwa mkubwa na kupelekwa hata vita vya tatu vya dunia.
Maana Al Shifa imekuwa Kama mtego. Ndio maana Hamas wameruhusu watu wengi wawe pale ili Israel asipate nafasi ya kuishambulia. Maana lile ndio eneo la mwisho kabisa kwa Hamas kujilinda. Hivyo hakuna haja ya kumwaga damu nyingi. Wakubaliane Israel asogee nyuma na Hamas wawaachie mateka basi. Mambo mengine yaendelee.
Hivyo basi, naishauri Israel ifanye yafuatayo.
1. Kutangaza kusitisha haya mapigano, maana wanaoadhirika ni watoto, wanawake na wazee na sio Hamas Tena.
2. Israel atangaze kuwepo na Kambi ya jeshi itakayosimamiwa na Umoja wa Mataifa. Kambi hiyo iwe kilometa ishirini kati ya mpaka wa Israel na Gaza.
3. Israel ifanye makubaliano na Hamas ya kuondoka Al Shifa na Hamas wawaachie mateka waliowashika. Na makubaliano haya yasimamiwe na Umoja wa Mataifa.
4. Jukumu la kuisimamia Gaza liwe chini ya Mahmoud Abbas ambaye kisheria ndio Rais wa Palestina, Gaza ikiwemo. Ili kuendeleza makubaliano ya Oslo ya mwaka 1993 ili mchakato wa kuanzisha taifa la Palestine lianze..
4. Nanshauri kuwepo na makubaliano kati ya Palestina kwa niaba ya Hamas na Israel upande mwingine , kwamba hawatovamiana Tena.
Suala lakuifuta hamas Hilo mulisahau kuua wasio hatia mshazoea ndio maana mnaripua mpaka matank ya maji au yalikua na undergroundUmetoa hoja nzuri sana.
Napenda vita iishe ila kwanza Hamas ifutwe. Hapo hospitalini al Shifa ndio makao makuu ya Hamas, imagine kundi la kigaidi Lina makao makuu hospitalini underground.
Hamas ipigwe ichakae, Gaza iwe chini ya mamlaka ya Palestina kama ilivyo West Bank ila suala la usalama wa Gaza liwe chini ya Israel.
Ila hamas wamezingua sana. Na wanafanya madudu zaidi. Wajitokeze wapambane na israel kwenye uwanja wa vita na sio kujificha nyuma ya watotoMimi nasimama na Israel kwenye mapigano haya, ila tu kwa niliyoyaona Jana naweza kushauri kwamba Sasa inatosha. Nadhani kwa Sasa Israel isistishe mapigano na Hamas maana kwa Sasa wanaoumia sio Hamas ni raia wa kawaida wa Gaza. Kama ni kisasi kimeshalipwa. Maana mpaka Sasa wameuawa wapalestina 11,500. Ambao watoto waliokwisha uawa wanakaribia 5,000 hii inaumiza Sana.
IDF kashamsambaratisha Hamas sidhani Kama Kuna haja ya kuendelea na mashambulizi. Kwa Sasa Hamas Hana nguvu na wapalestina wamejifunza kwamba mbeleni wasifanye uchokozi kwa Israel wa aina ile.
Kuna mambo matatu nimeyaona yamenifanya nifikirie hivyo.
1. Kwanza, Jana Israel kashambulia na kuilipua kwa makombora shule ya watoto na kuua watu hamsini ikiwemo watoto wadogo. Shule hiyo inaitwa Al Buraq, na inasemekana mjukuu wa kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh aliuawa kwenye mashambulizi hayo.
Sababu kuu ya IDF kuishambulia shule hiyo ni baada ya kamanda wa Hamas Ahmed Siam aliyekuwa kwenye mapambano na IDF kwenye eneo la Hospitali ya Rantisi Kuzidiwa na kwenda kujificha kwenye shule hiyo. Hivyo Israel ikaona immalize pamoja na watoto waliokuwemo humo. Kwa kweli niliumia kuona watoto wasiokuwa na hatia wakiuawa kwa ujinga wa Hamas. Nikawaza itakuwaje kwa huko mbeleni?.
2. Pili, Kuna Jambo la kusikitisha kwenye Hospitali ya Al Shifa. Ni kwamba IDF imeizunguka hiyo Hospitali na kuanza mashambulizi. Tatizo ni kwamba Kuna vitoto vichanga karibia 39 vimo humo ndani, ndio kwanza vipo kwenye incubator. Sasa ninachoogopa IDF asije akailipua Hospitali nzima na kuua hao watoto.
Nasema hivyo kwa sababu IDF anaweza kuilipua Hospitali nzima ya Al Shifa kwa kuwa kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar kajificha humo pamoja Viongozi wachache waliobakia.
Kingine ni kwamba ndani ya Hospitali hiyo Kuna wagonjwa wengi mahtuti na wazee. Hivyo kuilipua itasababisha mauaji ya halaiki.
3. Tatu, iwapo IDF itailipua Hospitali hiyo Kuna uwezekano wa Mataifa ya kiarabu kulazimishwa kuingilia kati na kuendeleza mgogoro kuwa mkubwa na kupelekwa hata vita vya tatu vya dunia.
Maana Al Shifa imekuwa Kama mtego. Ndio maana Hamas wameruhusu watu wengi wawe pale ili Israel asipate nafasi ya kuishambulia. Maana lile ndio eneo la mwisho kabisa kwa Hamas kujilinda. Hivyo hakuna haja ya kumwaga damu nyingi. Wakubaliane Israel asogee nyuma na Hamas wawaachie mateka basi. Mambo mengine yaendelee.
Hivyo basi, naishauri Israel ifanye yafuatayo.
1. Kutangaza kusitisha haya mapigano, maana wanaoadhirika ni watoto, wanawake na wazee na sio Hamas Tena.
2. Israel atangaze kuwepo na Kambi ya jeshi itakayosimamiwa na Umoja wa Mataifa. Kambi hiyo iwe kilometa ishirini kati ya mpaka wa Israel na Gaza.
3. Israel ifanye makubaliano na Hamas ya kuondoka Al Shifa na Hamas wawaachie mateka waliowashika. Na makubaliano haya yasimamiwe na Umoja wa Mataifa.
4. Jukumu la kuisimamia Gaza liwe chini ya Mahmoud Abbas ambaye kisheria ndio Rais wa Palestina, Gaza ikiwemo. Ili kuendeleza makubaliano ya Oslo ya mwaka 1993 ili mchakato wa kuanzisha taifa la Palestine lianze..
4. Nanshauri kuwepo na makubaliano kati ya Palestina kwa niaba ya Hamas na Israel upande mwingine , kwamba hawatovamiana Tena.
Kama mwezi mzima haukutosha masaa matatu atasaidia nnHapo patolewe mda wagonjwa wahamishwe vichanga waliopo kwenye incubator wahamishwe pamiminwe mvua ya mabomu kwa masaa matatu bila kupumzika
Nimeuliza matanki ya maji yalikua na magaidi ndani!?
Maislamu yote ni magaidi hata yaliyoko tumboni, haya mahamas, Bokoharam, Al shabab hayakua matoto ?! Piga shaba manyangau yote makubwa na madogo
Hamas kwa Gaza ni kama ccm kwa Tanzania, hawahitaji kuruhusiwaWenye hospitali walikubali vipi kuwe na handaki chini
Una ishahidi gani wa haya unayo yasema?Hao wanajeshi wako wapi mkuu mana kama ni hamas hao wanajificha kwenye hospitali na mashuleni na kwenye misikiti.
Tunakataa ukoloni ndiyo maana tunapinga HamasNi jambo linalo huzunisha sana mtu mweusi kuunga mkono ukoloni hasa yale tuliyo pitia katika ukoloni ni jambo linalo huzunisha sana tena sana kutetea ukoloni na kuona ni jambo la maana sana.
Haaa sasa hivi naona Zere mme mkimbia mmeenda kwa mme wenu mpya Netanyau.Wapigweeeeee