Israel Sasa inatosha

Israel Sasa inatosha

Ujinga mtupu halafu ndio mnasema Israel ndio yenye TISS nzuri , wazayuni wameonyesha umbumbu ktk suala la Vita ,Jasusi Bora huwezi kupigapiga hovyo vitoto vichanga na wamama.

Ni Bora ya TISS yetu IPO vema ktk kukabiliana na Chadema kuliko hao mbuzi wa kizayuni.
wanapiga hovyo wnaua watoto na sio hamas ila kwann hamas wasiolengw kwann hawasongi mbele? wapo mashimon tu
 
Israel haiwezi kuimaliza HAMAS, inahitaji HAMAS iendelee kuwepo ili kutimiza malengo yake ya kujiportray kwamba ina existential threat kwa wajomba zake wamarekani na waulaya huku kimyakimya ikiendelea kumega ardhi za wapalestina kwa visingizio vya security.

Wakimaliza kuichukua gaza magaidi yatahamia westbank huko nako watakuja kufanya kama gaza.
 
Kuna uhalifu mkubwa sana wa kivita na kijinai umefanyika huko Gaza

ICC ni vyema iwezeshwe kuwashughulikia wahusika.
20231111_001100.jpg
 
Bado hamjasema. Kwani mpaka sasa kwenye vita ngapi ngapi isije ikawa yale ya simba na yanga😂😂😂
 
Kama wameweza kuzingira maeneo yenye uhakika kua hamas wapo hapo na hawana nguvu kwa nini wasiwakamate au kuwashambulia moja kwa moja kwa mtutu kwanini wanapiga makombora.
 
Israel itangaze kusitisha vita kwa masaa kadhaa ili watu waliopo hospitalini hapo wahamishwe. Baada ya muda wa tangazo watakaokua wamekaidi kuondoka hospitalini hapo basi wote "manzi ga nyanza" shusha Bomu.

Litakua ni kosa kubwa sana Israel kusitisha vita na kuaacha hao viongozi wa Hamasi humo ndani. Siku zote huruma inaponza.
 
Mimi nasimama na Israel kwenye mapigano haya, ila tu kwa niliyoyaona Jana naweza kushauri kwamba Sasa inatosha. Nadhani kwa Sasa Israel isistishe mapigano na Hamas maana kwa Sasa wanaoumia sio Hamas ni raia wa kawaida wa Gaza. Kama ni kisasi kimeshalipwa. Maana mpaka Sasa wameuawa wapalestina 11,500. Ambao watoto waliokwisha uawa wanakaribia 5,000 hii inaumiza Sana.

IDF kashamsambaratisha Hamas sidhani Kama Kuna haja ya kuendelea na mashambulizi. Kwa Sasa Hamas Hana nguvu na wapalestina wamejifunza kwamba mbeleni wasifanye uchokozi kwa Israel wa aina ile.

Kuna mambo matatu nimeyaona yamenifanya nifikirie hivyo.

1. Kwanza, Jana Israel kashambulia na kuilipua kwa makombora shule ya watoto na kuua watu hamsini ikiwemo watoto wadogo. Shule hiyo inaitwa Al Buraq, na inasemekana mjukuu wa kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh aliuawa kwenye mashambulizi hayo.

Sababu kuu ya IDF kuishambulia shule hiyo ni baada ya kamanda wa Hamas Ahmed Siam aliyekuwa kwenye mapambano na IDF kwenye eneo la Hospitali ya Rantisi Kuzidiwa na kwenda kujificha kwenye shule hiyo. Hivyo Israel ikaona immalize pamoja na watoto waliokuwemo humo. Kwa kweli niliumia kuona watoto wasiokuwa na hatia wakiuawa kwa ujinga wa Hamas. Nikawaza itakuwaje kwa huko mbeleni?.

2. Pili, Kuna Jambo la kusikitisha kwenye Hospitali ya Al Shifa. Ni kwamba IDF imeizunguka hiyo Hospitali na kuanza mashambulizi. Tatizo ni kwamba Kuna vitoto vichanga karibia 39 vimo humo ndani, ndio kwanza vipo kwenye incubator. Sasa ninachoogopa IDF asije akailipua Hospitali nzima na kuua hao watoto.

Nasema hivyo kwa sababu IDF anaweza kuilipua Hospitali nzima ya Al Shifa kwa kuwa kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar kajificha humo pamoja Viongozi wachache waliobakia.

Kingine ni kwamba ndani ya Hospitali hiyo Kuna wagonjwa wengi mahtuti na wazee. Hivyo kuilipua itasababisha mauaji ya halaiki.

3. Tatu, iwapo IDF itailipua Hospitali hiyo Kuna uwezekano wa Mataifa ya kiarabu kulazimishwa kuingilia kati na kuendeleza mgogoro kuwa mkubwa na kupelekwa hata vita vya tatu vya dunia.

Maana Al Shifa imekuwa Kama mtego. Ndio maana Hamas wameruhusu watu wengi wawe pale ili Israel asipate nafasi ya kuishambulia. Maana lile ndio eneo la mwisho kabisa kwa Hamas kujilinda. Hivyo hakuna haja ya kumwaga damu nyingi. Wakubaliane Israel asogee nyuma na Hamas wawaachie mateka basi. Mambo mengine yaendelee.

Hivyo basi, naishauri Israel ifanye yafuatayo.

1. Kutangaza kusitisha haya mapigano, maana wanaoadhirika ni watoto, wanawake na wazee na sio Hamas Tena.

2. Israel atangaze kuwepo na Kambi ya jeshi itakayosimamiwa na Umoja wa Mataifa. Kambi hiyo iwe kilometa ishirini kati ya mpaka wa Israel na Gaza.

3. Israel ifanye makubaliano na Hamas ya kuondoka Al Shifa na Hamas wawaachie mateka waliowashika. Na makubaliano haya yasimamiwe na Umoja wa Mataifa.

4. Jukumu la kuisimamia Gaza liwe chini ya Mahmoud Abbas ambaye kisheria ndio Rais wa Palestina, Gaza ikiwemo. Ili kuendeleza makubaliano ya Oslo ya mwaka 1993 ili mchakato wa kuanzisha taifa la Palestine lianze..

4. Nanshauri kuwepo na makubaliano kati ya Palestina kwa niaba ya Hamas na Israel upande mwingine , kwamba hawatovamiana Tena.
Katika vitu 3 ulivyoviona katika vita hii
1. Kulipuliwa kwa hospitali unamsifia Israel na kumpa lawama Hamas

2. Aje kulipua hospitali yenye watoto wachanga, wazee na wagonjwa mahututi uje umsifie Israel na kumpa lawama Hamas

Bado nawaza kwanini utoe mawazo ya jumla na huku ukionyesha ni shabiki wa nani....
 
Elewa kubwa haya mauaji GAZA yanayofanywa JEWS...na kupata support ya US
Yanahuzunisha, yanasonenesha kwa waumini na wengineo.
Naamini tukio hili litazidi kujenga CHUKI kubwa kwa JEWS, kushinda hata enzi za HITLER.

Naamini kwa namna walivyoekelezewa hawa JEWS wana chuki nzito dhidi ya uislamu, hasa kwa namna ambavyo dini yao imekuwa ni minority, wakati mitume wa mwanzo walipitia kwao....

Kinachowauma ni kwa VIP ufalme ulihama kwao .
Kwa kuwa wamejipenyeza US, wanatumia kila sina ya resources.... lakini misingi yao na principles za US na Western ni for artificial, kuna wakati kizazi kitaikataa.
Najaribu kuangalia maandamano ya kuwapinga JEWS huko Western, inatoa picha kamili namna watu wameshaelewa hawa JEWS...

Moja ktk makosa makubwa ambayo NETANYAHU amewahi kuyafanya ni haya mauaji ya GAZA, na ameandika kitabu kibaya cha historia ya JEWS
 
Kama MUNGU mwenyewe aliwaambia wasiache hata kuku wewe una huruma kumshinda MUNGU aliyeumba hao watu?
Weka hisia pembeni ndugu. Ukitangaza uadui jua kuwa na ukoo wako wote umewaingiza bila kujali umri wao.
Hao watoto walikua ndio wanaofanya ushenzi, kumbuka miaka 15 nyuma hao migambo wakatili walikuwa watoto
 
kama matanki ya maji yanawapa adui advantage ya kuendelea kujidai, kwanini usiyapige, wamelipua ili hamas wakose maji.
Ili raia wapate wapi maji ya kuyatumia?...

Ujinga sana kushabikia haya yanayoendelea kwa kila upande
 
raia wameshaambiwa waondoke, na wameenda kusini,na waliobaki wanapelekewa maji kwa matanki ya gari.
 
Ujinga mtupu halafu ndio mnasema Israel ndio yenye TISS nzuri , wazayuni wameonyesha umbumbu ktk suala la Vita ,Jasusi Bora huwezi kupigapiga hovyo vitoto vichanga na wamama.

Ni Bora ya TISS yetu IPO vema ktk kukabiliana na Chadema kuliko hao mbuzi wa kizayuni.
Shida sio kupiga vitoto shida ni Hamas ambae kaweka Kambi yake ndani ya jumba la hospital kuwaweka w
Hao watoto kama ndio guard yake
 
Umetoa hoja nzuri sana.
Napenda vita iishe ila kwanza Hamas ifutwe. Hapo hospitalini al Shifa ndio makao makuu ya Hamas, imagine kundi la kigaidi Lina makao makuu hospitalini underground.

Hamas ipigwe ichakae, Gaza iwe chini ya mamlaka ya Palestina kama ilivyo West Bank ila suala la usalama wa Gaza liwe chini ya Israel.
Ukiongea jambo leta na ushahidi.
 
Back
Top Bottom