Israel Sasa inatosha

Israel Sasa inatosha

kafiri tena kafiri haswaaa kwasababu nilimfir.a baba ako na mamaako wanajua kukitawaza, kukiinua na kukitega walifundishwa vizuri madrasa kukitega. Wewe toa kundu lako chafu kafir sitaki makundu machu
Yesu mwenyewe alitawadha ewe kafiri mwenye rangi ya kunguru
 
History is not going to forget nor forgive Zionist atrocities in Gaza
 
Mimi nasimama na Israel kwenye mapigano haya, ila tu kwa niliyoyaona Jana naweza kushauri kwamba Sasa inatosha. Nadhani kwa Sasa Israel isistishe mapigano na Hamas maana kwa Sasa wanaoumia sio Hamas ni raia wa kawaida wa Gaza. Kama ni kisasi kimeshalipwa. Maana mpaka Sasa wameuawa wapalestina 11,500. Ambao watoto waliokwisha uawa wanakaribia 5,000 hii inaumiza Sana.

IDF kashamsambaratisha Hamas sidhani Kama Kuna haja ya kuendelea na mashambulizi. Kwa Sasa Hamas Hana nguvu na wapalestina wamejifunza kwamba mbeleni wasifanye uchokozi kwa Israel wa aina ile.

Kuna mambo matatu nimeyaona yamenifanya nifikirie hivyo.

1. Kwanza, Jana Israel kashambulia na kuilipua kwa makombora shule ya watoto na kuua watu hamsini ikiwemo watoto wadogo. Shule hiyo inaitwa Al Buraq, na inasemekana mjukuu wa kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh aliuawa kwenye mashambulizi hayo.

Sababu kuu ya IDF kuishambulia shule hiyo ni baada ya kamanda wa Hamas Ahmed Siam aliyekuwa kwenye mapambano na IDF kwenye eneo la Hospitali ya Rantisi Kuzidiwa na kwenda kujificha kwenye shule hiyo. Hivyo Israel ikaona immalize pamoja na watoto waliokuwemo humo. Kwa kweli niliumia kuona watoto wasiokuwa na hatia wakiuawa kwa ujinga wa Hamas. Nikawaza itakuwaje kwa huko mbeleni?.

2. Pili, Kuna Jambo la kusikitisha kwenye Hospitali ya Al Shifa. Ni kwamba IDF imeizunguka hiyo Hospitali na kuanza mashambulizi. Tatizo ni kwamba Kuna vitoto vichanga karibia 39 vimo humo ndani, ndio kwanza vipo kwenye incubator. Sasa ninachoogopa IDF asije akailipua Hospitali nzima na kuua hao watoto.

Nasema hivyo kwa sababu IDF anaweza kuilipua Hospitali nzima ya Al Shifa kwa kuwa kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar kajificha humo pamoja Viongozi wachache waliobakia.

Kingine ni kwamba ndani ya Hospitali hiyo Kuna wagonjwa wengi mahtuti na wazee. Hivyo kuilipua itasababisha mauaji ya halaiki.

3. Tatu, iwapo IDF itailipua Hospitali hiyo Kuna uwezekano wa Mataifa ya kiarabu kulazimishwa kuingilia kati na kuendeleza mgogoro kuwa mkubwa na kupelekwa hata vita vya tatu vya dunia.

Maana Al Shifa imekuwa Kama mtego. Ndio maana Hamas wameruhusu watu wengi wawe pale ili Israel asipate nafasi ya kuishambulia. Maana lile ndio eneo la mwisho kabisa kwa Hamas kujilinda. Hivyo hakuna haja ya kumwaga damu nyingi. Wakubaliane Israel asogee nyuma na Hamas wawaachie mateka basi. Mambo mengine yaendelee.

Hivyo basi, naishauri Israel ifanye yafuatayo.

1. Kutangaza kusitisha haya mapigano, maana wanaoadhirika ni watoto, wanawake na wazee na sio Hamas Tena.

2. Israel atangaze kuwepo na Kambi ya jeshi itakayosimamiwa na Umoja wa Mataifa. Kambi hiyo iwe kilometa ishirini kati ya mpaka wa Israel na Gaza.

3. Israel ifanye makubaliano na Hamas ya kuondoka Al Shifa na Hamas wawaachie mateka waliowashika. Na makubaliano haya yasimamiwe na Umoja wa Mataifa.

4. Jukumu la kuisimamia Gaza liwe chini ya Mahmoud Abbas ambaye kisheria ndio Rais wa Palestina, Gaza ikiwemo. Ili kuendeleza makubaliano ya Oslo ya mwaka 1993 ili mchakato wa kuanzisha taifa la Palestine lianze..

4. Nanshauri kuwepo na makubaliano kati ya Palestina kwa niaba ya Hamas na Israel upande mwingine , kwamba hawatovamiana Tena.
Hayo yote unataka Israel wafanye? Sidhani kama hilo linawezekana ingawa nia ni njema.
 
Sasa hiyo Hamas wataiangamizwaje hali yakuwa walio tumwa kuiangamiza hiyo Hamas wapo wanahangaika na watoto badala ya kupambana na Hamas?
Mkuu, hao watoto,wazee na wamama, HAMAS anawatumia kama ngao ya kujilinda dhidi ya kipigo cha Myahudi. Ni kwamba wanauawa si kanakwamba wao ndo target bali lakini lengo ni HAMAS. Kwa hao wanaokufa bila hatia imekuwa basi tena hakuna jinsi - HAMAS imewatosa.
 
Leta ushahidi wa Hamas kujificha nyuma ya watoto acheni propaganda.
Jeshi linapo anza mauaji ya hovyo dhidi ya raia ni dalili za kushindwa vita.

Alafu Israel sio taifa la kwanza kupambana na hao unao waita magaidi,jeshi la Iraq lilisha pambana na IS na hatukuona likifanya huu uharo unao fanywa na Israel.
Ngoja nikujibu kama muisrael labda utanielewa.
Hamas ni wapelestina kwahiyo wanaishi Gaza. Jambo lolote linalofanywa na Hamas linaungwa mkono na raia yaani wapelestina wote.
October 7, walivamia Israel na kuua raia na wengine kuchukuliwa mateka mpaka sasa tunavyoongea hawajaachiliwa na hatuna uhakika kama wapo hai au wameuliwa.
Kwa uchungu mkubwa tulitangaza vita kwahiyo wapelestina wote wanajua kuwa sasa tunaingia vitani dhidi ya magaidi.
Kwanini nawaita magaidi kwasababu hawakutangaza vita walivamia na kuua kwahiyo hii damu ya raia wasiokuwa na hatia lazima ilipwe ili wajue kuwa hata waliouwawa ni watu pia.
Tuliwaambia raia wote waondoke tushughulike na Hamas pekee, kwakua Hamas ni magaidi wanatumia raia kama ngao ndiyo maana hawajaondoka.
Sisi hatuwezi kupiga raia asiye na kosa ila akiwa kwenye uwanja wa vita ambapo tumewaambia raia waondoke wote nao bado wapo tutawashughulikia kama Hamas.
Hamas wanatumia misikiti, shule na hospital na wamechimba mahandaki humo. Kibaya zaidi wanatumia hadi Ambulance kwahiyo kwakua hatutaki kuwapoteza wanajeshi wetu kwa raia ambao wanawalinda Hamas basi sisi tunawachukulia kama moja wa Hamas.
* Njia ya kushughulika na magaidi ni kutumia njia aliyotumia magaidi*
 
Unaweza eleza kwanini wapalestina hua wanawaunga mkono hamas?

Sababu ni zipi
 
Mkuu, hao watoto,wazee na wamama, HAMAS anawatumia kama ngao ya kujilinda dhidi ya kipigo cha Myahudi. Ni kwamba wanauawa si kanakwamba wao ndo target bali lakini lengo ni HAMAS. Kwa hao wanaokufa bila hatia imekuwa basi tena hakuna jinsi - HAMAS imewatosa.
Wamewaambia raia wote watoke uwanja wa vita ila wao bado uwanja wa vita kuwalinda Hamas.
Hamas wamejificha hospitalini na kwenye shule ambapo anajua kuna raia. Yeye ashambulie aue waisrael ila yeye muisrael asishambulie kwasababu kuna watu
Hajui vita ni nini.
Njia anayotumia Israel ndiyo aliyoitumia Hamas. Kama Hamas angeshambulia wanajeshi vita ingekuwa kwa jeshi kwa jeshi
 
Mkuu, hao watoto,wazee na wamama, HAMAS anawatumia kama ngao ya kujilinda dhidi ya kipigo cha Myahudi. Ni kwamba wanauawa si kanakwamba wao ndo target bali lakini lengo ni HAMAS. Kwa hao wanaokufa bila hatia imekuwa basi tena hakuna jinsi - HAMAS imewatosa.
Leta ushahidi wa Hamas kutumia raia kama ngao.
 
Wewe mwenyewe unakili magaidi yamewakusanya eneo lahospitali watu kuwa ngao Yao

IDF ,ipige hapohapo
 
Israel tembeza moto
tembeza motooooo
mpaka magaidi yote yafutike kwenye uso wa dunia
 
Leta ushahidi wa Hamas kutumia raia kama ngao.
Hilo limetajwa mno na Mataifa mengi. Hata Israel aliwahi kutamka na kuonesha vid clip ya mlango wa handaki lililopo ndani ya Hospitali.
BTW, sisi tuendelee kubishana tu kwa ustaarabu lakini Ukweli utabaki palepale na Israel ataendelea kutoa kichapo kitakatifu mpaka kieleweke.
 
Wewe mwenyewe unakili magaidi yamewakusanya eneo lahospitali watu kuwa ngao Yao

IDF ,ipige hapohapo
Yap! Ukitaka kumwuua nyani usimwangalie usoni.Atafanana na mjomba nawe utamhurumia. No!. IDF pls, shikilia hapo hapo na Twanga hadi watwangike. NO MERCY.
 
Soma tena uharo mwingine.
Njia aliyotumia october 7 ndiyo njia sahihi ya kuitumia kukabiliana na Hamas.
Ukija nyumbani kwangu na kuua ndiyo nitakayotumia mimi kukabiliana na wewe
Njia ya kushughulika na gaidi au magaidi ni kutumia njia waliyotumia wao
Ni sahihi kabisa."Njia ya kushughulika na gaidi au magaidi ni kutumia njia waliyotumia wao"
Ila unaiboresha ili iwe ni ya ukali zaidi na tena unaitumia kwa hasira zote na kuhakikisha umewatokomeza jumla. 😳 🔨
 
imagine kundi la kigaidi Lina makao makuu hospitalini underground.
Wapi huko? Mbona unaongea uongo!! Israel wenyewe wamekanusha.
Hamas ipigwe ichakae
Wanachopigania sio uwepo wa Hamas ila uhuru wa palestine so turarajie Hamas ikue mara 10 zaidi maana hao waliokufa wakati huu lazima watakuja kulipiwa kisasi miaka 5 baadae. Violence can never finish violence.
Gaza iwe chini ya mamlaka ya Palestina kama ilivyo West Bank ila suala la usalama wa Gaza liwe chini ya Israel.
West Bank hakuna Hamas ila mpaka sasa wapalestina sio chini ya 200 wameuawa na majeshi ya israel. So ni mjinga tu anayedhani uonevu wa wapalestina ni sababu ya Hamas au ugaidi!!

West Bank its worse
 
(Kutangaza kusitisha haya mapigano, maana wanaoadhirika ni watoto, wanawake na wazee na sio Hamas Tena.

2. Israel atangaze kuwepo na Kambi ya jeshi itakayosimamiwa na Umoja wa Mataifa. Kambi hiyo iwe kilometa ishirini kati ya mpaka wa Israel na Gaza.

3. Israel ifanye makubaliano na Hamas ya kuondoka Al Shifa na Hamas wawaachie mateka waliowashika. Na makubaliano haya yasimamiwe na Umoja wa Mataifa.

4. Jukumu la kuisimamia Gaza liwe chini ya Mahmoud Abbas ambaye kisheria ndio Rais wa Palestina, Gaza ikiwemo. Ili kuendeleza makubaliano ya Oslo ya mwaka 1993 ili mchakato wa kuanzisha taifa la Palestine lianze..

4. Nanshauri kuwepo na makubaliano kati ya Palestina kwa niaba ya Hamas na Israel upande mwingine , kwamba hawatovamiana Tena)
unampangia tena cha kufanya,
Hayo masharti ongea na wanao hapo Ndani,watu wako vitani we unashiba maharage huko unakuja kutoa ushuzi hapa.
Nyau kasema hilo eneo amasafisha liwe jangwa.
We umevimbiwa urojo unakuja kumwaga upupu hapa.
Relax
Kipigo kinaendelea
 
Back
Top Bottom