inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,740
- 22,490
Mkuu si ndiyo deiwaka yako,inakufanya ukwepe mbu huku bongo....Kama Kuna nafasi nipigie pande nije tuchambishe wote vizee vya kizunguNyie Kobaaz bana acheni vituko jamvin
Mkuu si ndiyo deiwaka yako,inakufanya ukwepe mbu huku bongo....Kama Kuna nafasi nipigie pande nije tuchambishe wote vizee vya kizunguNyie Kobaaz bana acheni vituko jamvin
Okay ukisema hamas wanajificha kwenye hospitali shule na sehemu zingine za huduma za kijamii, je idf anaposhambulia maeneo hayo anashambulia hams? Au hamas +wapalestina? Au Hamas +mateka? Au Hamas +wapalestina + Mateka?Kama Hamas walikuwa vidume si wangetangaza vita october 7?
Hamas wanaenda kujificha mahospital, shuleni na majengo ambayo yanatoa huduma za kijamii.
Kwanini wasitoke nje wapambane ana kwa ana?
Kibaya bado washikilia mateka mpk sasa.
Israel imechafukwa km Hamas walivyochafukwa siku ya october 7.
Nahisi kuisha kwa hii vita itakachofuatia ni amani na kuheshimiana pande mbili maana anajua nikianzisha nimekwisha
Poleni sana wapelestina wa bongo
Huyo ni terror bred future terrorist.
Mengi au tuseme yote uliyoshauri hapo juu 👆 # 1-4 haikubaliki kwa Israel. Yaani Israel isitishe mapigano wakati HAMAS hajafutika kwenye uso wa dunia?? Kumbuka kiapo cha Israel ni kulifuta kabisa kundi la kigaidi la HAMAS. Kazi hiyo haijakamilika.Mimi nasimama na Israel kwenye mapigano haya, ila tu kwa niliyoyaona Jana naweza kushauri kwamba Sasa inatosha. Nadhani kwa Sasa Israel isistishe mapigano na Hamas maana kwa Sasa wanaoumia sio Hamas ni raia wa kawaida wa Gaza. Kama ni kisasi kimeshalipwa. Maana mpaka Sasa wameuawa wapalestina 11,500. Ambao watoto waliokwisha uawa wanakaribia 5,000 hii inaumiza Sana.
IDF kashamsambaratisha Hamas sidhani Kama Kuna haja ya kuendelea na mashambulizi. Kwa Sasa Hamas Hana nguvu na wapalestina wamejifunza kwamba mbeleni wasifanye uchokozi kwa Israel wa aina ile.
Kuna mambo matatu nimeyaona yamenifanya nifikirie hivyo.
1. Kwanza, Jana Israel kashambulia na kuilipua kwa makombora shule ya watoto na kuua watu hamsini ikiwemo watoto wadogo. Shule hiyo inaitwa Al Buraq, na inasemekana mjukuu wa kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh aliuawa kwenye mashambulizi hayo.
Sababu kuu ya IDF kuishambulia shule hiyo ni baada ya kamanda wa Hamas Ahmed Siam aliyekuwa kwenye mapambano na IDF kwenye eneo la Hospitali ya Rantisi Kuzidiwa na kwenda kujificha kwenye shule hiyo. Hivyo Israel ikaona immalize pamoja na watoto waliokuwemo humo. Kwa kweli niliumia kuona watoto wasiokuwa na hatia wakiuawa kwa ujinga wa Hamas. Nikawaza itakuwaje kwa huko mbeleni?.
2. Pili, Kuna Jambo la kusikitisha kwenye Hospitali ya Al Shifa. Ni kwamba IDF imeizunguka hiyo Hospitali na kuanza mashambulizi. Tatizo ni kwamba Kuna vitoto vichanga karibia 39 vimo humo ndani, ndio kwanza vipo kwenye incubator. Sasa ninachoogopa IDF asije akailipua Hospitali nzima na kuua hao watoto.
Nasema hivyo kwa sababu IDF anaweza kuilipua Hospitali nzima ya Al Shifa kwa kuwa kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar kajificha humo pamoja Viongozi wachache waliobakia.
Kingine ni kwamba ndani ya Hospitali hiyo Kuna wagonjwa wengi mahtuti na wazee. Hivyo kuilipua itasababisha mauaji ya halaiki.
3. Tatu, iwapo IDF itailipua Hospitali hiyo Kuna uwezekano wa Mataifa ya kiarabu kulazimishwa kuingilia kati na kuendeleza mgogoro kuwa mkubwa na kupelekwa hata vita vya tatu vya dunia.
Maana Al Shifa imekuwa Kama mtego. Ndio maana Hamas wameruhusu watu wengi wawe pale ili Israel asipate nafasi ya kuishambulia. Maana lile ndio eneo la mwisho kabisa kwa Hamas kujilinda. Hivyo hakuna haja ya kumwaga damu nyingi. Wakubaliane Israel asogee nyuma na Hamas wawaachie mateka basi. Mambo mengine yaendelee.
Hivyo basi, naishauri Israel ifanye yafuatayo.
1. Kutangaza kusitisha haya mapigano, maana wanaoadhirika ni watoto, wanawake na wazee na sio Hamas Tena.
2. Israel atangaze kuwepo na Kambi ya jeshi itakayosimamiwa na Umoja wa Mataifa. Kambi hiyo iwe kilometa ishirini kati ya mpaka wa Israel na Gaza.
3. Israel ifanye makubaliano na Hamas ya kuondoka Al Shifa na Hamas wawaachie mateka waliowashika. Na makubaliano haya yasimamiwe na Umoja wa Mataifa.
4. Jukumu la kuisimamia Gaza liwe chini ya Mahmoud Abbas ambaye kisheria ndio Rais wa Palestina, Gaza ikiwemo. Ili kuendeleza makubaliano ya Oslo ya mwaka 1993 ili mchakato wa kuanzisha taifa la Palestine lianze..
4. Nanshauri kuwepo na makubaliano kati ya Palestina kwa niaba ya Hamas na Israel upande mwingine , kwamba hawatovamiana Tena.
Kwa nini raia wanatangaziwa kuondoka maeneo hayo hawataki?Raia waondoke waache vidume hamas wachezee kichap😵na.sasa saa hizi wanaishi kwenye mashimo yenye giza kama panya buku.Si wajitokeze tuu wakayawahi matukunyema 72 huko Jannah!Okay ukisema hamas wanajificha kwenye hospitali shule na sehemu zingine za huduma za kijamii, je idf anaposhambulia maeneo hayo anashambulia hams? Au hamas +wapalestina? Au Hamas +mateka? Au Hamas +wapalestina + Mateka?
Jibu ni lipi?
Hujasikia Hamas wanatumia human shield?2. Pili, Kuna Jambo la kusikitisha kwenye Hospitali ya Al Shifa. Ni kwamba IDF imeizunguka hiyo Hospitali na kuanza mashambulizi. Tatizo ni kwamba Kuna vitoto vichanga karibia 39 vimo humo ndani, ndio kwanza vipo kwenye incubator. Sasa ninachoogopa IDF asije akailipua Hospitali nzima na kuua hao watoto.
Nasema hivyo kwa sababu IDF anaweza kuilipua Hospitali nzima ya Al Shifa kwa kuwa kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar kajificha humo pamoja Viongozi wachache waliobakia.
Kingine ni kwamba ndani ya Hospitali hiyo Kuna wagonjwa wengi mahtuti na wazee. Hivyo kuilipua itasababisha mauaji ya halaiki.
Una upeo mdogoKwa nini raia wanatangaziwa kuondoka maeneo hayo hawataki?Raia waondoke waache vidume hamas wachezee kichap😵na.sasa saa hizi wanaishi kwenye mashimo yenye giza kama panya buku.Si wajitokeze tuu wakayawahi matukunyema 72 huko Jannah!
Alafu punguza mihemko mm na ww hakuna muisrael wala mpalestina hapa sasa unapo sema tuliteka sijui tulijificha unakuwa unamaanisha nn,zaidi ya ufala?Mara hii tena mnalialia mnadai Israel ina Marekani. Kwa akili zenu mlidhani kuteka watu na kujificha hospitalini mtaachwa?
Hamas mashujaa watoke mafichoni, wamekuwa panyabuku
Sasa hiyo Hamas wataiangamizwaje hali yakuwa walio tumwa kuiangamiza hiyo Hamas wapo wanahangaika na watoto badala ya kupambana na Hamas?Mengi au tuseme yote uliyoshauri hapo juu# 1-4 haikubaliki kwa Israel. Yaani Israel isitishe mapigano wakati HAMAS hajafutika kwenye uso wa dunia?? Kumbuka kiapo cha Israel ni kulifuta kabisa kundi la kigaidi la HAMAS. Kazi hiyo haijakamilika.
Unasema Israeli itangaze kuwepo kwa kambi ya jeshi......? Kazi au jukumu la kijeshi ni la Israel na Israel analimudu na analitekeleza jukumu hilo ipasavyo. Ww subiri utaona.
Halafu unasema Israel ifanye makubaliano na HAMAS??? Waapi! Hakuna kitu kama hicho - Sahau. Israel ilisema wazi katika kiapo chake ni kuwamaliza na kuliteketeza kabisa kundi la HAMAS. Israel hawezi kuongea na ADUI yake. Anacholenga na atatimiza 100% ni kulitokomeza kundi la HAMAS lisiwepo tena hapa duniani.Vita hii ndo mapigano ya mwisho kwa HAMAS IE. Hawata kuwepo tena hapa duniani kuweza kupigana vita nyingine.
Mahmoud Abbas kazi ilishamshinda. Hawezi kuisimamia Gaza. Ni hopeless guy ndo mana HAMAS wakampokonya Utawala kiulaini na yy akakaa kimya kama boya fulani hv.
Makubaliano gani kati ya Palestina kwa niaba ya HAMAS? Umeshaambiwa HAMAS itateketezwa na haitakuwepo tena duniani hapa. Halafu Israel haiwezi kufanya kitendo kitakachoashiria kwamba Israel inalitambua kundi la HAMAS.Never.
Mfano.Okay ukisema hamas wanajificha kwenye hospitali shule na sehemu zingine za huduma za kijamii, je idf anaposhambulia maeneo hayo anashambulia hams? Au hamas +wapalestina? Au Hamas +mateka? Au Hamas +wapalestina + Mateka?
Jibu ni lipi?
Hao watoto ni Hamas pia kama walivyo baba zao nao walikuwa watoto.Sasa hiyo Hamas wataiangamizwaje hali yakuwa walio tumwa kuiangamiza hiyo Hamas wapo wanahangaika na watoto badala ya kupambana na Hamas?
kafiri tena kafiri haswaaa kwasababu nilimfir.a baba ako na mamaako wanajua kukitawaza, kukiinua na kukitega walifundishwa vizuri madrasa kukitega. Wewe toa kundu lako chafu kafir sitaki makundu machuKafiri mweusi una tabu!
Raia wema wote walitii maagizo ya kuhama Gaza kutoka Kwa Israel. Waliobaki wote ni magaidi .🤣🤣🤣Okay ukisema hamas wanajificha kwenye hospitali shule na sehemu zingine za huduma za kijamii, je idf anaposhambulia maeneo hayo anashambulia hams? Au hamas +wapalestina? Au Hamas +mateka? Au Hamas +wapalestina + Mateka?
Jibu ni lipi?
Msitulazimishe tutetee magaidiNi jambo linalo huzunisha sana mtu mweusi kuunga mkono ukoloni hasa yale tuliyo pitia katika ukoloni ni jambo linalo huzunisha sana tena sana kutetea ukoloni na kuona ni jambo la maana sana.
Acha matusiHaaa sasa hivi naona Zere mme mkimbia mmeenda kwa mme wenu mpya Netanyau.
Leta ushahidi wa Hamas kujificha nyuma ya watoto acheni propaganda.Hao watoto ni Hamas pia kama walivyo baba zao nao walikuwa watoto.
Unaenda kujificha kwa watoto, unarusha risasi upo kwa watoto.
Hakika hao Hamas hata km vita ikiisha hawaturudia tena kuichokoza Israel.
Hata hao raia wapelestina watajitenga na Hamas. Wakitaka kufanya chochoko kwa waisrael wao kwa wao wataanza kupingana.
Kwanini Hamas km ni vidume wasingetangaza vita october 7? Israel alitangaza, dunia nzima imejua hadi wapelestina wamejua kuwa nchi inaingia kwenye vita kwahiyo km una silaha ni muda wa kuitumia
Alafu punguza mihemko mm na ww hakuna muisrael wala mpalestina hapa sasa unapo sema tuliteka sijui tulijificha unakuwa unamaanisha nn,zaidi ya ufala?
Alafu mbona nimekuomba ushahidi wa hamas kujificha hospitalini mpaka sasa hujanipa, hata Israel yenyewe mpaka sasa imesha ambiwa na umoja wa mataifa kuwa ilete ushahidi wa madai yake lakini mpaka sasa haijatoa ushahidi wowote.
Hiyo Interegensia ya Israel inayo waona Hamas kwenye mahispital na mashule mbona imeshindwa kujua mateka walipo?
West bank hakuna hamas lakini tangu kuanza kwa mwaka 2023 zaidi ya Wapalestina 500 wakiwemo watoto zaidi ya 100wamesha uawa na wanajeshi wa Israel, kwa hiyo hayo yanayo fanywa na Israel gaza sio maajabu bali ndii kawaida yao.
Kuhusu Israel kusaidiwa ww mnazi uchwara wa Israel ndo unaye kataa kuwa bila Marekani ni mbwa koko, lakini huu ukweli anaujua mpaka Netanyau mwenyewe ya kuwa nchi yake Marekani ni bure na ndio maana baada ya vita kuanza alimpigia simu Baiden kumuomba silaha.
Ukweli huu pia Baiden anaujua na ndio maana baada ya vita kuanza ali tuma mameli ya kivita ili kuzuia Hizbulah kuingilia vita kwa sababu anajua Hizbulah wakianzisha vita kamili swahiba wake maji atayanywa.
Na pia ndio maana viongozi wa Marekani hawakauki Israel tangu vita ianze.
Hiyo hamas hawata weza kuishinda iwapo hawataacha kuangaika na watoto na wanawake badala ya kupambana na Hamas.
Kwanza tujiulize ninan ameamzisha vita. Je ameshatangaza kusitisha vita huyo muanzilishi? Mbona unataka Israel asitishe kitu ambacho hakukianzisha. Israel anasema umeomba vita anakupa vita. Hao waanzilishi ndio wanajua namna ya kuimaliza vita. Waachilie mateka watangaze kuisha kwa vita na kusarender. Basi. Ni kama hiyo vita pale Ukraine. Kabla urusi walitaka kupewa uhakikisho na NATO kuwa Ukraine hawatajiunga nao. Wakakataliwa matokeo yake vita vimetokea.Mimi nasimama na Israel kwenye mapigano haya, ila tu kwa niliyoyaona Jana naweza kushauri kwamba Sasa inatosha. Nadhani kwa Sasa Israel isistishe mapigano na Hamas maana kwa Sasa wanaoumia sio Hamas ni raia wa kawaida wa Gaza. Kama ni kisasi kimeshalipwa. Maana mpaka Sasa wameuawa wapalestina 11,500. Ambao watoto waliokwisha uawa wanakaribia 5,000 hii inaumiza Sana.