Acha kupotosha. unaingiza maneno unayoyataka wewe.
Huoni aibu kufoji Quran kwa ajili ya kutetea dini yako? kweli umefilisika.
Quran, Surat An Nisaa aya ya 171 inasema hivi,
Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu, wala msimseme Mwenyezi Mungu ila kwa lilio kweli. Hakika Masihi Isa mwana wa Maryamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na neno lake tu alilo mpelekea Maryamu, na ni roho iliyo toka kwake. Basi Muaminini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Wala msiseme: Utatu. Komeni! Itakuwa kheri kwenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mungu mmoja tu. Ametukuka Yeye na kuwa na mwana. Ni vyake Yeye vyote viliomo katika mbingu na katika ardhi. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha
Tafsiri Kwa kiingereza ipo hivi;
O People of the Scripture, do not commit excess in your religion or say about Allah except the truth. The Messiah, Jesus, the son of Mary, was but a messenger of Allah and His word which He directed to Mary and a soul [created at a command] from Him. So believe in Allah and His messengers. And do not say, "Three"; desist - it is better for you. Indeed, Allah is but one God. Exalted is He above having a son. To Him belongs whatever is in the heavens and whatever is on the earth. And sufficient is Allah as Disposer of affairs.
So acha kuizalilisha dini yako ya kikristo kwa kufoji tafsiri ya Quran.
Mkristo wa kweli hutetea dini yake kwa maandiko yaliyopo na sio kufoji.
Anyway, wadau tuendelee na mada.
hii kitu wametohoa kwenye Ufunuo wa Yohana, Yohana hakuongelea Waislamu hata kidogo.
Mkuu kwa sasa uislamu bado haujaanza kupigwa,,vita iliyopo sasa hivi middle east ni ya Israel kujiimarisha,huku Freemasons wakichochea na kufitinisha waislamu na wakiristo,,Vita ya tatu ya dunia ndo zitapigwa kati ya waislamu, wakiristo na wayahudi, na wayahudi kwa sababu ni masons watashinda,,na hapo ndipo Lucifer atakapotawala dunia kutoka Jereslamu.
kama unatafuta makosa utayaona mengi ndani ya Biblia, lakini ni kwakutokuelewa kwako/kwenu. Kutafuta maana ni kitu kizuri, nakuunga mkono, lakini kwa suala la Yesu na wayahudi, Yesu hakupakwa mafuta ndo maana hawamtambui kama masihi, hilo linafanya waweke pembeni nadharia ya ukristo.
nabii gani alitabiri na Yesu alitimiza vipi?
Alafu pia umesema kua huo ni Unabii, unaweza ukanipatia japo mafungu mawili ndani ya maandiko juu ya huo unabii?
I wish inspector lady ungenielewa,Imani yangu mimi ni mkristo na haiteteleki,,lkn kuna wakiristo wanafikiri kuwa Israel ni taifa la kikiristo, na ndo msingi wa mada yangu.
Mleta uzi umenikumbusha kitu kimoja labda niwape.mimi binafsi nimebahatika kufanya kazi na hawa waisrael ambapo mwanzo nami nilikuwa nikifikiri kama wakristo wengine wanavyodhani kuwa ni wakristo wenzao mwenzetu mmoja mbongo si akampa zawadi ya rozali dada wa kiyahud kwanini asiikatae ndipo nikaanza kufatilia kumbe utaifa wao na dini yao ni jews na kuna wakristo na waislam pia kitu ambacho sikuamini ni kuwa kutakuwa na waislam ndani ya israel.
HAJUI ATAFANYWA NINI MNAMFUATA WA NINI?Hapa sijaelewa, ina maana Mungu tunayemsoma kwa Bible Ndio Lucifer? Au hapo in between walibadili wakaanza kumuabudu Lucifer? That being the case wayahudi wanamsubiri Messiah yupi? Wameahidiwa Na Lucifer?
yataka utuwekee ushahidi bibie,tena ulokwenda shule..kumbuka kuna watu wanaabudu ng'ombe na wanajiona wako right.Kwani ww kinachokufanya uone israel sio taifa la kikristo km ulivyosema hapo juu ni kitu gani hasa?
Mind u, huo ipinzami ulioko hauondoi ukweli kuwa Israel ni taifa teule
Naomba evidence ya condition ya kuwa masihi inabidi awe mpakwa mafuta
Kamsome isaya mkuu
Na yohana pia
Nakuunga mkono mkuu, Manake kuna hata watu wametoa unabii zaidi Ya Mara 3 kuhusu mwisho wa dunia
Ntuzu hata pia wanaochoma makanisa yetu ni wapinga kristo.
Unajua mleta mada na baadhi ya wachangiaji wengine wamechangia kupitia vyanzo vya Habari mbalimbali Zaidi naweza sema kisiasa lkn hawajaonesha ushahidi kutoka kwenye maandiko! Ingawa hoja zao zina ukweli lkn wameshindwa kukamilisha ujumbe Wa muhusika kabisa! Na ndio maana baadhi ya Maswali Yangu yamekosa majibu! Likiwemo Hilo la unabii!
Niseme tu kua wapinga Kristo walikuwepo na wapo na watakuwepo mpaka atakapokuja Yesu!
Ila kitu kitakachokuja kutokea hapo baadae ni Uasi au Mnyama pamoja na USA na washirika wake kufanya vita dhidi ya ibada ya kweli! Na Hii watafanya baada ya kuitawala Dunia!
masihi/kristo ni neno moja kwa lugha mbili tofauti zikimaanisha kwa ukaribu wa mpakwa mafuta wa BWANA kwa kiswahili.
Neno lenyewe ni kithibiti tosha.
Nani walistahili kupakwa mafuta?
- kuhani
- nabii
- mfalme
-
nakubaliana Yesu ni kuhani mkuu mfano wa Me.., nabii, mfalme . Swali linarudi, kwa nini hakupakwa mafuta, kwani hiko ni kimoja kinachopunguza wafuasi wake baina ya jamii ya wayahudi.