Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,849
- 37,555
masihi/kristo ni neno moja kwa lugha mbili tofauti zikimaanisha kwa ukaribu wa mpakwa mafuta wa BWANA kwa kiswahili.
Neno lenyewe ni kithibiti tosha.
Nani walistahili kupakwa mafuta?
- kuhani
- nabii
- mfalme
-
nakubaliana Yesu ni kuhani mkuu mfano wa Me.., nabii, mfalme . Swali linarudi, kwa nini hakupakwa mafuta, kwani hiko ni kimoja kinachopunguza wafuasi wake baina ya jamii ya wayahudi.
Huyo aliyosema Yesu hakupakwa mafuta amekosea au labda huelewi maana ya masihi.
Masihi maana yake mpakwa mafuta.