Israel na ukiristo

Israel na ukiristo

Status
Not open for further replies.
Wakiristo wengi hawajui mahusiano ya Taifa la Israel na Ukiristo, zaidi ya kuwa ni Taifa teule la Mungu ambalo Mungu alilipigania kutoka kwa maadaui zake, kuliinua na kulipa ushindi hakuna ubishi katika hili lakini kuna zaidi ya hilo. Wakiristo wengi hawajui kuwa Israel pamoja na kuwa ndo nchi ya kwanza kuwa na wakiristo na Mitume kama akina Petro, Paul n.k. Ukiristo unaitwa Kansa ya Taifa la Israel na baadhi ya wayahudi wanaotaka Jewish State.Na kwa sababu hiyo ukiristo na dini zingine kama uislamu zimetungiwa sheria kukataza kumhubiria myahudi dini nyingine zaidi ya kiyahudi na ni kosa kisheria kumpa myahudi zawadi ya biblia au Quran (Christians Discriminated Against by Israel.).Wayahudi wenye msimamo mkali wamekuwa wakichoma moto vitabu vitakatifu vya agano jipya na kuchoma makanisa. Askari wa Isarel mara nyingi wamekuwa wakiingia madhabahuni na mbwa, na katika namna ya dharau,huku wakivuta sigara, na kuvunja madhabahu na kutupa sanamu za bikira maria nje barabarani huku wakimwita Bikira Maria kahaba kwa kisingizo cha kutafuta magaidi.Hii imepelekea hata mji aliozaliwa na kukulia Yesu kuwa na idadi kubwa ya waislamu 70% kuliko wakiristo (Nazareth - Wikipedia, the free encyclopedia), kwani mpango wao wa kuuacha uislamu ni ili siku moja wapige mabomu makanisa yote yaliyopo Nazareth na kuwasingizia waislamu (kumbuka Freemasons wanapanga Vita ya tatu ya dunia ipiganwe Middle East ikihusisha dini tatu yaani Ukiristo, Uislamu na dini ya kiyahudi (Masonic Lodge Over Jerusalem) na baadae wayahudi kuja kuvunja misikiti yote na kujenga temple moja Jerusalem (Temple of all Religions) ambapo ili kujenga umoja kwa Waisrael ndo litakuwa kanisa la watu wote kusali baada ya kuwa dini zote hizi zimepigana vita na dini ya Kiyahudi imeshinda (New World Order) kama wanataka kusali (Masonic Jews Plot to Control World—Zionist Secret Society Conducts Luciferian Rituals Deep in Cave Under City of Jerusalem)


Temple hili kwa sasa ni lipo Jerusalem underground na linatumika kusali na Jerusalem ndo itakuwa makao makuu ya New world Order. Israel huwezi kuwa waziri mkuu au Rais kama ni mkristo au Muislamu na ni lazima uwe Masonic Myahudi. Kumbuka pia kuwa White house na European Union tayari ni Masonic Authorities hivyo Waislamu na Wakiristo watashindwa hii vita kiurahisi sana.Kuna baadhi ya wakirsto pia wamekuwa wakipinga hii nyota ya kwenye bendera ya Israel (Star of David) kuwa ni alama ya shetani (Satanic Hexagram) na chanzo cha kuwekwa kwenye bendera ni familia ya Freemason ya Rothschild ambao walitoa ufadhili kwa ajili ya kuundwa kwa Taifa la Israel.Alama ya Nyota inadaiwa chanzo chake ni mfalme Solomon (Seal of Solomon) aliyeitumia wakati anajenga jumba la kipagani alikokuwa analitumia kustarehea na wake zake na kufanya matambiko (occult).Wakiristo badala yake wanataka alama ya menorah ambayo ni alama ambayo Mungu aliwapa ikiwakilisha mti uliokuwa ukiungua wakati Musa ameitwa na Mungu pale mlima Sinai.Leo hii ukitaka Myahudi akuchukie na awe adui yako mfanyie yafuatayo:

  • · Mhubirie injili kwa ajili ya kumbadili dini ya uyahudi
  • · Muda wote wa mazunguzo yako umsifie Yesu
  • · Sema kuwa wayahudi hawakuuwa na Hitiler na kisa chote ni cha kutunga
  • · Mwambie kuwa Wayahudi walimuua Kristo(wanataka useme kuwa warumi ndio waliomuua Yesu)
  • · Mwambie kuwa ataenda Jehanamu kwa sababu sio Mkiristo
Kwa hiyo ndugu zangu watanzania wakiristo wenzagu Wakiristo taifa la Israel sio Taifa linalomtukuza huyu Yesu tunayemuabudu kama ambacho tumefundishwa toka utotoni Sunday school, na vita yao mashariki ya kati sio vita dhidi ya uislamu bali ni vita ya ardhi na kuimarisha utambulisho wa Kiyahudi.Lengo lao la kudumisha mila za Kiyahudi na kuwa na taifa la kiyahudi limekuwa na madhara makubwa sana kwa ukiristo na wakiristo ambao wanafundishwa kuishi kwa upendo na amani.Lakini yote kwa Yote ndio Taifa pekee teule la Mungu.Mungu bila shaka ana makusudi yako, tafadhali soma na tafakari Ezekiel 37:8 na Yohana 15:26. Jumapili Njema,,Tubadilishane Mawazo.

View attachment 131817View attachment 131818
Bendera ya Taifa la Israel (Solomon Seal) na Alama ya kichaka kinachowaka moto(Mbele ya Musa mlima Sinai)

Hivi kuwa karibu na mungu ni lazima uwe Mkristo au Muislamu tu? I hate these two groups!
 
Hivi kuwa karibu na mungu ni lazima uwe Mkristo au Muislamu tu? I hate these two groups!

You don't need to hate those two groups. Hate your knowledge which failed to comprehend the truth. In order to be close to "Ilaha", you need to be with Jesus. There is no other way. All truths are easy to understand once they are discovered.
 
Kwani ww kinachokufanya uone israel sio taifa la kikristo km ulivyosema hapo juu ni kitu gani hasa?

Mind u, huo ipinzami ulioko hauondoi ukweli kuwa Israel ni taifa teule

hujielewi we ebu soma na kurejea kusoma, eti israeli ni taifa la kikristo.

mfano anglia hii video

 
Last edited by a moderator:
sema mtoa mada alikua na lengo la kueleza tu kuwa israel sio taifa la kikristo kama wengi wanavyoamini na akaweka links kama source.

Ila mjadala umedegenerate.sasa sijui unamjudge kwa lipi hapa?

nimesoma mistari mitatu lkn nmegundua mtoa mada haupo sawa akili yako

 
Last edited by a moderator:
QUOTE=stineriga;8375881][/QUOTE]
fikuria wewe ni mkristo unaenda kwenye msikiti wa mwembechai unaanza kuwaeleza habari za ki-kristo moja kwa moja utarajie ya kwenye video hii lakini haimanishi kuwa waisramu wote wako hivyo vivyo hivyo na waislamu waende kwenye maeneo ya wakristo na kuanza kuelezea uislamu wao najua matokeo yatakuwa kinyume na mategemeo yao.
 
Last edited by a moderator:
Shukran kwa wachangiaji wote tafadhali msimsakame mtoa mada pia tayari amewaomba kama kapitwa mahala au kwa kutoelewa basi mmuelekeze kwa ustaarabu, upole, nadhani hana nia mbaya na ukristu wacha tumuamini na kumsahihisha na sisi wengine tunapata kuelewa zaidi
 
Christine this information seems too much for you,,tulia usome uelewe,,ni kweli Isa=rael ni taifa la Mungu, na uwepo wake pale Israel ni kwa mpango wa Mungu,,lakini Serikali yake sio mpango wa Mungu,,ndo maana Mungu mara nyingi amewaadhibu waisrael kwa kutomkutii, serikali yake ni ya kiyahudi.kifupi Taifa ni la Mungu, watu wake au serikali yake wanamchukiza Mungu.
Kwani ww kinachokufanya uone israel sio taifa la kikristo km ulivyosema hapo juu ni kitu gani hasa?

Mind u, huo ipinzami ulioko hauondoi ukweli kuwa Israel ni taifa teule
 
Mkuu mimi wala siogopi kusakamwa coz wanaonisakama ni wale wanaoamini israel ni taifa la kikiristo,,watz wengi wanaamini hivyo kitu ambacho sio kweli, akina lusekelo wanapeperusha bendera ya israel bila kujua siri ya ile nyota ya israel, kwa hiyo nipo hapa kuwaeleimisha kuwa israel ni taifa teule la Mungu ndio lakini serikali yake inaongoza kampeni ya kumpinga kiristo,,na ushahidi ndo huo nilioweka.
Shukran kwa wachangiaji wote tafadhali msimsakame mtoa mada pia tayari amewaomba kama kapitwa mahala au kwa kutoelewa basi mmuelekeze kwa ustaarabu, upole, nadhani hana nia mbaya na ukristu wacha tumuamini na kumsahihisha na sisi wengine tunapata kuelewa zaidi
 
Mkuu vp kuhusu wayahudi kutamka bungeni kuwa ukiristo ni kansa ya taifa la israel,vp kuhusu kutunga sheria na kukataza kuhubiri injili na kugawa bibiblia kwa wayahudi?Hili taifa utaliita la kikiristo kama watz wanavyodhani?
QUOTE=stineriga;8375881]

fikuria wewe ni mkristo unaenda kwenye msikiti wa mwembechai unaanza kuwaeleza habari za ki-kristo moja kwa moja utarajie ya kwenye video hii lakini haimanishi kuwa waisramu wote wako hivyo vivyo hivyo na waislamu waende kwenye maeneo ya wakristo na kuanza kuelezea uislamu wao najua matokeo yatakuwa kinyume na mategemeo yao.[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
Hivi kuwa karibu na mungu ni lazima uwe Mkristo au Muislamu tu? I hate these two groups!

Mkuu upo right kabisa. Naomba pasco ajakufafanua hili jambo. Mungu Yu ndani yako.
 
Jadili hoja! usimjadili mtoa hoja, alichokisema ndio ukweli wenyewe, wayahudi hawatambui Uungu wa yesu,wakimaliza kuwatwanga waislam watawageukia wakristo,

ukisoma vizuri kitabu cha ufunuo utaelewa vizuri kwa nini wanamkataa Yesu
 
Mkuu Isotope,,naweza nikawa nimesoma vibaya between the lines,,tuendelee na mada kuhusu taifa hili teule na ukiristo.

Na bendera ya Israel haijulikani kama "Solomon seal" ila "Star of David"!
 
Mkuu mimi wala siogopi kusakamwa coz wanaonisakama ni wale wanaoamini israel ni taifa la kikiristo,,watz wengi wanaamini hivyo kitu ambacho sio kweli, akina lusekelo wanapeperusha bendera ya israel bila kujua siri ya ile nyota ya israel, kwa hiyo nipo hapa kuwaeleimisha kuwa israel ni taifa teule la Mungu ndio lakini serikali yake inaongoza kampeni ya kumpinga kiristo,,na ushahidi ndo huo nilioweka.

Hivi we we unaamini Lusekelo hajui kuwa Israel silo taiga LA kikristo!! With wana wanalikubali kwakuwa ndiko alikozliwa Yesu kristo name kumbukumbu nyingi za ukristo ziko huko na zinatunzwa na hao waisrael! Basi! Name hakuna Sikh waisrael watawazuia wakristo kutembelea kumbukumbu za kikristo zilizoko Israel!! Huwa mnasema USA. inaibeba Israel......swali USA ni taifa LA kiyahudi?
 
Ww una akili sana
Yaani bado watu hawaelewi

Wanaichukulia israel kisiasa za dunia na ndo maana wanaishia kuilaum na kusema yote hayo.

Vita inayoongelewa hapo ni ya mpinga kristo na kristo mwenyewe na wala haihusuani na dini ya kiislam

Exactly! Hiyo Ndio Vita Iliyopo Mkuu, Ili Kuitawala Dunia Kwa Nguvu Za Giza, Their Mission Is To Destroy The Name Of Jesus First.
 
Duh!hapana kwakwli try gvn us a little history background connect wth wt iz wrttn in e bible and pruv wat u'v just wrote!
 
Na bendera ya Israel haijulikani kama "Solomon seal" ila "Star of David"!
yaleyale tu,nisichoelewa kwanini hawa kina daud na solomon wamesifiwa sana licha ya visa na vituko vyao.

Hawa jamaa ni kielelezo cha ufalme tu wala hawakua na mda wowote wa kufanya mema ambayo yamewafanya kuwa mfano.
 
Mbele za macho ya watu ile nyota inaitwa the star of david,,lakini kuna siri kubwa sana ya chanzo cha hiyo nyota,,na siri hiyo wanayo the family of Rochschild, hao ndio waliofadhili mpango wa israel kuwa na taifa lao, na sharti waliloweka ni bendera lazima iwe na hiyo nyota,,,,kwa nn walitaka iwe hivyo ni mada ingine ndefu sana mkuu.
Na bendera ya Israel haijulikani kama "Solomon seal" ila "Star of David"!
 
yaleyale tu,nisichoelewa kwanini hawa kina daud na solomon wamesifiwa sana licha ya visa na vituko vyao.

Hawa jamaa ni kielelezo cha ufalme tu wala hawakua na mda wowote wa kufanya mema ambayo yamewafanya kuwa mfano.

Itimisho la Daudi ktk yote na Suleiman unalifahamu Mkuu?

Pamoja na mambo yote waliyofanya na maovu pia lkn walimrudia Mungu na kumkabidhi maisha Yao!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom