pleo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 3,558
- 2,932
Itimisho la Daudi ktk yote na Suleiman unalifahamu Mkuu?
Pamoja na mambo yote waliyofanya na maovu pia lkn walimrudia Mungu na kumkabidhi maisha Yao!
Daudi ni mmoja ya watu wachache ambao Mungu alithihirisha wazi kwamba ni wacha Mungu naye amewaridhia.