Israel na ukiristo

Israel na ukiristo

Status
Not open for further replies.
Mkuu Kumbuka Mungu alipoliacha taifa la Israel kwa uovu na Warumi walilisambaratisha kabsa,,na akaawaahidi kuwa watakaporudi tena katika nchi ya ahadi atawapa msaidizi ambaye ni roho mtakatifu ambaye watatakiwa kumtii,,Waisarel hata baada ya Yesu kuja na kuachiwa msaidizi ambaye ni roho mtakatifu wameendelea kumkaidi Mungu,,na ndo maana wengi hawajaokoka kwa maana ya kumwamini Yesu Kristo,,bado wanamsubiri Messiah aliyetabiriwa katika agano la Kale katika kitabu cha Isaya.

Mkuu kuna Ndugu Easy E ameshatoa Jibu zuri itafute post Yake uione!

Niseme tu Kristo alipingwa vikali wakati akiwa hapa Duniani na alipo ondoka pia na kupingwa huku kutaendelea mpk atakaporudi mwenyewe!

Kwa mkristo anaejua maandiko haya mambo ni kawaida!
 
Jadili hoja! usimjadili mtoa hoja, alichokisema ndio ukweli wenyewe, wayahudi hawatambui Uungu wa yesu,wakimaliza kuwatwanga waislam watawageukia wakristo,

Kwanini wameamua kuanza na Waislam?
 
Jadili hoja! usimjadili mtoa hoja, alichokisema ndio ukweli wenyewe, wayahudi hawatambui Uungu wa yesu,wakimaliza kuwatwanga waislam watawageukia wakristo,
Na ni ukweli usiopingika kuwa, hadi sasa wayahudi wajawahi kumkiri Kristo, na wanamsubiri atakaporudi Mara ya pili watamshitaki, wamemwandalia mashtaka 12. Pamoja na hayo bado Israel ni Taifa teule la MUNGU.
 
Ni kweli Mkuu Yesu alizaliwa Bethelemu, Judea ya Galilaya ambayo ilikuwa Nazareth kipindi hicho ndo maana wameandika Nazareth is the home town of Jesus Christ.
Na anaitwa YESU Mnazareti
 
Mkuu kwa sasa uislamu bado haujaanza kupigwa,,vita iliyopo sasa hivi middle east ni ya Israel kujiimarisha,huku Freemasons wakichochea na kufitinisha waislamu na wakiristo,,Vita ya tatu ya dunia ndo zitapigwa kati ya waislamu, wakiristo na wayahudi, na wayahudi kwa sababu ni masons watashinda,,na hapo ndipo Lucifer atakapotawala dunia kutoka Jereslamu.

Akishawapiga wakristo na Waislam na kutawala Dunia kutoka Jerusalem unavyosema wewe atafanya nini Zaidi? Au akitawala Dunia basi atatulia tu au?
 
... hakuna alieitafsiri biblia perfect 100%,,lkn haimaanishi kuwa tusiendelee kutafuta maana...what if walikosea?

kama unatafuta makosa utayaona mengi ndani ya Biblia, lakini ni kwakutokuelewa kwako/kwenu. Kutafuta maana ni kitu kizuri, nakuunga mkono, lakini kwa suala la Yesu na wayahudi, Yesu hakupakwa mafuta ndo maana hawamtambui kama masihi, hilo linafanya waweke pembeni nadharia ya ukristo.
 
Mkuu Mungu kakupa pumzi na akili,,usipuuze hizi conspiracy stories, tumia muda wako wa ziada kujisomea mambo yanayoisumbua dunia,,hata mimi nilikuwa kama wewe,,lakini namshukuru Mungu nipatapo muda kama huu najifunza na kuelewa hii dunia imetoka wapi, iko wapi na inaenda wapi??Siku moja unaweza kufunuliwa.,,ukaja hapa ukatueleza unachokiona.Mungu akubariki sana lakini usisahau kunieleza nimekopy na kupaste wapi.
...
Si tatizo lako! ...hujui unalotaka kueleza!
"copy & paste"
 
Mkuu sababu ya kuleta huu uzi ni kwa sababu leo kuna uzi uliletwa hapa na wanaJF Wakiristo wakawa wanamsifia Ariel Sharon eti kwa kuwa aliwauwa wapalestina na kuitetea Israel.....mimi namkubali Ariel Sharon kwa jinsi alivyojitoa kuitumikia nchi yake,,lkn sio kwa mauaji aliyoyafanya,,,mimi ni mkiristo na nakataa na kulaani maauaji yaliyofanywa na Sharon.Mimi eti kwa sababu ni Mkristo siwezi kusupport kila kitu kinachofanywa na Israel ingawa wana haki ya kujilinda pale inapobidi, nakubali pia kuwa ni Taifa teule la Mungu,,lakini Yesu ndo baba wa mataifa yote, na ndiye alie nikoa mimi,,uhusiano wa Mungu na Israel sitaki kuwaingilia,Mungu ana sababu zake kuliita Taifa teule lkn usiingie kwenye mtego kusifia kila kitu kinachofanywa na Israel .
Mleta mada nahisi wewe sio mkristo!
 
Nimekuuliza hapo nyuma Maswali Yangu Naomba unijibu!
 
Akishawapiga wakristo na Waislam na kutawala Dunia kutoka Jerusalem unavyosema wewe atafanya nini Zaidi? Au akitawala Dunia basi atatulia tu au?

Mkuu mkada Naomba nijibu haya Maswali Yangu!
 
Mkuu ntuzu,jaribu kumsoma Albert pike and his worldwar 3 prophecy.
Uislamu na ukristo utaingia vitani pale dome of the rock ule msikiti ulioko jerusalem ukivunjwa.inasemakana jeshi la askari kama milioni 200 litavuka mto frat kuja kupambana jerusalem na hapo ndo mwanzo wa vita kuu kati ya waislamu na wakristo ambayo imedizaniwa ili kuzimaliza nguvu dini hizo mbili.
Watapigana mpaka kila upande utakua hoi kila kitu duniani kitakua kimeharibiwa na mabilioni kufa.baada ya hapo ndo wazee wa new world order ambao waanzilishi ndo hao waisrael wa ukoo wa rothchild watasimika a one world government na kwakua watu watakua wamechoshwa na machafuko wataipokea serikali moja kwa mikono miwili.
Kumbuka hapo idadi ya watu duniani itakua imepungua hadi atleast kufikia watu milioni 500 tu,juu katika vita silaha za maangamizi zitatumika na kuchangia kupunguza idadi ya watu.
 
Yesu mwenyewe ni myahudi,na wayahudi sio kwamba walimchukia yesu ndio maana wakamsulubisha la!walimpenda sana na kwny mafundisho yake walikua wanajaa na kupokea miujiza na uponyaji,ila neno lilikua lazima litimie kama ilivyotabiriwa na manabii kua atazaliwa,atateswa mpaka kufa na siku ya tatu atafufuka,na ndio maana baada ya kumtesa na alipokufa tu watesaji ufahamu uliwarudia na wakakiri hakika huyu alikua mwana wa mungu!kwa hiyo neno lilikua lazima litimie!umeskia we mleta mada unaejifanya mkiristo alkaida unataka kupotosha watu,wakristo imani yetu si haba na hua hatubabaishwi kirahisi!poor you!
 
Mkuu hulka ya binadamu ni ubabe na kutaka kutawala wenzie,,kuna binadamu wanajiona wenyewe ndo bora kuliko wengine,mawazo yao,dini yao,tamaduni zao ni bora kuliko zingine na wanataka wote tuwaabudu na kuwasiliza huku wakicontrol uchumi, rasilimali na siasa.Ndio maana watu wanaingia vitani Mkuu.Hakuna lingine,,walikuwepo warumi, na sasa wamarekani na wataendelea kuja,,Jiulize baada ya vita ya iraq Mmarekani anafanya nini sasa,,si biashara ya mafuta yote yeye ni muamuzi.
Mkuu mkada Naomba nijibu haya Maswali Yangu!
 
Uislamu na ukristo utaingia vitani pale dome of the rock ule msikiti ulioko jerusalem ukivunjwa.inasemakana jeshi la askari kama milioni 200 litavuka mto frat kuja kupambana jerusalem na hapo ndo mwanzo wa vita kuu kati ya waislamu na wakristo

hii kitu wametohoa kwenye Ufunuo wa Yohana, Yohana hakuongelea Waislamu hata kidogo.
 
Mkuu ntuzu,jaribu kumsoma Albert pike and his worldwar 3 prophecy.
Uislamu na ukristo utaingia vitani pale dome of the rock ule msikiti ulioko jerusalem ukivunjwa.inasemakana jeshi la askari kama milioni 200 litavuka mto frat kuja kupambana jerusalem na hapo ndo mwanzo wa vita kuu kati ya waislamu na wakristo ambayo imedizaniwa ili kuzimaliza nguvu dini hizo mbili.
Watapigana mpaka kila upande utakua hoi kila kitu duniani kitakua kimeharibiwa na mabilioni kufa.baada ya hapo ndo wazee wa new world order ambao waanzilishi ndo hao waisrael wa ukoo wa rothchild watasimika a one world government na kwakua watu watakua wamechoshwa na machafuko wataipokea serikali moja kwa mikono miwili.
Kumbuka hapo idadi ya watu duniani itakua imepungua hadi atleast kufikia watu milioni 500 tu,juu katika vita silaha za maangamizi zitatumika na kuchangia kupunguza idadi ya watu.

Ntafatilia kujua Hii kitu! Lkn nahisi Km nigepata majibu ya Maswali niliyomuuliza mleta mada ningeweza pata picha kidogo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom