Israel na ukiristo

Israel na ukiristo

Status
Not open for further replies.
Acha kupotosha. unaingiza maneno unayoyataka wewe.
Huoni aibu kufoji Quran kwa ajili ya kutetea dini yako? kweli umefilisika.
Quran, Surat An Nisaa aya ya 171 inasema hivi,

Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu, wala msimseme Mwenyezi Mungu ila kwa lilio kweli. Hakika Masihi Isa mwana wa Maryamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na neno lake tu alilo mpelekea Maryamu, na ni roho iliyo toka kwake. Basi Muaminini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Wala msiseme: Utatu. Komeni! Itakuwa kheri kwenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mungu mmoja tu. Ametukuka Yeye na kuwa na mwana. Ni vyake Yeye vyote viliomo katika mbingu na katika ardhi. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha

Tafsiri Kwa kiingereza ipo hivi;

O People of the Scripture, do not commit excess in your religion or say about Allah except the truth. The Messiah, Jesus, the son of Mary, was but a messenger of Allah and His word which He directed to Mary and a soul [created at a command] from Him. So believe in Allah and His messengers. And do not say, "Three"; desist - it is better for you. Indeed, Allah is but one God. Exalted is He above having a son. To Him belongs whatever is in the heavens and whatever is on the earth. And sufficient is Allah as Disposer of affairs.


So acha kuizalilisha dini yako ya kikristo kwa kufoji tafsiri ya Quran.
Mkristo wa kweli hutetea dini yake kwa maandiko yaliyopo na sio kufoji.

Anyway, wadau tuendelee na mada.

Kila siku nawaambia kuwa uislamu ni dini iliyotungwa ili kuhakikisha inapata wafuasi wengi wa kwenda Jehanum.

WATAKWAMBIA QURAN ILISHUKA VIPANDE VIPANDE

QURAN 76:23. SURAT AL-INSAN

23. Hakika Sisi tumekuteremshia Qur'ani kidogo kidogo.

ANDIKO HAPO JUU ILISHUKA VIPANDE VIPANDE,TUANGALIE ANDIKO LIFUATALO:-

QURAN 15:90-91. SURATUL HIJR

90. Kama hivyo tuliwateremshia walio gawa,
91. Ambao wakaifanya Qur'ani vipande vipande.

HAPA QURAN AIKUSHUKA VIPANDE VIPANDE KAMA WANAVYODAI WAPOTEVU,BALI WALIKABIDHIWA NZIMA NA MUNGU WAO WASIE MJUWA

SWALI:

1.Aya hipi hapo inapaswa kufutwa kutelemshwa vipande au ilishuka kuna watu wakaifanya vipande vipande?

2. Tumeona Muhammud ndiye aliyekabidhiwa vipande vipande vya aya je ni mtume gani aliyekabidhiwa Quran nzima ambayo aikuwa vipande vipande ambapo nyinyi makureshi mkaifanya vipande vipande na ilishuka wapi Quran?

HAPA KUNA QURAN MBILI MOJA ILISHUKA VIPANDE VIPANDE NYINGINE NZIMA MKAIFANYA VIPANDE,ANAYEKUJA KUJIBU AWE NA ELIMU YA UISLAMU NA AZINGATIE MADA.





 
hii kitu wametohoa kwenye Ufunuo wa Yohana, Yohana hakuongelea Waislamu hata kidogo.

Ww una akili sana
Yaani bado watu hawaelewi

Wanaichukulia israel kisiasa za dunia na ndo maana wanaishia kuilaum na kusema yote hayo.

Vita inayoongelewa hapo ni ya mpinga kristo na kristo mwenyewe na wala haihusuani na dini ya kiislam
 
Mkuu kwa sasa uislamu bado haujaanza kupigwa,,vita iliyopo sasa hivi middle east ni ya Israel kujiimarisha,huku Freemasons wakichochea na kufitinisha waislamu na wakiristo,,Vita ya tatu ya dunia ndo zitapigwa kati ya waislamu, wakiristo na wayahudi, na wayahudi kwa sababu ni masons watashinda,,na hapo ndipo Lucifer atakapotawala dunia kutoka Jereslamu.

Hapa sijaelewa, ina maana Mungu tunayemsoma kwa Bible Ndio Lucifer? Au hapo in between walibadili wakaanza kumuabudu Lucifer? That being the case wayahudi wanamsubiri Messiah yupi? Wameahidiwa Na Lucifer?
 
kama unatafuta makosa utayaona mengi ndani ya Biblia, lakini ni kwakutokuelewa kwako/kwenu. Kutafuta maana ni kitu kizuri, nakuunga mkono, lakini kwa suala la Yesu na wayahudi, Yesu hakupakwa mafuta ndo maana hawamtambui kama masihi, hilo linafanya waweke pembeni nadharia ya ukristo.

Naomba evidence ya condition ya kuwa masihi inabidi awe mpakwa mafuta
 
Alafu pia umesema kua huo ni Unabii, unaweza ukanipatia japo mafungu mawili ndani ya maandiko juu ya huo unabii?

Nakuunga mkono mkuu, Manake kuna hata watu wametoa unabii zaidi Ya Mara 3 kuhusu mwisho wa dunia
 
hivi Tanzania ina uhusiano wa kidiplomasia na Israeli?
 
I wish inspector lady ungenielewa,Imani yangu mimi ni mkristo na haiteteleki,,lkn kuna wakiristo wanafikiri kuwa Israel ni taifa la kikiristo, na ndo msingi wa mada yangu.

Kwani ww kinachokufanya uone israel sio taifa la kikristo km ulivyosema hapo juu ni kitu gani hasa?

Mind u, huo ipinzami ulioko hauondoi ukweli kuwa Israel ni taifa teule
 
Mtaongea sn kuhusu huyu mfalme wa ulimwengu, maana wayahud hawajaanza leo toka mimba ku2ngwa, walitaka kumuangamiza alivyozaliwa lkn hawakuwez maana mungu alikuwa pamoja nae, na hayo yote yatapita wampinge wasimpinge injili inasona mbele yesu ni bwana!
 
Ukiwa mvivu wa kutafuta habari unaweza usijue hasa nini kinaendelea.mfano ni wazi kuwa unabii wa kuja kwa mtu atakaewakomboa waisrael ulitolewa wakati taifa hilo likitawaliwa na warumi na walihitaji mtu aje awakomboe ili wawe na mfalme wao ndo maana wengine wanasema ufunuo wa yohana hasa ulikua unaongelea mambo yaliyotokea mwaka70AD na si mambo yajayo.
Japo kuna watu walifanya ikawa kama ni ufunuo unaohusu ujaji wa masiha kwa mara ya pili na ndo sababu ya evangelist kutaka kufanya juu chini unabii utimie.
Evangelical Christians Want to Start WWIII to Speed the "Second Coming" ... and Atheist Neocons are Using Religion to Rile Them Up to Justify War Against Iran Washington's Blog
 
Mleta uzi umenikumbusha kitu kimoja labda niwape.mimi binafsi nimebahatika kufanya kazi na hawa waisrael ambapo mwanzo nami nilikuwa nikifikiri kama wakristo wengine wanavyodhani kuwa ni wakristo wenzao mwenzetu mmoja mbongo si akampa zawadi ya rozali dada wa kiyahud kwanini asiikatae ndipo nikaanza kufatilia kumbe utaifa wao na dini yao ni jews na kuna wakristo na waislam pia kitu ambacho sikuamini ni kuwa kutakuwa na waislam ndani ya israel.

Soma vizuri history ya uislam utajua kwann kuna waislam Israel
 
Hapa sijaelewa, ina maana Mungu tunayemsoma kwa Bible Ndio Lucifer? Au hapo in between walibadili wakaanza kumuabudu Lucifer? That being the case wayahudi wanamsubiri Messiah yupi? Wameahidiwa Na Lucifer?
HAJUI ATAFANYWA NINI MNAMFUATA WA NINI?
(SURA 46:9 SURAT AL AH'QAAF)
Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi SI CHOCHOTE ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi.

WAKUFUATA NI HUYU:
Anasema,(Yohana 14:1-6)-Mimi ndimi NJIA,KWELI na UZIMA,mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi.
(Yohana 8:12)-Mimi ndimi NURU ya ulimwengu,ANIFUATAYE mimi hatakwenda GIZANI kamwe,bali atakuwa na hiyo Nuru ya uzima.
 
Kwa vile imejulikana watu wanaogopa Freemasons, Kama sikupendi product naweza kutangaza ina Alama za Freemasons Ili ikataliwe.. just saying
 
Kwani ww kinachokufanya uone israel sio taifa la kikristo km ulivyosema hapo juu ni kitu gani hasa?

Mind u, huo ipinzami ulioko hauondoi ukweli kuwa Israel ni taifa teule
yataka utuwekee ushahidi bibie,tena ulokwenda shule..kumbuka kuna watu wanaabudu ng'ombe na wanajiona wako right.

Je wajua kwamba wayahudi hawaamini mambo ya afterlife?
 
Naomba evidence ya condition ya kuwa masihi inabidi awe mpakwa mafuta

masihi/kristo ni neno moja kwa lugha mbili tofauti zikimaanisha kwa ukaribu wa mpakwa mafuta wa BWANA kwa kiswahili.

Neno lenyewe ni kithibiti tosha.
Nani walistahili kupakwa mafuta?
- kuhani
- nabii
- mfalme
-

nakubaliana Yesu ni kuhani mkuu mfano wa Me.., nabii, mfalme . Swali linarudi, kwa nini hakupakwa mafuta, kwani hiko ni kimoja kinachopunguza wafuasi wake baina ya jamii ya wayahudi.
 
Nakuunga mkono mkuu, Manake kuna hata watu wametoa unabii zaidi Ya Mara 3 kuhusu mwisho wa dunia



Unajua mleta mada na baadhi ya wachangiaji wengine wamechangia kupitia vyanzo vya Habari mbalimbali Zaidi naweza sema kisiasa lkn hawajaonesha ushahidi kutoka kwenye maandiko! Ingawa hoja zao zina ukweli lkn wameshindwa kukamilisha ujumbe Wa muhusika kabisa! Na ndio maana baadhi ya Maswali Yangu yamekosa majibu! Likiwemo Hilo la unabii!

Niseme tu kua wapinga Kristo walikuwepo na wapo na watakuwepo mpaka atakapokuja Yesu!

Ila kitu kitakachokuja kutokea hapo baadae ni Uasi au Mnyama pamoja na USA na washirika wake kufanya vita dhidi ya ibada ya kweli! Na Hii watafanya baada ya kuitawala Dunia!
 
Ntuzu hata pia wanaochoma makanisa yetu ni wapinga kristo.

Soma Yohana mtakatifu 16:1-4
Ndo utaelewa
Ndo maana tunakwambia yalishatabiriwa haya yote unayoyaona yakitokea ss.
Hakuna vita ya u kristo na uislam bat kristo na mpinga kristo (lucifer)
 
Unajua mleta mada na baadhi ya wachangiaji wengine wamechangia kupitia vyanzo vya Habari mbalimbali Zaidi naweza sema kisiasa lkn hawajaonesha ushahidi kutoka kwenye maandiko! Ingawa hoja zao zina ukweli lkn wameshindwa kukamilisha ujumbe Wa muhusika kabisa! Na ndio maana baadhi ya Maswali Yangu yamekosa majibu! Likiwemo Hilo la unabii!

Niseme tu kua wapinga Kristo walikuwepo na wapo na watakuwepo mpaka atakapokuja Yesu!

Ila kitu kitakachokuja kutokea hapo baadae ni Uasi au Mnyama pamoja na USA na washirika wake kufanya vita dhidi ya ibada ya kweli! Na Hii watafanya baada ya kuitawala Dunia!

Unabii upi unaotaka kujua ntuzu?
Soma ufunuo wa Yohana utapata majibu.

Swali kwako unajua mpinga kristo hizo cku za utekelezaji wa 666 atatokea wapi exactly?
 
masihi/kristo ni neno moja kwa lugha mbili tofauti zikimaanisha kwa ukaribu wa mpakwa mafuta wa BWANA kwa kiswahili.

Neno lenyewe ni kithibiti tosha.
Nani walistahili kupakwa mafuta?
- kuhani
- nabii
- mfalme
-

nakubaliana Yesu ni kuhani mkuu mfano wa Me.., nabii, mfalme . Swali linarudi, kwa nini hakupakwa mafuta, kwani hiko ni kimoja kinachopunguza wafuasi wake baina ya jamii ya wayahudi.

Alitakiwa apakwe na nani Ili atambuliwe? Kuhani? Manake sijui alikuwepo nabii gani ambaye angefanya kazi Hiyo..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom