mkada
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,200
- 908
- Thread starter
- #61
I wish inspector lady ungenielewa,Imani yangu mimi ni mkristo na haiteteleki,,lkn kuna wakiristo wanafikiri kuwa Israel ni taifa la kikiristo, na ndo msingi wa mada yangu.
Yesu mwenyewe ni myahudi,na wayahudi sio kwamba walimchukia yesu ndio maana wakamsulubisha la!walimpenda sana na kwny mafundisho yake walikua wanajaa na kupokea miujiza na uponyaji,ila neno lilikua lazima litimie kama ilivyotabiriwa na manabii kua atazaliwa,atateswa mpaka kufa na siku ya tatu atafufuka,na ndio maana baada ya kumtesa na alipokufa tu watesaji ufahamu uliwarudia na wakakiri hakika huyu alikua mwana wa mungu!kwa hiyo neno lilikua lazima litimie!umeskia we mleta mada unaejifanya mkiristo alkaida unataka kupotosha watu,wakristo imani yetu si haba na hua hatubabaishwi kirahisi!poor you!