Wakiristo wengi hawajui mahusiano ya Taifa la Israel na Ukiristo, zaidi ya kuwa ni Taifa teule la Mungu ambalo Mungu alilipigania kutoka kwa maadaui zake, kuliinua na kulipa ushindi hakuna ubishi katika hili lakini kuna zaidi ya hilo. Wakiristo wengi hawajui kuwa Israel pamoja na kuwa ndo nchi ya kwanza kuwa na wakiristo na Mitume kama akina Petro, Paul n.k. Ukiristo unaitwa Kansa ya Taifa la Israel na baadhi ya wayahudi wanaotaka Jewish State.Na kwa sababu hiyo ukiristo na dini zingine kama uislamu zimetungiwa sheria kukataza kumhubiria myahudi dini nyingine zaidi ya kiyahudi na ni kosa kisheria kumpa myahudi zawadi ya biblia au Quran (
Christians Discriminated Against by Israel.).Wayahudi wenye msimamo mkali wamekuwa wakichoma moto vitabu vitakatifu vya agano jipya na kuchoma makanisa. Askari wa Isarel mara nyingi wamekuwa wakiingia madhabahuni na mbwa, na katika namna ya dharau,huku wakivuta sigara, na kuvunja madhabahu na kutupa sanamu za bikira maria nje barabarani huku wakimwita Bikira Maria kahaba kwa kisingizo cha kutafuta magaidi.Hii imepelekea hata mji aliozaliwa na kukulia Yesu kuwa na idadi kubwa ya waislamu 70% kuliko wakiristo (
Nazareth - Wikipedia, the free encyclopedia), kwani mpango wao wa kuuacha uislamu ni ili siku moja wapige mabomu makanisa yote yaliyopo Nazareth na kuwasingizia waislamu (kumbuka Freemasons wanapanga Vita ya tatu ya dunia ipiganwe Middle East ikihusisha dini tatu yaani Ukiristo, Uislamu na dini ya kiyahudi (
Masonic Lodge Over Jerusalem) na baadae wayahudi kuja kuvunja misikiti yote na kujenga temple moja Jerusalem (Temple of all Religions) ambapo ili kujenga umoja kwa Waisrael ndo litakuwa kanisa la watu wote kusali baada ya kuwa dini zote hizi zimepigana vita na dini ya Kiyahudi imeshinda (New World Order) kama wanataka kusali (
Masonic Jews Plot to Control WorldZionist Secret Society Conducts Luciferian Rituals Deep in Cave Under City of Jerusalem)
Temple hili kwa sasa ni lipo Jerusalem underground na linatumika kusali na Jerusalem ndo itakuwa makao makuu ya New world Order. Israel huwezi kuwa waziri mkuu au Rais kama ni mkristo au Muislamu na ni lazima uwe Masonic Myahudi. Kumbuka pia kuwa White house na European Union tayari ni Masonic Authorities hivyo Waislamu na Wakiristo watashindwa hii vita kiurahisi sana.Kuna baadhi ya wakirsto pia wamekuwa wakipinga hii nyota ya kwenye bendera ya Israel (Star of David) kuwa ni alama ya shetani (Satanic Hexagram) na chanzo cha kuwekwa kwenye bendera ni familia ya Freemason ya Rothschild ambao walitoa ufadhili kwa ajili ya kuundwa kwa Taifa la Israel.Alama ya Nyota inadaiwa chanzo chake ni mfalme Solomon (Seal of Solomon) aliyeitumia wakati anajenga jumba la kipagani alikokuwa analitumia kustarehea na wake zake na kufanya matambiko (occult).Wakiristo badala yake wanataka alama ya menorah ambayo ni alama ambayo Mungu aliwapa ikiwakilisha mti uliokuwa ukiungua wakati Musa ameitwa na Mungu pale mlima Sinai.Leo hii ukitaka Myahudi akuchukie na awe adui yako mfanyie yafuatayo:
- · Mhubirie injili kwa ajili ya kumbadili dini ya uyahudi
- · Muda wote wa mazunguzo yako umsifie Yesu
- · Sema kuwa wayahudi hawakuuwa na Hitiler na kisa chote ni cha kutunga
- · Mwambie kuwa Wayahudi walimuua Kristo(wanataka useme kuwa warumi ndio waliomuua Yesu)
- · Mwambie kuwa ataenda Jehanamu kwa sababu sio Mkiristo
Kwa hiyo ndugu zangu watanzania wakiristo wenzagu Wakiristo taifa la Israel sio Taifa linalomtukuza huyu Yesu tunayemuabudu kama ambacho tumefundishwa toka utotoni Sunday school, na vita yao mashariki ya kati sio vita dhidi ya uislamu bali ni vita ya ardhi na kuimarisha utambulisho wa Kiyahudi.Lengo lao la kudumisha mila za Kiyahudi na kuwa na taifa la kiyahudi limekuwa na madhara makubwa sana kwa ukiristo na wakiristo ambao wanafundishwa kuishi kwa upendo na amani.Lakini yote kwa Yote ndio Taifa pekee teule la Mungu.Mungu bila shaka ana makusudi yako, tafadhali soma na tafakari Ezekiel 37:8 na Yohana 15:26. Jumapili Njema,,Tubadilishane Mawazo.
View attachment 131817View attachment 131818
Bendera ya Taifa la Israel (Solomon Seal) na Alama ya kichaka kinachowaka moto(Mbele ya Musa mlima Sinai)