Israel na ukiristo

Israel na ukiristo

Status
Not open for further replies.
kama lipi ambalo limetimia?.ukisema isaya kuhusu yule mtoto emanuel huo unabii haukumuhusu yesu ndo maana hata yeye hakupatwa kuitwa emanuel.unabii ulimhusu mtoto wa king Ahaz lakini wakapitishiamo kuwa ulimhusu yesu.

Mkuu unabii Wa kumuhusu Yesu haukutimia huo Wa jina la Emmanuel? Huyo mtoto Wa Mfalme Ahazi alikua aje awe nani Km huo unabii ulikua unamhusu yeye?
 
Mkuu bila kuongeza neno, kwa kidogo ninachokijua upo sahihi, kabisa.

Waabudio halisi, katika roho na kweli.
Wale wanaomwabudu Mungu katika roho na kweli.
Kwa maana Mungu ni roho wamwabudio yawapasa kumwabudu katika roho.
Sio issue ya dini wala dhehebu wala mchungaji.

Sio kila anaejiita mkristo anatimiza
 
Mkuu soma John 10 Utaona Yesu anasema anao kondoo wake ambao si wa Kundi hili! Nao inampasa kuwaleta kua Kundi moja na Mchungaji mmoja!

Kwahiyo Yesu aliona umuhimu Wa kua na dhehebu au Imani Fulani!
 
Yohana mbatizaji alikuwa safi.

Now we are talking, Yohana alimkubali but wayahudi wengine walimkataa probably coz wamestick kwenye their traditional way of worship. Sababu hyo hyo inawezekana Mpaka leo hawajamkubali. !!!
 
Mkuu unabii Wa kumuhusu Yesu haukutimia huo Wa jina la Emmanuel? Huyo mtoto Wa Mfalme Ahazi alikua aje awe nani Km huo unabii ulikua unamhusu yeye?
masihi aliekua aje kuwakomboa wana wa israel alikua lazima atokene na ukoo wa mfalme daudi..mary mamake yesu hakutokana na ukoo wa daudi.

Joseph mmewe mary ndie aliekua wa ukoo wa daud.
Lakini kama wakristo wanaamini yesu sio mtoto wa joseph then anawezaje kuwa wa ukoo wa daudi kama si mtoto wake wa damu?.kuna watu wameweka argument sema link imenipotea.wao wayahudi walikua wanangojea masihi aje lakini toka ukoo wa daud ambae ndo angewakomboa toka mikönoni mwa warumi ndo maana hadi leo wanasubiri na hawakubali kuwa yesu ni mwana wa daud.
 
Yohana mbatizaji alikuwa safi.

Yohana mbatizaji alikua nabii! Na ukumbuke wakati huo Kanisa au Wayahudi walikua wameshaiacha njia ya Mungu! Yani walikua wanajiendea tu! Na ndio maana Yesu hakwemda kwa viongozi Wa Kanisa kumbatiza akaenda kwa Yohana na akarudi kuwafundishs hao mafarisayo etc!
 
nimesoma mistari mitatu lkn nmegundua mtoa mada haupo sawa akili yako
 
Now we are talking, Yohana alimkubali but wayahudi wengine walimkataa probably coz wamestick kwenye their traditional way of worship. Sababu hyo hyo inawezekana Mpaka leo hawajamkubali. !!!
hilo nadhani lilikua suala la kifamily zaidi,kumbuka mamake yohana yaani elizabeti na mamake yesu mary walikua ni mtu na dadake,lakini hata hivo sidhani kama yohana alimkubali kwani waandishi wametofautiana,mmoja anadai yohana hakua amemkubali hadi akiwa gerezani aliwatuma wafuasi wake wakamuulize yesu kuwa,''tumetumwa tukuulize wewe ndiye yule ajae ama tuendelee kusubiri''.

Hapa ni kama vile hata yohana hakuwa na uhakika
 
swala lilikuwa mtazamo wako kuwa hakukuwa na nabii/kuhani safi wa kumpaka mafuta Yesu!
Yohana labda alistahili!
 
nimesoma mistari mitatu lkn nmegundua mtoa mada haupo sawa akili yako
sema mtoa mada alikua na lengo la kueleza tu kuwa israel sio taifa la kikristo kama wengi wanavyoamini na akaweka links kama source.

Ila mjadala umedegenerate.sasa sijui unamjudge kwa lipi hapa?
 
masihi aliekua aje kuwakomboa wana wa israel alikua lazima atokene na ukoo wa mfalme daudi..mary mamake yesu hakutokana na ukoo wa daudi.

Joseph mmewe mary ndie aliekua wa ukoo wa daud.
Lakini kama wakristo wanaamini yesu sio mtoto wa joseph then anawezaje kuwa wa ukoo wa daudi kama si mtoto wake wa damu?.kuna watu wameweka argument sema link imenipotea.wao wayahudi walikua wanangojea masihi aje lakini toka ukoo wa daud ambae ndo angewakomboa toka mikönoni mwa warumi ndo maana hadi leo wanasubiri na hawakubali kuwa yesu ni mwana wa daud.

Hoja yako ni nzuri, lkn Hawa Wayahudi wote ni ukoo Wa nani? Ukianzia kwa Ibrahim ambae ni babu Yao Wayahudi mpk kwa Mfalme Daudi unakuta kuna vizazi 14 na Hawa wote ni ndugu ni uzao Wa Ibrahimu
 
Kikubwa kinachofanyika na ndugu zetu ni kutuambia kua Wayahudi hawautambui ukristo!

Lkn ukiangalia ata wao hawawapendi Wayahudi! Sasa wakati Wa Yesu Wayahudi walimsulubusha Yesu kwa makosa ya sifa zake Yesu! Walikua wakipinga Sifa zake Yesu kitu ambacho ni sawa na wao wanavyopinga Sifa zake Yesu na kuupinga ukristo kua Hakuna hiyo Imani! Sasa Km Wayahudi wanapinga Sifa za Yesu na ukristo utawatofahtisha vipi Na Hawa ndugu zetu na Wayahudi?
Wako sawa kiimani Hawa wote ni wapinga Kristo wanaopatikana ktk kitabu cha Yohana Wa Pili 2:22.

Asante!

Nilipenda mwanzo ila mwisho hapana mkuu
 
hilo nadhani lilikua suala la kifamily zaidi,kumbuka mamake yohana yaani elizabeti na mamake yesu mary walikua ni mtu na dadake,lakini hata hivo sidhani kama yohana alimkubali kwani waandishi wametofautiana,mmoja anadai yohana hakua amemkubali hadi akiwa gerezani aliwatuma wafuasi wake wakamuulize yesu kuwa,''tumetumwa tukuulize wewe ndiye yule ajae ama tuendelee kusubiri''.

Hapa ni kama vile hata yohana hakuwa na uhakika

Nakubaliana na wewe mkuu hapo, nimequote Mat 4:12 alisita kumbatiza Yesu. Reason why alidoubt Kama ndiye sijui, labda kuna namna alivyokuwa ana perception ya masihi kichwani ikawa tofauti. Ukisoma "the killing of Jesus " wanasema wayahudi wengine walimkataa Yesu kwa sababu walitegemea masihi aje kama war hero sio humble man kama Yesu. Ukizingatia Walikuwa chini Ya utawala wa rumi.
 
Mkuu Yohana alimkubali Hasa pale ktk zoezi la Ubatizo Wa Yesu! Ila alivyofungwa alitegemea Yesu angelimsaidia! Na Jibu la Yesu lilikua tofauti Ingawa Yesu alijua kua Yohana atabaki ktk Imani mpk kufa!
 
Tatizo Mkuu la Wayahudi lilikua hawakua vizuri kwenye unabii na ndio maana walivyotegemea ikawa sio! Na pia hawakujua dhumuni la kuja kwa Yesu Ingawa unabii ulikua unaelezea dhumuni lake vizuri!
 
Hoja yako ni nzuri, lkn Hawa Wayahudi wote ni ukoo Wa nani? Ukianzia kwa Ibrahim ambae ni babu Yao Wayahudi mpk kwa Mfalme Daudi unakuta kuna vizazi 14 na Hawa wote ni ndugu ni uzao Wa Ibrahimu
nataka kulogout japo hapa nina angalizo kidogo.wamedian walikua ni watoto wa mke wa tatu wa abrahamu nadhani aliitwa ketura lakini pia mke wa moses alikua mmedian lakini kipindi waisrael wakitoka misri walipewa amri chini ya joshua kuwashambulia wamedian ambao kiuhalisia ni uzao mmoja wa daudi.

Halafu mmoja ya yale makabila 12 ya israel benjamin lilikua kabila mmojawapo.
Lakini haohao benjamite ambao mmojawapo wa wafalme kati ya saul ama daud alitokeamo.walipigana na wale wa makabila mengine japokua jehova alitoa ok yale makabila mengine wawapige benjamite wale wabenjamite waliwashinda wale wengine ni mpaka walipotoa kafara ndo wakafanikiwa kuwapiga benjamite,japo walikua ndugu,sasa hapa mi hujiuliza ilikuaje tena wakati wote walikuwa ni wateule?
 
Mkuu Yohana alimkubali Hasa pale ktk zoezi la Ubatizo Wa Yesu! Ila alivyofungwa alitegemea Yesu angelimsaidia! Na Jibu la Yesu lilikua tofauti Ingawa Yesu alijua kua Yohana atabaki ktk Imani mpk kufa!

Yohana alikuwa kiungo kati ya Agano la kale na Jipya, kazi yake iliisha baada ya kumbatiza Yesu. Kwahiyo Yesu hakuwa na sababu ya msingi kumtetea, nafikiri ingeleta mkanganyiko kati ya Mafundisho yao.
 
Alitakiwa kutoka ukoo wa Yuda, ndio maana anaitwa simba wa Yuda.

Kwa uzito wa hoja kama huu uliotoa wayahudi walitakiwa kumtenga Daudi. Daudi hakustaili kuwa mpakwa mafuta pia/mfalme kwakuwa kizazi chake kimetokana na waasimu wao, ukoo wa mama ya Bibi (mke wa Boaz nafikiri, mkwe wa Naomi) yake ulikuwa umelaaniwa, hakustahili hata kusogelea sinagogi acha kuhifadhi sanduku, nakutaka kujenga makazi ya BWANA.

masihi aliekua aje kuwakomboa wana wa israel alikua lazima atokene na ukoo wa mfalme daudi..mary mamake yesu hakutokana na ukoo wa daudi.

Joseph mmewe mary ndie aliekua wa ukoo wa daud.
Lakini kama wakristo wanaamini yesu sio mtoto wa joseph then anawezaje kuwa wa ukoo wa daudi kama si mtoto wake wa damu?.kuna watu wameweka argument sema link imenipotea.wao wayahudi walikua wanangojea masihi aje lakini toka ukoo wa daud ambae ndo angewakomboa toka mik0‹2noni mwa warumi ndo maana hadi leo wanasubiri na hawakubali kuwa yesu ni mwana wa daud.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom