AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,880
- 5,607
Kwanini wameamua kuanza na Waislam?
Kwakuwa wakristo wamefundishwa akupigae shavu la kushoto mgeuzie na la kulia, kwa hiyo wanahisi hakutakuwa na shida kuwatandika wakristo ni simple tu, tofauti na Waislam wao Al-Kiswasu Hakku.