Israel itayakalia mataifa ya kiarabu hivi karibuni

Israel itayakalia mataifa ya kiarabu hivi karibuni

Naongea na mtu asiejua chochote....Hizo religions spreading periods across the world kwenye mediaval times huzijui na hujazisoma?

Sina muda wa kuchezea kuelezea upuuzi ambao upo kwenye historia na ungetakiwa uwe ulishasoma.Ni uzembe wako hukusoma unakuja kusumbua watu hapa.Nenda kasome kwa kutimiza wajibu wako then uje hapa kwa ajili ya mjadala.

Na siku hizi Google ipo,imerahisisha.....

Sipendi mijitu inakwepa majukumu yao halafu at then end of the day yanakuja sumbua watu sababu ya uzembe wao yenyewe!

Im tired of this aisee!
Nimetaka kuelezwa ni vp unaweza kueneza dini kwa upanga,usifikiri hayo unayoyaeleza siyajui.

Halafu wewe jamaa ni mtu wa jazba kweli.
 
Dini zilienezwa kwa violence..Vita haswa na watu kuuawa!

Sasa unabisha au kuhalalisha hilo eti kwa sababu Kulikuaga na vita kuu za dunia zilizopiganwa kwa sababu zingine?

Yaani tangu lini two wrongs can make it right?

Unahalalisha mabaya ya dini sababu ya ubaya wa kitu kingine?

Vyote ni wrong period!

Hutakiwi kuua mwanadamu mwenzio kwa sababu yoyote ile period!

Dini mlitenda uuaji,accept it,pangusa matako usonge mbele!Na ukubali wote ni washezi watupu mnamtumikia mungu alieagiza mauaji!
Unapenda kubwatuka tu.

Nimekwambia maafa yanaweza kutokea kwa kutumia njia yeyote ile iwe dini siasa..n.k ndiyo maana nikatoa mfano wa vita mbili za dunia sio kuhalalisha maafa yenye kusababishwa dini bali kukuonesha kuwa maafa yanaweza kufanywa kwa kutumia njia yeyote.
 
Wewe ni mkristo sababu Wazazi wako ni Wakristo
Wewe ni Muslam sababu Wazazi wako ni Waislam.
Maisha yetu lazima yawe na athari kutoka kwa wazazi wetu au jamii husika,sio dini tu mambo mengi.
 
Sijawahi muona popote,na binadamu wenzangu wananiambia hawajawahi muona.Huko aliko ndio wapi niende?

Huwezi niambia niishie hapo maana hawajanionesha.Kama hawajanionesha na mimi simuoni ni sahihi kwangu kusema hayuko maana simuoni,nisemeje huenda yupo wakati kila siku miaka bil 4 ya human existance duniani hapa hamjawahi kutuonesha?Kama mnataka niweke % kua huenda yupo na nyie wekeni % huenda asiwepo pia.Lakini nyie hamtaki,mnakomaa YUPO,na mimi nakomaa HAYUPO.Nyani haoni kundule!

Ni madai yangu hayupo maana hayupo.Sijawahi muona na hakuna aliewahi muona.Sasa nitasema yupo wakati nikiangalia pande zote nilizokaa hapa simuoni.Labda wewe unaedhani kua yupo walao pia uwe na doubt huenda akawepo au asiwepo maana na wewe pia huna proof...Wewe unaedhani kua yupo ndio una burden ya kutuelekeza alipo...

Ukitaka kupata proof yangu..angalia hapo ulipo simama,angalia kushoto,kulia,and around you,unamuona huyo mungu?Au weka tangazo worldwide kua mtu yeyote akimuona akwambie,ukishapata majibu uje uniambie kama umemuona.Fanya hilo zoezi then utaona hayupo utakua ume-prove my theory to some extent.Ukiona hujaridhika,fanya utakachoona kinafaa ku-prove pia utapata jibu hayuko,then uta-conclude hayupo!

Nishakupa zoezi la kufanya.Ukimaliza niletee majibu hapa.Au ili tuwe fair,pia wewe claim yako kua yupo 100% sio sahihi pia kama unavyosema claim yangu kua hayupo 100%.It means kwamba huenda akawepo au asiwepo hivyo wote tuna 50% chance ya kua right or wrong.Hivyo nyie watu wa dini ni bahatisha ndulute kama sisi wanadamu wengine wote!...Hivyo basi ni watu wa Mungu wa probabilities!Hivyo nyie ni wavuja jasho kama sisi wengine wote,hamna supernatural powers zozote!
Yani hauwezi kuelezea madai yako umekazana kuwazungumzia wenye kudai yupo,umekazana kuzungumzia hujamuona,hebu nieleze basi ni wapi ulipoambia huyo Mungu yupo au ni njia gani ya kuweza kumuona huyo Mungu?

Naona unajiuma uma tu.
 
Nimetaka kuelezwa ni vp unaweza kueneza dini kwa upanga,usifikiri hayo unayoyaeleza siyajui.

Halafu wewe jamaa ni mtu wa jazba kweli.

Mkuu si ukawaulize Waislam na Wakristo wa medival times walifanyaje kuchinja watu waliokua wanakataa kusilimu au kubatizwa!

Huenda ulisoma ila labda hukuelewa!

Rudia kusoma tena utaelewa mkuu!
 
Unapenda kubwatuka tu.

Nimekwambia maafa yanaweza kutokea kwa kutumia njia yeyote ile iwe dini siasa..n.k ndiyo maana nikatoa mfano wa vita mbili za dunia sio kuhalalisha maafa yenye kusababishwa dini bali kukuonesha kuwa maafa yanaweza kufanywa kwa kutumia njia yeyote.

Kwahiyo kwa kusema pia maafa yanaweza kutokea kwa njia zingine kuacha dini ni kutafuta kujifariji au ni nini?

Kubali,watu wa dini waliua watu katika kueneza dini zao kipindi cha medival times,kweli au si kweli?

Je ni vibaya au sio vibaya?

Kua honest tu!
 
Yani hauwezi kuelezea madai yako umekazana kuwazungumzia wenye kudai yupo,umekazana kuzungumzia hujamuona,hebu nieleze basi ni wapi ulipoambia huyo Mungu yupo au ni njia gani ya kuweza kumuona huyo Mungu?

Naona unajiuma uma tu.

Ushahidi wa kwanza ni wewe mwenyewe post za juu uli-claim mungu yupo na nikifa nitakutana nae..

Ushahidi wa pili ni vitabu vyenu vya dini

Ushahidi wa tatu,jibu hili swali,mungu yupo au hayupo?Jibu utakalotoa ni kua yupo,hivyo ushahidi pia...

Njia za kumuona mungu hazipo,hayupo popote,labda mtuambie wapi then tutaenda kumuangalia ili ku-prove your claims!

Kingine,stop contradictions!
 
Kwahiyo kwa kusema pia maafa yanaweza kutokea kwa njia zingine kuacha dini ni kutafuta kujifariji au ni nini?

Kubali,watu wa dini waliua watu katika kueneza dini zao kipindi cha medival times,kweli au si kweli?

Je ni vibaya au sio vibaya?

Kua honest tu!
Nakwambia hivi dini haiwezi kuenezwa kwa kuuwa watu,sio kwamba natetea chochote bali huo ndio ukweli kwamba dini haiwezi kuenea kwa kutumia mabavu ya aina yeyote.

Kama dini zilifanya mauaji sawa hilo ndio la kujadili na si kwamba mauaji yanaweza kueneza dini.
 
Ushahidi wa kwanza ni wewe mwenyewe post za juu uli-claim mungu yupo na nikifa nitakutana nae..

Ushahidi wa pili ni vitabu vyenu vya dini

Ushahidi wa tatu,jibu hili swali,mungu yupo au hayupo?Jibu utakalotoa ni kua yupo,hivyo ushahidi pia...

Njia za kumuona mungu hazipo,hayupo popote,labda mtuambie wapi then tutaenda kumuangalia ili ku-prove your claims!

Kingine,stop contradictions!
Nachokiona hapa ni wewe kupinga wanaodai kuna Mungu ila sioni wewe kueleza ni vp hakuna Mungu.

Unatumia muda mwingi kuonesha wanaodai kuna Mungu hajawahi kumuonesha au kumuona Mungu mara sijui vitabu vyenu,badala kueleza kwanza ni vp hakuna Mungu.

Wanaosema Mungu yupo wanasababu zao zau kusema hivyo na sio kwamba kuna waliyowahi kumuona ndio wakaja kudai yupo,sasa wewe unaedai hayupo umeng'ang'ana hakuna aliyewahi kumuona na kuhalilisha madai yako kwamba hayupo.

Nimekuuliza ulishawahi kumtafuta huko aliko ukamkosa au kuna njia gani ya kumuangalia Mungu ili uweze kujua kama yupo au hayupo? Unajizungusha tu.
 
CHRISTIANITY NI DINI YA AMANI 😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛

BIBLIA HII NDIO ALIYOKUWA NAYO YESU MKONONI AKIIHUBIRI ????

YEHOVA ARUHUSU WATU KULA WATOTO WAO

Kumbukumbu la Torati 28:53

53 Nawe utakula uzao wa tumbo lako mwenyewe, nyama ya wana wako na binti zako aliokupa Bwana, Mungu wako; katika mazingirwa na katika mkazo utakaokazwa na adui zako.

YEHOVA KUWAPAKA MAVI MAKUHANI

Malaki 2:1-3

2 Kama hamtaki kusikia, na kama hamtaki kuitia moyoni, ili kulitukuza jina langu, asema Bwana wa majeshi, basi nitawapelekeeni laana, nami nitazilaani baraka zenu; naam, nimekwisha kuzilaani, kwa sababu hamyatii haya moyoni.

3 Angalieni, nitaikemea mbegu kwa ajili yenu, nami nitapaka nyuso zenu mavi, naam, mavi ya vyakula vyenu; nanyi mtaondolewa pamoja nayo

YESU AWAAMBIA WAFUASI WAKE WANUNUE MAPANGA

Luka 22:36

Akawaambia, Lakini sasa mwenye mfuko na auchukue, na mkoba vivyo hivyo; naye asiye na upanga, na auze joho yake akanunue.

YEHOVA HATAKI BINADAMU AJUE MEMA NA MABAYA

Mwanzo 3:22

Kisha Mwenyezi-Mungu akasema, “Sasa, binadamu amekuwa kama mmoja wetu, anajua mema na mabaya. Lazima kumzuia kula lile tunda la mti wa uhai, kwani akilila ataishi milele!”

YEHOVA AUA HALAIKI NA KUWAACHA BIKRA

HESABU 31:15-17

15 Kwa hiyo Musa akawaambia: “Je, mmemhifadhi hai kila mwanamke?
16 Tazama! Hao ndio, kupitia kwa neno la Balaamu, waliowashawishi wana wa Israeli kukosa uaminifu+ kwa Yehova juu ya lile jambo la Peori, hivi kwamba tauni ikaja juu ya kusanyiko la Yehova.
17 Na sasa ueni kila mtoto wa kiume, na kumuua kila mwanamke ambaye amefanya ngono na mtu kwa kulala na mwanamume

YEHOVA ATAKA WATU WATII SERIKALI HATA KAMA HAIKUCHAGULIWA NA WATU

Warumi 13

13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu.

YEHOVA MUASISI WA MFUMO-DUME

1 timotheo 2:11-12

11 Mwanamke na ajifunze akiwa kimya na kwa kujitiisha kikamili.
12 Simruhusu mwanamke kufundisha, wala kuwa na mamlaka juu ya mwanamume, bali kuwa kimya.

YEHOVA,MUASISI WA UTUMWA

Mwanzo 9:25-27

25 Basi akasema:“Alaaniwe Kanaani.

Na awe mtumwa wa hali ya chini kabisa kwa ndugu zake.”
26 Naye akasema tena:“Abarikiwe Yehova, Mungu wa Shemu,Kanaani na awe mtumwa wake.
27 Mungu na ampe Yafethi nafasi ya kutosha,Akae katika mahema ya Shemu. Kanaani na awe mtumwa wake pia.”

PONOGRAFIA NDANI YA BIBLIA

Ezekieli 23:20

Aliwatamani sana wanaume wenye uume kama wa punda na manii kama farasi dume.”

YEHOVA BINGWA WA KUKOMOA NA KUTESA

Kumbukumbu la torati 28:28-35

28 Yehova atakupiga kwa wazimu na kupoteza uwezo wa kuona na kuchanganyikiwa kwa moyo.
29 Nawe kwa kweli utakuwa mtu anayepapasa-papasa katikati ya mchana, kama vile kipofu anavyopapasa-papasa gizani, nawe hutafanya njia zako zifanikiwe; nawe utakuwa mtu tu ambaye sikuzote hupunjwa na kunyang’anywa, pasipo mtu wa kukuokoa.
30 Utamchumbia mwanamke, lakini mwanamume mwingine atamlala kinguvu.Utajenga nyumba, lakini hutakaa ndani yake. Utapanda shamba la mizabibu, lakini hutaanza kutumia matunda yake.
31 Ng’ombe-dume wako atachinjwa hapo mbele ya macho yako lakini hutakula sehemu yoyote yake. Utanyang’anywa punda wako mbele ya uso wako lakini hatarudi kwako. Kondoo wako watapewa adui zako lakini hutakuwa na mwokozi yeyote.
32 Wana wako na binti zako watapewa watu wengine na macho yako yakitazama na kuwatamani siku zote lakini mikono yako itakuwa haina nguvu.
33 Mazao ya udongo wako na mazao yako yote yataliwa na watu ambao hukuwajua; nawe utakuwa mtu aliyepunjwa na kupondwa sikuzote.
34 Nawe utatiwa wazimu kwa kuona kwa macho yako mambo ambayo utaona.
35 “Yehova atakupiga kwa jipu hatari kwenye magoti yote mawili na miguu yote miwili, ambalo hutaweza kupona, kutoka wayo wa mguu wako mpaka utosi wa kichwa chako

YEHOVA AHAMASISHA WATU WAPIGANE

Kumbukumbu la torati 25:11

11 “Ikiwa wanaume wawili watapambana pamoja, na mke wa mmoja awe amekuja karibu ili kumkomboa mume wake kutoka mkononi mwa yule anayempiga, naye ameunyoosha mkono wake na kumkamata sehemu zake za siri,
12 basi ukate mkono wa mwanamke huyo.

YEHOVA APANDISHA JAZBA,AUA WATOTO 42 PAPO HAPO

2 wafalme 2:23-25

3 Naye akapanda kutoka hapo mpaka Betheli.Alipokuwa akipanda njiani, tazama, palikuwa na wavulana wadogo waliotoka katika jiji, nao wakaanza kumdhihaki, wakazidi kumwambia: “Nenda juu, wewe kipara! Nenda juu, wewe kipara!”
24 Mwishowe akageuka nyuma, akawaona, naye akawalaani katika jina la Yehova. Ndipo dubu-jike wawili wakatoka katika vichaka, wakaanza kuwararua vipande-vipande watoto 42 kati yao.
25 Naye akaendelea kutoka hapo mpaka Mlima Karmeli, na kutoka hapo akarudi Samaria.

YEHOVA APITISHA ADHABU YA KIFO KWA MLEVI

Kumbukumbu la torati 21:18-21

“Ikiwa mtu atakuwa na mwana ambaye ni mkaidi na mwasi, awe hasikilizi sauti ya baba yake au sauti ya mama yake, nao wamemrekebisha bali yeye hawasikilizi,
19 baba yake na mama yake watamshika na kumtoa nje mpaka kwa wanaume wazee wa jiji lake na kwenye lango la mahali pake,
20 nao watawaambia wanaume wazee wa jiji lake, ‘Huyu mwana wetu ni mkaidi na mwasi; hasikilizi sauti yetu, ni mlafi na mlevi.’
21 Ndipo watu wote wa jiji watampiga kwa mawe, naye lazima afe.

YEHOVA ANYANYAPAA VILEMA,WENYE PUA PANA(KAMA zA WATU WEUSI)

Mambo ya walawi 21:17-23

17 “Sema na Haruni, na kumwambia, ‘Mtu yeyote wa uzao wako katika vizazi vyao vyote ambaye ana kasoro+ asije karibu ili kuutoa mkate wa Mungu wake.

18 Ikiwa kuna mtu yeyote mwenye kasoro, asikaribie: mtu aliye kipofu au kilema au mwenye pua pana au mwenye kiungo kimoja kilicho kirefu mno,
19 au mtu aliyevunjika mguu au aliyevunjika mkono,
20 au mwenye kijongo au aliyekonda au mwenye ugonjwa wa macho au mwenye vigaga au mwenye mba au aliyevunjwa mapumbu yake.
21 Mtu yeyote wa uzao wa Haruni kuhani ambaye ana kasoro hatakaribia ili kutoa matoleo ya Yehova kwa njia ya moto. Kuna kasoro ndani yake. Hatakaribia ili kuutoa mkate wa Mungu wake.
22 Anaweza kula mkate wa Mungu wake kutoka kati ya vitu vitakatifu zaidi+ na kutoka kati ya vitu vitakatifu.
23 Hata hivyo, hatakaribia pazia, wala hatakaribia madhabahu, kwa sababu kuna kasoro ndani yake; naye hatapatia unajisi patakatifu pangu, kwa kuwa mimi ni Yehova ninayewatakasa wao.

YEHOVA AFANYA MAUAJI YA HALAIKI,AUA WATOTO WACHANGA HADI WANYAMA

1 samweli 15:3

3 Sasa nenda, umpige Amaleki, umwangamize pamoja na vitu vyote alivyo navyo, usimhurumie, nawe uwaue, mwanamume na mwanamke, mtoto na mtoto anayenyonya, ng’ombe pamoja na kondoo, ngamia pamoja na punda.’

YEHOVA APATA KIU YA DAMU YA BINADAMU

Mwanzo 22:2

Mungu akamwambia, “Mchukue mwanao, Isaka, mwanao wa pekee umpendaye, uende mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa juu ya mlima mmojawapo nitakaokuonesha.”

YESU AWATAKA WATUMWA KUTII MABWANA WAKATILI

1 Petro 2:18

18 Ninyi watumwa, watiini mabwana wenu kwa heshima yote, si wale mabwana walio wapole na wema peke yao, bali hata wale walio wakali.
HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PROF PAULO MTUME WAKE [emoji123] [emoji106] [emoji351] Sema Amen gavana [emoji53]
 
HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PROF PAULO MTUME WAKE [emoji123] [emoji106] [emoji351] Sema Amen gavana [emoji53]

1538657372834.png

1538657476687.png
 
Nachokiona hapa ni wewe kupinga wanaodai kuna Mungu ila sioni wewe kueleza ni vp hakuna Mungu.

Unatumia muda mwingi kuonesha wanaodai kuna Mungu hajawahi kumuonesha au kumuona Mungu mara sijui vitabu vyenu,badala kueleza kwanza ni vp hakuna Mungu.

Wanaosema Mungu yupo wanasababu zao zau kusema hivyo na sio kwamba kuna waliyowahi kumuona ndio wakaja kudai yupo,sasa wewe unaedai hayupo umeng'ang'ana hakuna aliyewahi kumuona na kuhalilisha madai yako kwamba hayupo.

Nimekuuliza ulishawahi kumtafuta huko aliko ukamkosa au kuna njia gani ya kumuangalia Mungu ili uweze kujua kama yupo au hayupo? Unajizungusha tu.

Hakuna mungu maana simuoni..

Ningemuona ningekuambia yupo...

Unataka kunilazimisha kua nimemwona?

Huko aliko wapi?
 
Nakwambia hivi dini haiwezi kuenezwa kwa kuuwa watu,sio kwamba natetea chochote bali huo ndio ukweli kwamba dini haiwezi kuenea kwa kutumia mabavu ya aina yeyote.

Kama dini zilifanya mauaji sawa hilo ndio la kujadili na si kwamba mauaji yanaweza kueneza dini.

Dini haiwezi kuenezwa bila kuua mtu?

Hivi ni wa wapi aisee?

Unabishia wanazuoni waliokusanya historia na historical facts zote kuhusu kuenezwa kwa dini za kikristo na kiislamu kipindi cha middle ages ...tuache kuwakubali wao tuje tukukubali mla vumbi mwenzangu ambae hujawahi fanya utafiti wowote wa kiuana zuoni,umekaa nyuma ya computer yako kama mimi hapa unajisikia kusema tu vitu ambavyo hujavifanyia research yoyote na kupitishwa na competitive academic boards?Who the hell are you?

Kwahiyo historia inatudanganya wewe ndio unatuambia ukweli?

Get the fu.ck outta here!

Dini sio mtu,ni belief system inayom-influence mtu,ni more lethal than mtu him/herself!Unapozunguka eti dini hazifanyi mauaji na kwamba mauaji hayaenezi dini ni empty and unsubstantiated claims as mauaji yanatumika kutisha watu ili u-survive lazima uwe convert,ndio dhumuni la mauaji kwanye christian crusade wars and jihad wars..Unapojifanya unachanganya concepts na kuzipa conclusions kiwete namna hii ni kielelezo hata hujawahi soma historia ya these so called stupid holy wars...

Uliponiambia umezisoma nikaamini ila baada ya hiyo post yako nimeamua nifute kabisa kwamba kuna uwezekano ulisoma hii historia....

Leave all those aside,tuongelee vitu unavyovijua kwa uhakika!
 
Kujua na kuelewa ni tofauti,tusibishane tuishie hapa maana unajua sana hadi umepitiliza.

Usiku mwema.
 
Moja ya nguzo kuu za Uislam

Ni Jihaad
na Jihaad zipo aina nyingi
Napenda kutaja aina 3 tu in sha Allah
1)JIHAAD YA NAFSI(kupambana na nafsi yako katika utiifu)
2)JIHAAD YA KUJILINDA NA MAADUI(Makafiri au Washirikina wanataka kuwavamia Waislam,Basi kuna haja kuu kwa Waislam kujilinda wao na miji yao na familia zao pamoja na Dini yao)
3)JIHAAD YA KUENEZA HAKI(ikiwa kutakuwa na watu ambao,wanauzuia Uislam usifike au kukubalika mbele za Watu,Basi hapa ni lazima kupambana na kikundi hiki)

Allah anajua zaidi
 
Duh!! Izi dini izi
 
Back
Top Bottom