Ndio shida ya dini!
Mna claim things happened 100% kwa kuumbwa na Mungu,how sure are you?Evidence do not point to that claim!
Wanasayansi walao wanajaribu kuelezea possible origin ya ulimwengu na universe kwa ujumla kwa theories mbalimbali.Na uzuri hawaweki 100% kua wapo sahihi,ndio maana wanaendelea na utafiti incase wakifanikiwa ku-prove beyond reasonable doubt ndio inakua Law...Na ukiangalia bado tupo kwenye phase ya kutafuta majawabu lakini watu wa DINI walivyo punguani wana claim 100% Mungu kajenga which is an outlandish claim!
Sijaumbwa,nimezaliwa kwa chain ndefu kama viumbe vingine vyovyote na process yake unaijua vizuri...Mwanadamu yupo duniani miaka bilioni 4...tuna-share common ancestor na chimpanzees hii ni proven na DNA testings....origin ya ancestor wetu ndio wanajaribu kutafuta alianzia wapi..Pia wanajaribu kutafuta majawabu ya life forms ilianzia wapi....Binadamu ni wa juzi tu 4bilions ago,life form is even trillions older....still hakuna mwenye jawabu 100% wanaendelea kufanya testings...wakikosea wanarudia mpaka tutakuja kupata majibu hata kama ni 1bilion years to come!Human being has come a long way!
Scientists have been step by step keeping on making religious people look stupid and they will still keep on doing that!Stupid Greek religious rulers believed earth was flat and even order killings of scientists of that time,the proof prevailed it is indeed spherical...Stupids believed the earth was the centre of the universe,proved that is it just one of the billions of planets and even sun is not that important..Even universe is no longer one,there are multiverses with different times,spaces and realities...What religious have done so far,kuombea watu to a fictional character halafu wanakufa regardlesss!What a waste!