wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,931
- 4,550
Najua anti Israel hamtaki kusikia hii taarifa,kwenu ni ukakasi na kichekesho.
Niseme tu kwamba kati ya watu wasiojitambua hapa Duniani ,waarabu hawajitambui kabisa,japokuwa Iran ni waajemi lakini wana damu ya kiarabu kwa 45%.
Israel ikijua kabisa kuwa ina maadui wengi na imezungukwa na maadui mashariki ya kati,iliamua kutumia shirika lake la kijasusi,shirika hatari na lililotukuka la MOSSAD kuhakikisha kuwa Iran na Saudia wanagombana na kuwa maadui wakubwa.
Penye uzia penyeza rupia,Israel ikatumia ugomvi huo iliouandaa miaka mingi kutengeneza mahusiano haraka na Saudia .
Saudia ina mji mtakatifu wa Mecca kwa ajili ya waislamu wote Duniani kuhiji.
Kumekuwa na vita ya maneno kati ya Iran na Saudia kwa muda mrefu sasa,Iran inatamani kupigana na Saudia, Iran inafadhili kundi la waasi wa Houthi Yemen, waasi hao wamekuwa wakiishambulia Saudia mara nyingi kwa Sababu Yemen na Saudia wamepakana.
Saudia inaunga mkono serikali iliyopinduliwa Yemen.
Lengo la Israel ni kuona Iran ikiwatumia waasi wa Houthi wajichanganye na kuupiga mji mtakatifu wa Mecca, hapo ndo Dunia itasimama!
Mataifa yote ya kiislamu Duniani yataungana na kuitafuna Iran kama mlevi atafunavyo nyama za supu.
Huo ndo utakuwa mwisho wa Iran huku Israel ikiwa inachekelea na kujipongeza kwa mvinyo.
Cheza na vyote,usiche na watu au mtu mwenye akili.