Israel itayakalia mataifa ya kiarabu hivi karibuni

Israel itayakalia mataifa ya kiarabu hivi karibuni

Wao ndio wachafuzi wakuu wa Dunia

Kabla ya miaka mia 3
Dunia ilitulia kwa upande wa maradhi
lkn wao ndio wanawafanya nyie wajinga hasi

Kwa kuwatengenezea maradhi,kisha kuwatupia Waafrika mfano wako

kisha
mkapewa Dawa za Bure kama msaada,kisha mkaibiwa mpaka akili zenu

NA MUNGU KAFANYA NINI?

everybody hear his replies on this!
 
Hhhhhh

Mola atabaki kuwa ni Mola Bro
Mola ashatufunza jema na baya
kisha kaifanya Dunia,kuwa ni nyumba ya mitihani

ana angalia
Ni nani mzuri wa matendo na nani mbaya wa matendo

Ametupa akili,macho nk
Ili tufikiri vilivyo vyema

Mola kakufunza lini?

Ni natural essence kujua zuri na baya na pia wanadamu wenzio walikufunza!

Mungu hajawahi kuja duniani kufunza pumbafu yeyote chochote!

Darasa lake la kufunza watu liko wapi?Anatoza ada kiasi gani?

Huyo mungu ni mweusi au mweupe?

You poeple are crazy!
 
Punguza jazba Baba
Punguza jazba kijana

Naomba ukae chini tena na tena
Ufukirie vzr
nadhani ipo siku na saa,utajirudi

Nifikirie vizuri wakati unaongea uongo?

Wanadamu ndio walikufundisha kujua zuri na baya kutokana na jamii unayokaa!

Sasa mungu alikufundisha hayo lini?

Ulimuona au kuongea nae kweli?

Wanavyofanya wanadamu mema unasema mungu ndio kafanya which is pure lies na wanapofanya makosa unasema shetani kafanya which is pure lies!

Yanini wafanye wanadamu kitu usingizie Mungu na Shetani ndio wamefanya?Why?

Plus Mungu na Shetani ni vitu vya kufikirika,havipo..ni fictional characters..Hakuna anaejua wapo wapi!Hata wewe hujui walipo!
 
Nimehitimisha hayupo,nimekosea kutokana na mtazamo wako,sasa wewe nidhibitishie nimekosea kwa kunionesha ukweli!
Simple kabisa!

Sio kweli napotaka kuoneshwa najua yupoje,hiyo umeniingizia wewe.Sijui alivyo,nataka unioneshe na kunielimisha alivyo!
Yaani nitajuaje yupoje bila kuambiwa alivyo and then nidhibitshe hivyo nilivyoambiwa?Yaani unanisukumizia ujinga unaofikiria kichwani kwako kwamba ndio hivyo nilivyo at the moment..Guess what,well,you are wrong!
Simjui,sijawahi muona,nataka nielezwe alivyo na nioneshwe nijue kila kitu siku hiyo...nadhani unaweza nisaidia!

Yale yale ya kunipa label eti namjua...SIMJUI na sijawahi muona,vyote mnielekeze!
Wyatt humjui na wala hujawahi muona....njiani bila kuelekezwa na mtu huwezi mjua,ndio maana nakuomba unilekeze huyo Mungu na unioneshe tumalize kelele!
Ndiyo maana nimesema kuwa wewe hautaki kujua kwanini watu wanaamini Mungu yupo bali unataka uoneshwe huyo Mungu umuone,kwahiyo nilipokuuliza kwanini unasema hakuna Mungu ukajibu hujawahi kumuona na wala hajawahi kuonekana.

Sasa napokuuliza tena unamjua huyo Mungu hata ukioneshwa uweze kumtambu? Unajibu humjui,sasa utasemaje hayupo bila hata kujua ana sifa gani na anafananaje?
 
Mkuu nataka kujua ndio maana nakwambia nielekeze alipo...Au wewe unamjua/muona/mfahamu?
Tuelekeze..period!
Sasa napokuuliza tena unamjua huyo Mungu hata ukioneshwa uweze kumtambu? Unajibu humjui,sasa utasemaje hayupo bila hata kujua ana sifa gani na anafananaje?
Nitamtambuaje na simfahamu...wewe ndio unifahamishe sasa!Ndio maana nakwambia unioneshe na kunifahamisha!
Kigumu ni nini?
 
Mkuu nataka kujua ndio maana nakwambia nielekeze alipo...Au wewe unamjua/muona/mfahamu?
Tuelekeze..period!

Nitamtambuaje na simfahamu...wewe ndio unifahamishe sasa!Ndio maana nakwambia unioneshe na kunifahamisha!
Kigumu ni nini?
Mbona unaniambia mie nikuoneshe wakati mie ndio nataka kujua kwanini unasema hakuna Mungu? Ina maana mie ningekuwa Agnostic ungesemaje?
 
Kila mmoja anasema lake.

Kuna wanaosema wanamuona nikiwaambia wanioneshe wanapomuonea wanashindwa,kuna wanaosema wanahisi,kuna wanaosema wanaona matendo yake,nk,nk,nk...

Sasa kila tendo wanaloniambia ni la Mungu kumbe kuna mwanadamu alilifanya au ni tukio la natural phenomenon lenye causatives zake scientifically,cha ajabu wana-claim ni matukio ya mungu kafanya wakati no evidence to prove that whatsoever!...

These extraordinary claims needs extraordinary proofs!

Kuona ni njia mojawapo ya milango ya fahamu,ipo mingine 4.Sasa kama sio kuona,labda wanamhisi kwa ngozi,etc,etc.Kwahiyo ninapo refer kuona,infact na-mean njia zote za ufahamu,tafadhali usichukulie kuona tu kwa macho tuuuu....get that!?
Wanaoamini Mungu yupo wanaamini watamuona. Ipo siku watamuona. Na ili wamuone kuna mambo lazima wayapitie.
Kama vile.; kumuamini kwamba yupo. Kuwa mwema. Kufa. Kufufuliwa.

Sasa sijui ulishajaribu hizo hatua kisha ukakuta si kweli?
 
Na kuna proof yeyote ukitenda hayo unamuona?

Idea kua kuna siku mtamuona inatakiwa iwe backed up na tukio lolote so far....until now nothing has ever happened!
Kusema kuna siku utafufuka ni ukichaa wa wazi kabisa..How can you prove scientifically kwamba dead body cells and molecules and organs will come back to life?It is mind boggling to even think about this lunacy!

Kuna mwanadamu yeyote au kiumbe chochote ever on this planet au universe has ever pass through those stages na akamuona huyo fictional character?Na ili tukio la kuona lifanikiwe lazima liwe na place and time....Itakua ni wapi na lini?
 
Wote nyie ni hewa tu...

Hao Miungu wenu wanaotoa ruhusa mtese wanadamu wenzenu sababu kuna kikaratasi kimeandika hivyo ni miungu wa ajabu kabisa...

Waislamu,wakristo,Hindu,etc...wote wapuuzi watupu..

Mnaoamini kuna Mungu kitu ambacho no one can prove exists ni wagonjwa wa akili kabisa...

Achilia mbali kitu ambacho hata hukioni na hakijawahi kua proven kua kipo...hakuna mwanadamu nilienae kila siku anaeweza nishawishi nitende unyama kwa wanadamu wenzangu sababu ya kitu kinachoitwa "mungu"!

Mimi sio ng'ombe au punda au sokwe!
Nice[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Na kuna proof yeyote ukitenda hayo unamuona?

Idea kua kuna siku mtamuona inatakiwa iwe backed up na tukio lolote so far....until now nothing has ever happened!
Kusema kuna siku utafufuka ni ukichaa wa wazi kabisa..How can you prove scientifically kwamba dead body cells and molecules and organs will come back to life?It is mind boggling to even think about this lunacy!

Kuna mwanadamu yeyote au kiumbe chochote ever on this planet au universe has ever pass through those stages na akamuona huyo fictional character?Na ili tukio la kuona lifanikiwe lazima liwe na place and time....Itakua ni wapi na lini?
Sisi tunaoamini hilo halina tatizo,ndio maana hatuhitaji proof zako. Pia Proof za kisayansi kwani tuna njia zetu za kuthibitisha.
Hivi mfano upo Dar unataka kwenda Ars. Kaja mtu kakwambia daraja la wami limevunjika. Kwakuwa wewe kama upo Dar utakanusha kwamba daraja halijavunjika,au utatafuta kwanza uthibitisho ?
 
Nyie mnaoamini sina shida na nyie...nyie tayari mna imani zetu..

Ninachokichukia ni wale wanaokuja nyuma ambao hawajaamini mnapowalazimisha waamini mnachokiamini...Those are the ones I can talk to and make them think twice before kuamini bila reasoning...

Wewe na wenzako mnaotoka unga wa kuamini sina haja na nyie!tayari mna yenu,kuwabadili is the waste of time!

Mfano wa daraja ni wa kitoto sana maana determining factor ya kujua ukweli is just TIME!Soon utaliona na kujua lipoje!

Tatizo nyie time kwenu ni infinity hivo ni useless,mnabkia na imani tu...Imani zingine ni lethal in such a way zinaleta maumivu kwa wanadamu...Thats ridiculous !
 
Kama unataka kuamini kila kitu kama kipo mpaka ukione kwa macho nijibu maswali yafuatayo

1- uliwahi kuuona upepo? Dat means huamin kama upo
2- uliwahi kuona uchawi? So.haupo?
3- Uliwahi kuona uchi wa mamaako? Je haupo?

Tuache tuamini kuwa MUNGU yupo japo hatujawahi kumuona.
Unaona maswali ya kitoto sana hayo:

1.Upepo unapimwa,kuna kifaa maalumu cha kupima kinaitwa ANEMOMETER...ukitaka kutumia macho tu tunaangalia effect inayoletwa kwenye physical objects na huo upepo..Upepo ni physical quantity na ni measurable.Kama ilivyo time,space,volume,weight,etc..

2.Uchawi haupo.....mchawi na wewe hamna tofauti,sema mmoja anasali mchana na mwingine usiku.Anaeamini Mungu anaamini Shetani in reverse.Yaani,anaemini Mwanga anaamini pia kuna giza.All you two are the same motherfuckers!Siamini vyote hivyo.

3.Uchi wa mama yangu sijawahi uona,kuna waliouna kama baba yangu,na maboyfriend zake,hata madaktari wake....plus kwa kunizaa tu kuna-prove anao uchi...sasa sijui unataka nini wewe?...Kwa utamaduni wa ninakotoka,sitakiwi kuuona uchi wa mzazi wangu,ila kuna jamii zingine duniani zinaruhusiwa,wanaziona,hivyo nyuchi za wazazi zipo...

Amini utakacho mzee,tatizo ni hao miungu wenu walivyo washezi kabisa wanasema katese wanadamu wengine....na wewe ulivyojuha unafurahia Mu-israel kutesa wanadamu wengine sababu eti kuna some fictional character on the clouds aliesema ruksa kutesa.....

Dini has corrupted all your brains and rational thinking has been blocked which is very very dangerous for the peace of this world!
Kiukweli sikutarajia kama ungechomoka.. [emoji23] [emoji23]
 
Tatizo la Israel ni uwepo wa majews wengi sana Rusia,Marekani, na Iran pia. matokeo yake siri zote zinawarudia
 
Back
Top Bottom