Israel itayakalia mataifa ya kiarabu hivi karibuni

CHRISTIANITY NI DINI YA AMANI 😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛

BIBLIA HII NDIO ALIYOKUWA NAYO YESU MKONONI AKIIHUBIRI ????

YEHOVA ARUHUSU WATU KULA WATOTO WAO

Kumbukumbu la Torati 28:53

53 Nawe utakula uzao wa tumbo lako mwenyewe, nyama ya wana wako na binti zako aliokupa Bwana, Mungu wako; katika mazingirwa na katika mkazo utakaokazwa na adui zako.

YEHOVA KUWAPAKA MAVI MAKUHANI

Malaki 2:1-3

2 Kama hamtaki kusikia, na kama hamtaki kuitia moyoni, ili kulitukuza jina langu, asema Bwana wa majeshi, basi nitawapelekeeni laana, nami nitazilaani baraka zenu; naam, nimekwisha kuzilaani, kwa sababu hamyatii haya moyoni.

3 Angalieni, nitaikemea mbegu kwa ajili yenu, nami nitapaka nyuso zenu mavi, naam, mavi ya vyakula vyenu; nanyi mtaondolewa pamoja nayo

YESU AWAAMBIA WAFUASI WAKE WANUNUE MAPANGA

Luka 22:36

Akawaambia, Lakini sasa mwenye mfuko na auchukue, na mkoba vivyo hivyo; naye asiye na upanga, na auze joho yake akanunue.

YEHOVA HATAKI BINADAMU AJUE MEMA NA MABAYA

Mwanzo 3:22

Kisha Mwenyezi-Mungu akasema, “Sasa, binadamu amekuwa kama mmoja wetu, anajua mema na mabaya. Lazima kumzuia kula lile tunda la mti wa uhai, kwani akilila ataishi milele!”

YEHOVA AUA HALAIKI NA KUWAACHA BIKRA

HESABU 31:15-17

15 Kwa hiyo Musa akawaambia: “Je, mmemhifadhi hai kila mwanamke?
16 Tazama! Hao ndio, kupitia kwa neno la Balaamu, waliowashawishi wana wa Israeli kukosa uaminifu+ kwa Yehova juu ya lile jambo la Peori, hivi kwamba tauni ikaja juu ya kusanyiko la Yehova.
17 Na sasa ueni kila mtoto wa kiume, na kumuua kila mwanamke ambaye amefanya ngono na mtu kwa kulala na mwanamume

YEHOVA ATAKA WATU WATII SERIKALI HATA KAMA HAIKUCHAGULIWA NA WATU

Warumi 13

13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu.

YEHOVA MUASISI WA MFUMO-DUME

1 timotheo 2:11-12

11 Mwanamke na ajifunze akiwa kimya na kwa kujitiisha kikamili.
12 Simruhusu mwanamke kufundisha, wala kuwa na mamlaka juu ya mwanamume, bali kuwa kimya.

YEHOVA,MUASISI WA UTUMWA

Mwanzo 9:25-27

25 Basi akasema:“Alaaniwe Kanaani.

Na awe mtumwa wa hali ya chini kabisa kwa ndugu zake.”
26 Naye akasema tena:“Abarikiwe Yehova, Mungu wa Shemu,Kanaani na awe mtumwa wake.
27 Mungu na ampe Yafethi nafasi ya kutosha,Akae katika mahema ya Shemu. Kanaani na awe mtumwa wake pia.”

PONOGRAFIA NDANI YA BIBLIA

Ezekieli 23:20

Aliwatamani sana wanaume wenye uume kama wa punda na manii kama farasi dume.”

YEHOVA BINGWA WA KUKOMOA NA KUTESA

Kumbukumbu la torati 28:28-35

28 Yehova atakupiga kwa wazimu na kupoteza uwezo wa kuona na kuchanganyikiwa kwa moyo.
29 Nawe kwa kweli utakuwa mtu anayepapasa-papasa katikati ya mchana, kama vile kipofu anavyopapasa-papasa gizani, nawe hutafanya njia zako zifanikiwe; nawe utakuwa mtu tu ambaye sikuzote hupunjwa na kunyang’anywa, pasipo mtu wa kukuokoa.
30 Utamchumbia mwanamke, lakini mwanamume mwingine atamlala kinguvu.Utajenga nyumba, lakini hutakaa ndani yake. Utapanda shamba la mizabibu, lakini hutaanza kutumia matunda yake.
31 Ng’ombe-dume wako atachinjwa hapo mbele ya macho yako lakini hutakula sehemu yoyote yake. Utanyang’anywa punda wako mbele ya uso wako lakini hatarudi kwako. Kondoo wako watapewa adui zako lakini hutakuwa na mwokozi yeyote.
32 Wana wako na binti zako watapewa watu wengine na macho yako yakitazama na kuwatamani siku zote lakini mikono yako itakuwa haina nguvu.
33 Mazao ya udongo wako na mazao yako yote yataliwa na watu ambao hukuwajua; nawe utakuwa mtu aliyepunjwa na kupondwa sikuzote.
34 Nawe utatiwa wazimu kwa kuona kwa macho yako mambo ambayo utaona.
35 “Yehova atakupiga kwa jipu hatari kwenye magoti yote mawili na miguu yote miwili, ambalo hutaweza kupona, kutoka wayo wa mguu wako mpaka utosi wa kichwa chako

YEHOVA AHAMASISHA WATU WAPIGANE

Kumbukumbu la torati 25:11

11 “Ikiwa wanaume wawili watapambana pamoja, na mke wa mmoja awe amekuja karibu ili kumkomboa mume wake kutoka mkononi mwa yule anayempiga, naye ameunyoosha mkono wake na kumkamata sehemu zake za siri,
12 basi ukate mkono wa mwanamke huyo.

YEHOVA APANDISHA JAZBA,AUA WATOTO 42 PAPO HAPO

2 wafalme 2:23-25

3 Naye akapanda kutoka hapo mpaka Betheli.Alipokuwa akipanda njiani, tazama, palikuwa na wavulana wadogo waliotoka katika jiji, nao wakaanza kumdhihaki, wakazidi kumwambia: “Nenda juu, wewe kipara! Nenda juu, wewe kipara!”
24 Mwishowe akageuka nyuma, akawaona, naye akawalaani katika jina la Yehova. Ndipo dubu-jike wawili wakatoka katika vichaka, wakaanza kuwararua vipande-vipande watoto 42 kati yao.
25 Naye akaendelea kutoka hapo mpaka Mlima Karmeli, na kutoka hapo akarudi Samaria.

YEHOVA APITISHA ADHABU YA KIFO KWA MLEVI

Kumbukumbu la torati 21:18-21

“Ikiwa mtu atakuwa na mwana ambaye ni mkaidi na mwasi, awe hasikilizi sauti ya baba yake au sauti ya mama yake, nao wamemrekebisha bali yeye hawasikilizi,
19 baba yake na mama yake watamshika na kumtoa nje mpaka kwa wanaume wazee wa jiji lake na kwenye lango la mahali pake,
20 nao watawaambia wanaume wazee wa jiji lake, ‘Huyu mwana wetu ni mkaidi na mwasi; hasikilizi sauti yetu, ni mlafi na mlevi.’
21 Ndipo watu wote wa jiji watampiga kwa mawe, naye lazima afe.

YEHOVA ANYANYAPAA VILEMA,WENYE PUA PANA(KAMA zA WATU WEUSI)

Mambo ya walawi 21:17-23

17 “Sema na Haruni, na kumwambia, ‘Mtu yeyote wa uzao wako katika vizazi vyao vyote ambaye ana kasoro+ asije karibu ili kuutoa mkate wa Mungu wake.

18 Ikiwa kuna mtu yeyote mwenye kasoro, asikaribie: mtu aliye kipofu au kilema au mwenye pua pana au mwenye kiungo kimoja kilicho kirefu mno,
19 au mtu aliyevunjika mguu au aliyevunjika mkono,
20 au mwenye kijongo au aliyekonda au mwenye ugonjwa wa macho au mwenye vigaga au mwenye mba au aliyevunjwa mapumbu yake.
21 Mtu yeyote wa uzao wa Haruni kuhani ambaye ana kasoro hatakaribia ili kutoa matoleo ya Yehova kwa njia ya moto. Kuna kasoro ndani yake. Hatakaribia ili kuutoa mkate wa Mungu wake.
22 Anaweza kula mkate wa Mungu wake kutoka kati ya vitu vitakatifu zaidi+ na kutoka kati ya vitu vitakatifu.
23 Hata hivyo, hatakaribia pazia, wala hatakaribia madhabahu, kwa sababu kuna kasoro ndani yake; naye hatapatia unajisi patakatifu pangu, kwa kuwa mimi ni Yehova ninayewatakasa wao.

YEHOVA AFANYA MAUAJI YA HALAIKI,AUA WATOTO WACHANGA HADI WANYAMA

1 samweli 15:3

3 Sasa nenda, umpige Amaleki, umwangamize pamoja na vitu vyote alivyo navyo, usimhurumie, nawe uwaue, mwanamume na mwanamke, mtoto na mtoto anayenyonya, ng’ombe pamoja na kondoo, ngamia pamoja na punda.’

YEHOVA APATA KIU YA DAMU YA BINADAMU

Mwanzo 22:2

Mungu akamwambia, “Mchukue mwanao, Isaka, mwanao wa pekee umpendaye, uende mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa juu ya mlima mmojawapo nitakaokuonesha.”

YESU AWATAKA WATUMWA KUTII MABWANA WAKATILI

1 Petro 2:18

18 Ninyi watumwa, watiini mabwana wenu kwa heshima yote, si wale mabwana walio wapole na wema peke yao, bali hata wale walio wakali.
 
Nimeshangaa tu mungu wenu kuiteua nchi ya Israel kuwa taifa lake.Lakini ndio wauwaji wakuu,mashoga,waongo mfano wa uongo wao ni kudai Yesu ni mtoto wa zinaa..Sasa uteule wao ni upi?Huyo mungu wao ni dhaifu sana?
undefinedmbaya zaidi waisrael walimkataa huyu mungu,ukisoma ezekiel ndo utaona mapovu namna anavyofoka na kujiapiza kuwashughulikia baada ya kumkataa,hawakupata kumkubali katika kipindi chote kuanzia saul hadi kipindi cha ezra wakati sasa waliporudi toka babylon
 
Kila Lugha,ina utamaduni wake,ukisoma tafsiri ya Lugha moja kwenda lugha nyingine,inatakiwa ujuwe utamaduni wa lugha husika,ndio utaweza kuelewa Lugha iliyotafsiriwa.Kwa mfano katika utamaduni wa kizungu,mwanamke anaoa na mwanamme anaoa,katika utamaduni wetu wakiafrika,mwanamme anaoa,na mwanamke anaolewa.Unapokuta sentesi ya kiingereza ikisema "Marry will you marry me?", ukitafsiri kwa kiswahili,"Je Marry utanioa?", haitaleta maana inayoeleweka kwa asiyejua kama maneno hayo,yamtafsiriwa kutoka katika Lugha yenye utamaduni wa mwanamke pia anaoa.Na ndio Lugha ya kiarabu,ina utamaduni wake,na ndio Lugha iliyoandikwa Qur'an,ili usome tafsiri ya Qur'an,ki usahihi inatakiwa ujuwe utamaduni wa lugha ya kiarabu.

Nenda jukwa la lugha cholo ukisha jifunza njoo ujibu [emoji12] umekuja kihivyo kujificha [emoji38] [emoji38] [emoji38]WEWE UNAMUONA mtu anamla mwenzie mvutu [emoji15] kwa mila na lugha ya kiarababu UNAONA WANAVUA SAMAKI [emoji38] [emoji38] [emoji38] halafu baba yake kasimu amesha tuambia [emoji117]
IMG_20181003_191819_343.jpg
nimekumiss cholo [emoji39]
 
Attachments

  • Screenshot_20181003-190649.jpg
    Screenshot_20181003-190649.jpg
    46.9 KB · Views: 26
undefinedmbaya zaidi waisrael walimkataa huyu mungu,ukisoma ezekiel ndo utaona mapovu namna anavyofoka na kujiapiza kuwashughulikia baada ya kumkataa,hawakupata kumkubali katika kipindi chote kuanzia saul hadi kipindi cha ezra wakati sasa waliporudi toka babylon
Hata hao hao Wayahudi walimkataa mtume wa Allah kule macca wakawa wanamcheka sana na vistory vyake alivyokuwa anafabricate taurat.Wakimwambia fanya basi muujiza ujiauthenticate kuwa wewe ni nabii anabaki anapigapiga maneno.Mbaya zaidi pale alipowaambia kuwa ameswalisha manabii Jerusalemu kwenye hekalu wakacheka sana manake kipindi hicho hekalu halikuwepo lilikuwa limebomolewa.Jamaa kuona vistori anavyopewa na Waraqah na Khadijah vinapingwa akaamua awachinje ili kupoteza ushahidi.Nabii gani anayemwambia nabii aeneze dini kwa kuvamia misafara ya biashara ya wanaume wanaofanya kazi na hapo hapo anashushiwa haya apewe robo ya nyara.Ila Allah na mwamedi walikuwa wajanja sana,ikitokea fursa ya kuwanufaisha tayari aya inashuka.nabii wa allah akifumaniwa anakula hausigeli tayari haya inashuka,akitamani mke wa mwanaye wa kambo tayari haya inashuka.allah is not Yhwh and Muhammad is a prophet of doom!
 
undefinedsina mda wa kupitia fungu kwa fungu,na wala si mtaalamu kivile lakini koran 9:30 haisemi kama hiyo propaganda yako inadaiundefinedundefinedQuran 9:30 “And the Jews say: Ezra is the son of Allah; and the Christians say: The Messiah is the son of Allah; these are the words of their mouths; they imitate the saying of those who disbelieved before; may Allah destroy them; how they are turned away!”

Uwe unaangalia maudhui! kwa Taarifa hiyo ayat tawba.30 imemfunua allah kwamba sio MUNGU MWENYEZI...
 
In what sense?,undefinedmimi uhakika nilio nao mungu walioabudu kina yakobo ni El,undefinedhuyu jehova ni ubunifu wa baadae sana,undefinedna el hakuwa mungu wa waisrael pekee,abrahamu alikuta watu wanamuabudu el pale caanan,na hata kuhani mkuu pale aliitwa Malkizedek na abrahamu alikiri kumuabudu mungu wa Malik,undefinedhata biblia inakiri kuwa abrahamu hakupata kumjua jehova,kwamba eti alijulikana kwa jina jingine,lakini bible hiyohiyo inadai jehova ni mwana wa mungu Elloh
 
Nenda jukwa la lugha cholo ukisha jifunza njoo ujibu [emoji12] umekuja kihivyo kujificha [emoji38] [emoji38] [emoji38]WEWE UNAMUONA mtu anamla mwenzie mvutu [emoji15] kwa mila na lugha ya kiarababu UNAONA WANAVUA SAMAKI [emoji38] [emoji38] [emoji38] halafu baba yake kasimu amesha tuambia [emoji117] View attachment 885817 nimekumiss cholo [emoji39]

CHRISTIANITY NI DINI YA AMANI 😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛

BIBLIA HII NDIO ALIYOKUWA NAYO YESU MKONONI AKIIHUBIRI ????

YEHOVA ARUHUSU WATU KULA WATOTO WAO

Kumbukumbu la Torati 28:53

53 Nawe utakula uzao wa tumbo lako mwenyewe, nyama ya wana wako na binti zako aliokupa Bwana, Mungu wako; katika mazingirwa na katika mkazo utakaokazwa na adui zako.

YEHOVA KUWAPAKA MAVI MAKUHANI

Malaki 2:1-3

2 Kama hamtaki kusikia, na kama hamtaki kuitia moyoni, ili kulitukuza jina langu, asema Bwana wa majeshi, basi nitawapelekeeni laana, nami nitazilaani baraka zenu; naam, nimekwisha kuzilaani, kwa sababu hamyatii haya moyoni.

3 Angalieni, nitaikemea mbegu kwa ajili yenu, nami nitapaka nyuso zenu mavi, naam, mavi ya vyakula vyenu; nanyi mtaondolewa pamoja nayo

YESU AWAAMBIA WAFUASI WAKE WANUNUE MAPANGA

Luka 22:36

Akawaambia, Lakini sasa mwenye mfuko na auchukue, na mkoba vivyo hivyo; naye asiye na upanga, na auze joho yake akanunue.

YEHOVA HATAKI BINADAMU AJUE MEMA NA MABAYA

Mwanzo 3:22

Kisha Mwenyezi-Mungu akasema, “Sasa, binadamu amekuwa kama mmoja wetu, anajua mema na mabaya. Lazima kumzuia kula lile tunda la mti wa uhai, kwani akilila ataishi milele!”

YEHOVA AUA HALAIKI NA KUWAACHA BIKRA

HESABU 31:15-17

15 Kwa hiyo Musa akawaambia: “Je, mmemhifadhi hai kila mwanamke?
16 Tazama! Hao ndio, kupitia kwa neno la Balaamu, waliowashawishi wana wa Israeli kukosa uaminifu+ kwa Yehova juu ya lile jambo la Peori, hivi kwamba tauni ikaja juu ya kusanyiko la Yehova.
17 Na sasa ueni kila mtoto wa kiume, na kumuua kila mwanamke ambaye amefanya ngono na mtu kwa kulala na mwanamume

YEHOVA ATAKA WATU WATII SERIKALI HATA KAMA HAIKUCHAGULIWA NA WATU

Warumi 13

13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu.

YEHOVA MUASISI WA MFUMO-DUME

1 timotheo 2:11-12

11 Mwanamke na ajifunze akiwa kimya na kwa kujitiisha kikamili.
12 Simruhusu mwanamke kufundisha, wala kuwa na mamlaka juu ya mwanamume, bali kuwa kimya.

YEHOVA,MUASISI WA UTUMWA

Mwanzo 9:25-27

25 Basi akasema:“Alaaniwe Kanaani.

Na awe mtumwa wa hali ya chini kabisa kwa ndugu zake.”
26 Naye akasema tena:“Abarikiwe Yehova, Mungu wa Shemu,Kanaani na awe mtumwa wake.
27 Mungu na ampe Yafethi nafasi ya kutosha,Akae katika mahema ya Shemu. Kanaani na awe mtumwa wake pia.”

PONOGRAFIA NDANI YA BIBLIA

Ezekieli 23:20

Aliwatamani sana wanaume wenye uume kama wa punda na manii kama farasi dume.”

YEHOVA BINGWA WA KUKOMOA NA KUTESA

Kumbukumbu la torati 28:28-35

28 Yehova atakupiga kwa wazimu na kupoteza uwezo wa kuona na kuchanganyikiwa kwa moyo.
29 Nawe kwa kweli utakuwa mtu anayepapasa-papasa katikati ya mchana, kama vile kipofu anavyopapasa-papasa gizani, nawe hutafanya njia zako zifanikiwe; nawe utakuwa mtu tu ambaye sikuzote hupunjwa na kunyang’anywa, pasipo mtu wa kukuokoa.
30 Utamchumbia mwanamke, lakini mwanamume mwingine atamlala kinguvu.Utajenga nyumba, lakini hutakaa ndani yake. Utapanda shamba la mizabibu, lakini hutaanza kutumia matunda yake.
31 Ng’ombe-dume wako atachinjwa hapo mbele ya macho yako lakini hutakula sehemu yoyote yake. Utanyang’anywa punda wako mbele ya uso wako lakini hatarudi kwako. Kondoo wako watapewa adui zako lakini hutakuwa na mwokozi yeyote.
32 Wana wako na binti zako watapewa watu wengine na macho yako yakitazama na kuwatamani siku zote lakini mikono yako itakuwa haina nguvu.
33 Mazao ya udongo wako na mazao yako yote yataliwa na watu ambao hukuwajua; nawe utakuwa mtu aliyepunjwa na kupondwa sikuzote.
34 Nawe utatiwa wazimu kwa kuona kwa macho yako mambo ambayo utaona.
35 “Yehova atakupiga kwa jipu hatari kwenye magoti yote mawili na miguu yote miwili, ambalo hutaweza kupona, kutoka wayo wa mguu wako mpaka utosi wa kichwa chako

YEHOVA AHAMASISHA WATU WAPIGANE

Kumbukumbu la torati 25:11

11 “Ikiwa wanaume wawili watapambana pamoja, na mke wa mmoja awe amekuja karibu ili kumkomboa mume wake kutoka mkononi mwa yule anayempiga, naye ameunyoosha mkono wake na kumkamata sehemu zake za siri,
12 basi ukate mkono wa mwanamke huyo.

YEHOVA APANDISHA JAZBA,AUA WATOTO 42 PAPO HAPO

2 wafalme 2:23-25

3 Naye akapanda kutoka hapo mpaka Betheli.Alipokuwa akipanda njiani, tazama, palikuwa na wavulana wadogo waliotoka katika jiji, nao wakaanza kumdhihaki, wakazidi kumwambia: “Nenda juu, wewe kipara! Nenda juu, wewe kipara!”
24 Mwishowe akageuka nyuma, akawaona, naye akawalaani katika jina la Yehova. Ndipo dubu-jike wawili wakatoka katika vichaka, wakaanza kuwararua vipande-vipande watoto 42 kati yao.
25 Naye akaendelea kutoka hapo mpaka Mlima Karmeli, na kutoka hapo akarudi Samaria.

YEHOVA APITISHA ADHABU YA KIFO KWA MLEVI

Kumbukumbu la torati 21:18-21

“Ikiwa mtu atakuwa na mwana ambaye ni mkaidi na mwasi, awe hasikilizi sauti ya baba yake au sauti ya mama yake, nao wamemrekebisha bali yeye hawasikilizi,
19 baba yake na mama yake watamshika na kumtoa nje mpaka kwa wanaume wazee wa jiji lake na kwenye lango la mahali pake,
20 nao watawaambia wanaume wazee wa jiji lake, ‘Huyu mwana wetu ni mkaidi na mwasi; hasikilizi sauti yetu, ni mlafi na mlevi.’
21 Ndipo watu wote wa jiji watampiga kwa mawe, naye lazima afe.

YEHOVA ANYANYAPAA VILEMA,WENYE PUA PANA(KAMA zA WATU WEUSI)

Mambo ya walawi 21:17-23

17 “Sema na Haruni, na kumwambia, ‘Mtu yeyote wa uzao wako katika vizazi vyao vyote ambaye ana kasoro+ asije karibu ili kuutoa mkate wa Mungu wake.

18 Ikiwa kuna mtu yeyote mwenye kasoro, asikaribie: mtu aliye kipofu au kilema au mwenye pua pana au mwenye kiungo kimoja kilicho kirefu mno,
19 au mtu aliyevunjika mguu au aliyevunjika mkono,
20 au mwenye kijongo au aliyekonda au mwenye ugonjwa wa macho au mwenye vigaga au mwenye mba au aliyevunjwa mapumbu yake.
21 Mtu yeyote wa uzao wa Haruni kuhani ambaye ana kasoro hatakaribia ili kutoa matoleo ya Yehova kwa njia ya moto. Kuna kasoro ndani yake. Hatakaribia ili kuutoa mkate wa Mungu wake.
22 Anaweza kula mkate wa Mungu wake kutoka kati ya vitu vitakatifu zaidi+ na kutoka kati ya vitu vitakatifu.
23 Hata hivyo, hatakaribia pazia, wala hatakaribia madhabahu, kwa sababu kuna kasoro ndani yake; naye hatapatia unajisi patakatifu pangu, kwa kuwa mimi ni Yehova ninayewatakasa wao.

YEHOVA AFANYA MAUAJI YA HALAIKI,AUA WATOTO WACHANGA HADI WANYAMA

1 samweli 15:3

3 Sasa nenda, umpige Amaleki, umwangamize pamoja na vitu vyote alivyo navyo, usimhurumie, nawe uwaue, mwanamume na mwanamke, mtoto na mtoto anayenyonya, ng’ombe pamoja na kondoo, ngamia pamoja na punda.’

YEHOVA APATA KIU YA DAMU YA BINADAMU

Mwanzo 22:2

Mungu akamwambia, “Mchukue mwanao, Isaka, mwanao wa pekee umpendaye, uende mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa juu ya mlima mmojawapo nitakaokuonesha.”

YESU AWATAKA WATUMWA KUTII MABWANA WAKATILI

1 Petro 2:18

18 Ninyi watumwa, watiini mabwana wenu kwa heshima yote, si wale mabwana walio wapole na wema peke yao, bali hata wale walio wakali.
 
Hahaha...unaogopa kujadili uchi wazazi!!!!

I knew alipokua anaelekea....

Ukiangalia post zangu zinazofuata nilikuja kuwaambia nimeuona kwa macho yangu na uchi sawa ni wanawake wengine kama wanavyoona za ma-GF wao..Hivyo nina uhakika..

Nikawaambia what else wanataka????

Wakala kimya.....

These people are insane...Halafu yanajiita mijitu ya Mungu???What a shame!
 
Unaona maswali ya kitoto sana hayo:

1.Upepo unapimwa,kuna kifaa maalumu cha kupima kinaitwa ANEMOMETER...ukitaka kutumia macho tu tunaangalia effect inayoletwa kwenye physical objects na huo upepo..Upepo ni physical quantity na ni measurable.Kama ilivyo time,space,volume,weight,etc..

2.Uchawi haupo.....mchawi na wewe hamna tofauti,sema mmoja anasali mchana na mwingine usiku.Anaeamini Mungu anaamini Shetani in reverse.Yaani,anaemini Mwanga anaamini pia kuna giza.All you two are the same motherfuckers!Siamini vyote hivyo.

3.Uchi wa mama yangu sijawahi uona,kuna waliouna kama baba yangu,na maboyfriend zake,hata madaktari wake....plus kwa kunizaa tu kuna-prove anao uchi...sasa sijui unataka nini wewe?...Kwa utamaduni wa ninakotoka,sitakiwi kuuona uchi wa mzazi wangu,ila kuna jamii zingine duniani zinaruhusiwa,wanaziona,hivyo nyuchi za wazazi zipo...

Amini utakacho mzee,tatizo ni hao miungu wenu walivyo washezi kabisa wanasema katese wanadamu wengine....na wewe ulivyojuha unafurahia Mu-israel kutesa wanadamu wengine sababu eti kuna some fictional character on the clouds aliesema ruksa kutesa.....

Dini has corrupted all your brains and rational thinking has been blocked which is very very dangerous for the peace of this world!
ahahahahha ipo kazi kweli kweli
 
I knew alipokua anaelekea....

Ukiangalia post zangu zinazofuata nilikuja kuwaambia nimeuona kwa macho yangu na uchi sawa ni wanawake wengine kama wanavyoona za ma-GF wao..Hivyo nina uhakika..

Nikawaambia what else wanataka????

Wakala kimya.....

These people are insane...Halafu yanajiita mijitu ya Mungu???What a shame!
Tatizo labda ni wewe mkuu,maana wewe hauheshimu imani zao japo hauziamini. Kwahiyo imekuwa kama umeanzisha ugomvi halafu unamchagulia mtu silaha.
 
Tulikua kwenye ugomvi kwani?

Ndio kwanza nakusikia wewe unasema..

Hivi watu wakiwa na mjadala kuhusu kitu fulani ni ugomvi kweli?

Mzee,it is only right kutukana na kulaani kitu chochote chenye kuletea wanadamu maumivu...

Mungu gani anaruhusu watu fulani wakatawale watu fulani?Huyo Mungu ni mwehu...

Na nimetukana fictional character called Mungu sio mwanadamu mwenzangu,understand that mzee....

Sasa kama mtu anatukana fictional character halafu mwanadamu anaumia ni hatari sana....Ina maana ninaweza nimtukane hata mama yake asiumie sana ila nikitukana Mungu anaweza hata niua...How can u kill your fellow human being kwa kutukana kitu ambacho hakipo?

This is nonsense!
 
Hoja yangu ni kuheshimu imani ya mtu hata kama wewe hauamini,hivyo ndio tunavyoishi,sasa wewe umeanzisha matusi kwa kile ambacho watu wanakihehimu ila watu walipojibu mashambulizi unashangaa watu kujadili uchi wa wazazi wako.

Jinsi ambavyo wewe unawachukulia wazazi wako usifikiri na wengine huwachukulia hivyohivyo wazazi wako wewe na ndiyo maana huyo jamaa ameweza kukwambia hivyo kwa sababu sio wazazi wake kama ambavyo wewe unavyomtukana Mungu.

Unaweza kujadili bila kumtukana Mungu,na hata hayo ya uchi za wazazi wako yasingekuja.
 
TZ Mbongo unafeli sana mwana......

Hua hatuheshimu imani ya mtu tu.....Tunaheshimu tu mtu na imani yake iwapo inaheshimu "UBINADAMU" kwanza....

We don give a damn na imani ya mtu kama haiheshimu mwanadamu kwanza....Mwanadamu asisababishiwe maumivu period!

Kwanini imani ya Kibwetere imezuiwa?Sababu haiheshimu uhai wa mwanadamu....haiwezekani eti imani inayochochea maumivu kwa wanadamu na ustawi wao iachwe,huo ni ukichaa!

I dont give a f**ck about uchi wa mzazi wangu or anybody else...afterall wote sisi ni wanyama basically sema tu it happened tuna biggest brain volume per body mass than any other animal...Ila tuna tendency zote za wanyama tena sisi tunazifanya even more efficient than other animals!

Mungu ni mpumbavu,sahaulifu,lenye kubadili mawazo,haramia,katili,linywa damu za wanyama,baguzi,litoa laana,lisilo na upendo,lina wivu,lionevu,lichawi,lilimleta shetani,liandishi la vitabu,lilishindwa kujenga movie wala documentary maana lilikua halina technolojia kipindi hicho,bure kabisa,etc......jitu la ajabu kabisa..na bado wanadamu wanalifata...cha ajabu halipo,halijawahi kuongea au kuonekana na yeyote,ever.......

Sasa,nitukane sana...cha ajabu ningekua karibu na wewe as of now ungeniua sababu nimetukana kitu ambacho hakipo as shown above.......

you people a dangerous to this planet kabisa!
 
Nakuona kamanda ujavyowapelekesha, RESPECT BRO.
undefinedexcatly,undefinedAbraham,Isaack,yakobo,yesu,hawamjui jehova,undefinedushahidi kuwa El alikuwa ni mungu wa jamii mbalimbali hapo caanan upo kihistory na pia mfano kuna wafalme kama Hazael,alikuwa king wa damusca,undefinedAbimaEl alikuwa mtawala wa wafilist,undefinedishmael alikuwa mtoto mkubwa wa Abraham,kwahiyo jina la El lilijulikana kwa jamii yote likiimanisha mungu,undefinedhata wakati Yesu anakaribia kukata roho,alimwita Mungu wake El na sio jehova,na katika bible yote hakuna sehemu yesu anamrefer mungu kama jehova.undefinedEl=Elloh=Allah
 
TZ Mbongo unafeli sana mwana......

Hua hatuheshimu imani ya mtu tu.....Tunaheshimu tu mtu na imani yake iwapo inaheshimu "UBINADAMU" kwanza....

We don give a damn na imani ya mtu kama haiheshimu mwanadamu kwanza....Mwanadamu asisababishiwe maumivu period!

Kwanini imani ya Kibwetere imezuiwa?Sababu haiheshimu uhai wa mwanadamu....haiwezekani eti imani inayochochea maumivu kwa wanadamu na ustawi wao iachwe,huo ni ukichaa!

I dont give a f**ck about uchi wa mzazi wangu or anybody else...afterall wote sisi ni wanyama basically sema tu it happened tuna biggest brain volume per body mass than any other animal...Ila tuna tendency zote za wanyama tena sisi tunazifanya even more efficient than other animals!

Mungu ni mpumbavu,sahaulifu,lenye kubadili mawazo,haramia,katili,linywa damu za wanyama,baguzi,litoa laana,lisilo na upendo,lina wivu,lionevu,lichawi,lilimleta shetani,liandishi la vitabu,lilishindwa kujenga movie wala documentary maana lilikua halina technolojia kipindi hicho,bure kabisa,etc......jitu la ajabu kabisa..na bado wanadamu wanalifata...cha ajabu halipo,halijawahi kuongea au kuonekana na yeyote,ever.......

Sasa,nitukane sana...cha ajabu ningekua karibu na wewe as of now ungeniua sababu nimetukana kitu ambacho hakipo as shown above.......

you people a dangerous to this planet kabisa!
Ok niendelezee alipoishia jamaa.

Umesema umeuona uchi wa wazazi wako,je unaweza kututhibitishia hilo?
 
Tatizo labda ni wewe mkuu,maana wewe hauheshimu imani zao japo hauziamini. Kwahiyo imekuwa kama umeanzisha ugomvi halafu unamchagulia mtu silaha.

Hahahahaa.....imani inaheshimika iwapo haiumizi ustawi wa mwanadamu kwanza.....imani ni subject to scrutiny like any other,tatizo hamtaki hii scrutiny!What a group of cowards?

Imani inayosema UA mchawi as if kuna kipimo cha kumjua mchawi in this world,au inasema Muisrael ni bora zaidi ya wanadamu wote wakati alituumba sawa,inayosema Waarabu na waafrika ni inferior zaidi ya Waisrael,kwamba wakristo ni bora zaidi ya wanadamu wote,etc......hii ni imani ya hovyo,inahimiza ubaguzi na kuhimiza mauaji....ni mpuuzi pekee asieona huu ubaguzi wa hizi dini zenu

Sijachagulia mtu silaha mzee.....nimeshangaa tu mtu anaejitia mtu wa mungu and holy na mwenye maadili kageuka ghafla na kuanza ku-act exactly the same as shetani anaejifanya hamfati....you people are walking contradictions!

Napenda sana mijadala....tukana vyovyote utakavyo upo huru,na mimi niache nifanye yangu.....

Nimeona uchi wa mama yangu this morning,what else do you need "watu wa Mungu"?
 
Ok niendelezee alipoishia jamaa.

Umesema umeuona uchi wa wazazi wako,je unaweza kututhibitishia hilo?

Nimeuona....unafanana na wa madem zako unawatia kila siku...

Si ulishaona uchi wa madem zako?

Zinafanana na hizo....

Ukitaka ku-prove,nenda kwa demu wako mvue chupi uangalie uchi wake,utakachokiona ndio hicho hicho....

Proof zaidi njoo hapa nilipo nikuoneshe uchi wa mama yangu,nipo nae....

Kama unaweza nipata then nitakuonesha,kama hutaweza nipata then its on you not me!
 
Back
Top Bottom